Nichukue gari ipi kati ya haya na kwanini

Nichukue gari ipi kati ya haya na kwanini

Honda Fit iyo, 2nd generation, mwaka 2013 kurudi nyuma, best car, me ndio Nina own 3rd gen ya 2013 kuja mbele hafu Kuna forth gen ya 2022. Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Hicho cha 2016 ndio nakitumia Sauzi ni kigari kweli wala hakisumbui na nilinunua bei ndogo sana nikasema ngoja nikijaribu kwa kazi za town kumbe ni gari kabisaa natamani nikilete home.
 
613B460B-C5AC-4080-9886-804C74CE1054.jpeg
 
Japo havipo kwenye list yako na hiyo list inaonyesha hali yako kiuchumi, umefanya vizuri ku identify magari ambayo unadhani utaweza kuyamudu.
Vitz Rs✅️
Honda Fit✅️
Mazda Demio✅️

Nje ya box
Toyota IST✅️
Mazda Verisa✅️
Yanaweza kuwa magari mazuri japo bei zake zitakuwa juu kidogo, kimsingi gari nyingi sasa ni 15m+ which is sad news for a normal Tanzanian.
 
Back
Top Bottom