Nicheke au nilie?

Hay a mambo I always say ni magumu sana.Kwani kumwambia kuwa mzee anatembea na hgirl kuna ubaya gani? Mi naona bora aambiwe tu na yeye ndo atajua namna ya kuwafahamisha wazee wa rika la baba yake ili wamvae.
 
mrudishe huyo binti kwao, baba mkwe ataiona njia, as long as huyo dada yupo wala hatoondoka...
na huyo dada wa kukaa nae macho, anaweza tembea hata na mumeo....
 
Sijiheshimu na sijatulia kivipi?Mbona mie hata hiyo avatar sijaiweka?Loh

Sorry, What i meant to say is that you have to be very careful, It's a tricky situation. On one hand ni Baba Mkwe wako the other hand its a young girl who you trust to leave your little child with while you are at work. You dont wanna mess with either of the two Trust me. So Chakufanya wewe chukua likizo kazini, mwambie mme wako unataka kwenda kijijini kumsalimia mama mkwe na mkmpelekea mjukuu amuone. Automatically mtadiscuss issue ya Baba mkwe uende nae. Ukifika kijiji kaa siku tatu tuu Mtose Baba mkwe huko huko. Rudi wewe mtoto wako na huyo dada wa kazi! Halafu utamuadisia mumeo baadae kuhusu hayo yaliotokea. Kumbuka ni muhimu umuambie ili nae asilmle huyo mtoto. Kinaelekea ni kicheche hicho nacho. Good day.
 
Mshirikishe mumeo ili muongee na kufanya maamuzi ya pamoja. Jitahidi kuwa makini na kutumia busara ktk mazungumzo maana huyo ni baba wa mumeo na huwezi juwa mumeo atawaza au kureact vipi baada ya kumwambia.

Kwa ushauri, naungana na huyo aliyesema kuwa kaa na msichana wa kazi na kumuonya. Maana hata huyo msichana kuangukia kwenye kifua cha kibabu cha miaka sabini anaonekana hajatulia sawa sawa.

Ideally, ningetamani kama mkweo angerudishwa kijijini kwa mkewe na nyie kuwasupport kwa chochote kila mnapopata nafasi ya kufanya hivyo ili nyumba yako iwe na amani.
 
Habari wana JF,

Ni mara yangu ya kwanza ktk jukwaa hili jamani, nipeni ushauri katika hili.

Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Baba mkwe wangu alikuja kwetu kwa ajili ya kutibiwa toka mwaka jana. Ni mtu mzima kwa kweli takribani miaka 70. Kiukweli keshapona kabisa, na mkewe yuko kijijini. Nina msichana wa kazi ambae ni ndugu yangu, ana miaka 16 (undugu wa mbali).Juzi asubuhi kabla sijaenda job niliingia rum kwa dada na kukuta AMELALA NA BABAMKWE wangu full naked! Kwa vile walikuwa wamelala fofofo (mida kama ya 11 asubuhi) hawakunisikia. Nilirudishia tu mlango na kuondoka. Hadi sasa sijamuuliza yule ndugu yangu na wala mume wangu sijamwambia. Naona aibu hata kuwashirikisha watu wanaomfahamu huyu baba. Ebu nisaidieni jamani, nikae kimya au nifanyeje? Baba haoneshi hata dalili ya kurudi kijijini ingawa keshapona.

Nipeni ushauri wenu waungwana.

Ooh my God! Sijui ni laana au ndio urijali? Anyway huyo mzee ameshadhihirisha kapona kabisa. Hata mimi naunga hoja wazo la kumshirikisha Mwenzi wako. Lakin hebu tujiulize, asipokuamin na kusema hiyo ni njia yako ya kumfanya babake aondoke kwa kuwa umeumchoka utafanyaje?

Kwa kuwa ulishindwa kumwambia mumeo asubuhi ilele ili akajionee na macho yake, basi Plan B ni muhim. Rudisha binti kwao, halafu mpange safari ya kijijini (mwambie mumeo mkamtembelee mamamkwe) hapo kutakuwa hakuna jinsi Babamkwe hataweza kubaki peke yake.

Mkifika huko mnamuacha, halafu mkirudi ndio unamwambia mumeo kilichotokea
 
duuu aiseee itabidi mwambie mmeo akakagua siku moja chumba anacholala mshua wake akimkosa ndio unampa full news ata yeye atakuwa hanalakubisha kiaina tu halafu itabidi ukampime mdogo wako mimba usijeleta uzi mwengine hapa wa mimba ya baba mkwe kwa mdogo wako..

Mtoto atakaezalia atamwita huyo dada(mtoa mada) " MAMKUBWA/SHEMEJI " na pia huyo dada atamwita huyo mtoto" SHEMEJI",
Atamwita mume wa mtoa mada"KAKA/BAMKUBWA"

Lakini pia huyo dada atamwita mdogowake " mama mkwe" na mumewe nae atamwita "SHEMEJI/ MAMA"

Huyo mzee atamwita mtoa mada " Shemeji/ mkamwana ", na atamwita mtoto wake (mume wa mtoa mada)" shemeji"... Mtoto alozaliwa atamwita huyo mzee"BABA/ BABU"... Lol
 
That looks fine ila kwanza I have to talk to my husband coz hajui hii kitu.
It looks fine siyo? gonga "like" basi kipapatio? Yeah sure mumeo lazima umwambie kwanza, how is he? does he seem to trust you much? That counts too.
 
achaga ka wivu bhana sasa mzee ahemee wapi na for all time alikua mgonjwa coz even tho ukimwambia mmeo hata weza mface baba yake and have a discus with that kama na mmeo anaakili timamu coz pia haiumi sana sio ndugu yako wa damu xo mu can chase thy girl away take care damu nzito kuliko maji mtu hawez mchukia baba yake to reach a stage amchane live!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sorry, What i meant to say is that you have to be very careful, It's a tricky situation. On one hand ni Baba Mkwe wako the other hand its a young girl who you trust to leave your little child with while you are at work. You dont wanna mess with either of the two Trust me. So Chakufanya wewe chukua likizo kazini, mwambie mme wako unataka kwenda kijijini kumsalimia mama mkwe na mkmpelekea mjukuu amuone. Automatically mtadiscuss issue ya Baba mkwe uende nae. Ukifika kijiji kaa siku tatu tuu Mtose Baba mkwe huko huko. Rudi wewe mtoto wako na huyo dada wa kazi! Halafu utamuadisia mumeo baadae kuhusu hayo yaliotokea. Kumbuka ni muhimu umuambie ili nae asilmle huyo mtoto. Kinaelekea ni kicheche hicho nacho. Good day.

Nafkiri tusimlaumu sana huyo binti, mi naona hii situation pia ina undue influence ya baba mkwe ambayo inachangikwa pia na umri, lets say mtoto wa miaka 16 akitongozwa na mtu mzima si ataingia line tu bana? hapo kuna undue influence unajeza kuta huyo binti hana hata shida sema mbinu chafu za faza in law.
 
Hauna simu ya kemeraa weee? Wavizie uwapige picha ili wakija kukataa usupport arguiments zako...
 
Ungepata hata akili ya kuwapiga picha japo na simu yako ya mkononi. Hapo lazima utafute njia yakumuondoa babamkwe au tena mlete mamamkwe japo utakuwa unaongeza familia. Wanaume noma miaka70! Mmh

If you see him huwezi amini ana 70, he is strong kwakweli na alikuwa anacheza sana mpira ujana wake. You have a point, kumleta ma mkwe ni kuongeza familia ila its better. Now huyu ndugu yangu simuamini kabisaaaaaa! Husband asingekuwa mtu wa kusafiri ningeshapigia mstari kuwa keshamlamba huyu dogo. Hata ba mkwe akiondoka itabidi nae nimtimue tu
 
kwa huduma huyo babamkwe anazozipata hapo hawez kurudi kijijini hata kama ameshapona
cha kufanya mwambie mumeo then kwa kuwa ni mchezo wao watarudia tena,so weken mtego muje muamke usiku hata saaa 10 za usiku wewe na mumeo mtawakuta wote,
Ila mshirikishe kwanza mumeo ucheki reaction yake itakuwaje kabla hujaenda kwenye step nyingine
 
umesema huyo bint ni ndugu wa mbali basi achape mwendo faster, usimwambie mumeo hujui atalichukuliaje tambua ni baba yake.......pole sanaachape mwendo
 
The old man was ill. Now he is getting better. Let your house girl take care of him. After all that is why patients get well faster when looked after by pretty nurses.

Give him some room and he will leave in due time. Dont send him away. The least you can do is to call your mother in law to come and take care of hi.

Du!!!! Ni kwamba hujui kiswahili au??? Mwajifanya wadhungu!!!!!
 
Habari wana JF,

Ni mara yangu ya kwanza ktk jukwaa hili jamani, nipeni ushauri katika hili.

Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Baba mkwe wangu alikuja kwetu kwa ajili ya kutibiwa toka mwaka jana. Ni mtu mzima kwa kweli takribani miaka 70. Kiukweli keshapona kabisa, na mkewe yuko kijijini. Nina msichana wa kazi ambae ni ndugu yangu, ana miaka 16 (undugu wa mbali).Juzi asubuhi kabla sijaenda job niliingia rum kwa dada na kukuta AMELALA NA BABAMKWE wangu full naked! Kwa vile walikuwa wamelala fofofo (mida kama ya 11 asubuhi) hawakunisikia. Nilirudishia tu mlango na kuondoka. Hadi sasa sijamuuliza yule ndugu yangu na wala mume wangu sijamwambia. Naona aibu hata kuwashirikisha watu wanaomfahamu huyu baba. Ebu nisaidieni jamani, nikae kimya au nifanyeje? Baba haoneshi hata dalili ya kurudi kijijini ingawa keshapona.

Nipeni ushauri wenu waungwana.

Nijihisi kutetemeka nakuonea huruma dada angu kwani kuna wakati ni vigumu kuthibitisha unachoamini ni ukweli uliouona kwa macho yako.Ushauri wangu ni kwamba japokuwa umesema mmeo ni muelewa huu unaweza kuwa mwanzo wa ugomvi mkubwa sana kati yenu endapo hautakuwa makini katika kuliwasilisha SWALA hili.Kwanza inategemea uhusiano uliopo kati yako na mkweo,kati ya mkweo na mmeo.Nachojaribu kusema ni kwamba huenda mtoto wake(mmeo) anamuheshimu na kumuamini sana baba ake na hajawahi hata siku moja kufikiria anaweza kufanya ufirauni huu hivyo basi itakuwa ngumu kukuamini maana jambo lenyewe ni vigumu kuaminika kwa sababu sio la kawaida na kama baba mkwe ni mzuri wa kuongea anaweza kuropoka maneno ya uongo ili mradi awe salama na mawifi na mamamkwe wakidakia ndio basi hauna ndoa tena.
Baada ya kusema hayo ushauri wangu ni huu;
TENGENEZA MAZINGIRA AMBAPO MME WAKO ATASHUHUDIA MWENYEWE ILI UWE UGOMVI WA KWAO WENYEWE NA NDOA YAKO IWE SALAMA,IKISHINDIKANA TAFUTA USHAHIDI WA PICHA AU WAHUSISHE WATU WENGINE WA KARIBU KATIKA FUMANIZI ILI ISIONEKANE UNAMSINGIZIA.
 
Mimi namuhurumia tu huyo mtoto wako, muda ambao upo kazini huyo mtoto hata chakula anapewa kweli?!,
I mean usikute mchana kutwa Baba na Msichana wanajirusha kwa raha zao, then mtoto wanampotezea. Hebu jaribu utoroke kazini siku moja mchana urudi home uone hali halisi.
Kuhusu Baba, ongea na mumeo mpe situation nzima ulioiona then nae ajiridhishe, muandae utaratibu arudi kijijini.
 
Nimekosa neno hapa
Naomba kuuliza hivi miaka 70 perfomance bado ipo?
..FL1, Saikolojikale inadaiwa Mwanaume anapofikia umri kama huo 60-70 huwa anapata hamu sana ya kufanya mapenzi, na siku hizi kuna ma-Viagra na dawa za miti shamba, so performance sio issue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom