Nidhamu ya uoga ndio tatizo lenu!

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,941
2,251
tatizo kubwa la wabunge wa CCM ni kuwa wanafuata mkumbo! endapo angeanzisha mmoja tu kumuunga mkono LISSU au kupinga mswada huu kusomwa mara ya pili, ninaamini wote wangemgeuzia upepo waziri wa katiba, wangepinga sana.

mfano mzuri ni BAJETI ya wizara ya nishati, alipoanzisha tu mama kilango, wote wakamfuata lakini endapo mama kilango angeunga mkono ile bajeti wote wangeogopa kupinga wangeunga mkono! t

uoga ndio unaowaponza hawa watu kila mtu anajua nikipinga tuu,,,,hakuna nafasi ya ubunge safari ijayo....
 
maslahi ya chama kwanza - taifa halijanigawia ubunge mimi.
 
Kila mtu anajali tumbo lake na sio wananchi waliowapeleka pale mjengon!washenzi sana
 
ndio maana nafanya kazi kwa tiketi ya vyeti vyangu na sio chama..simuogopi mtu nawaheshim
 
tatizo kubwa la wabunge wa CCM ni kuwa wanafuata mkumbo! endapo angeanzisha mmoja tu kumuunga mkono LISSU au kupinga mswada huu kusomwa mara ya pili, ninaamini wote wangemgeuzia upepo waziri wa katiba, wangepinga sana.

mfano mzuri ni BAJETI ya wizara ya nishati, alipoanzisha tu mama kilango, wote wakamfuata lakini endapo mama kilango angeunga mkono ile bajeti wote wangeogopa kupinga wangeunga mkono! t

uoga ndio unaowaponza hawa watu kila mtu anajua nikipinga tuu,,,,hakuna nafasi ya ubunge safari ijayo....

tena umenikumbusha ntaandika uzi kuhusu huyu mama kuwa muongeaji wa kwanza kwenye issue nyeti sijajua sababu wahy?
 
Hisia pia zinaharibu sana mambo, kwamba huyu ni wakijani mwenzangu basi niungane nae hata kama kachemka. Umbumbu pia hawa jamaa wanao mkubwa sana ndio maana hata uchangiaji wengine hawachangi kabisaaaaa mfano mbunge yule kwaya master analala tuuuuu.
 
Nahisi hata wale madaktari na maprofesa huwa akili zao zinayeyuka wakifika mjengoni.

kweli kabisa kuna miprofesa mingi tu na madaktari wa filosofa pale lakini wote wanaongozwa na upepo tena katika hili ni wale madaktari wa sheria kabisa......yaaan uoga mtupu mi kama yangekuwa mababa yangu ningeyakana...........!
 
Back
Top Bottom