Nielewesheni wakuu!!

terrat

JF-Expert Member
May 6, 2015
204
98
Eti mwanamke anaweza kukufanya chochote kama akibaki Na nguo yako? Mfano sweta au t-shet ?
Kumbuka,
Mwanamke huyo sio mkeo, ni demu tu!
Swali langu ni,, unaweza fanywa zezeta kisa nguo?
 
Back
Top Bottom