gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,941
- 2,251
tatizo kubwa la wabunge wa CCM ni kuwa wanafuata mkumbo! endapo angeanzisha mmoja tu kumuunga mkono LISSU au kupinga mswada huu kusomwa mara ya pili, ninaamini wote wangemgeuzia upepo waziri wa katiba, wangepinga sana.
mfano mzuri ni BAJETI ya wizara ya nishati, alipoanzisha tu mama kilango, wote wakamfuata lakini endapo mama kilango angeunga mkono ile bajeti wote wangeogopa kupinga wangeunga mkono! t
uoga ndio unaowaponza hawa watu kila mtu anajua nikipinga tuu,,,,hakuna nafasi ya ubunge safari ijayo....