Kikombe kinafurika
Member
- Mar 2, 2012
- 65
- 2
Kweli hiyo balaa, Baba mkwe, we mshirikishe Babaa watoto!
Hilo pia ninaliwaza sana, baba anaweza kunigeuzia kibao nikaona dunia chun. Kumuondoa binti naweza ila I have mtoto mdogo, 1 year na yeye ndo nikiwa job anamtunza mtoto, kumpata mwingine itachukua muda kidogo. Niko njiapanda jamani, ningeweza kumkanya mdogo wangu but hope mnajua mapenzi yalivyo, she can tell him na ikawa tatizo kubwa zaidi. I wish uyu baba aende tu kwake, loh!
ukimuondoa dada wa kazi, babu atakutaka wewe, la msingi mlete mamkwe after a week warudi bush.
Du.Amakweli mwana wa adamu anakaribia kurudi, ee Mungu tuhurumie. Tafuta wazee wenye busara uwashirikishe, na kama ikiwezekana wazungumze nae. Pia ongea na mumeo kwani jambo lako ni lake ukimficha atagundua siku mimba ikitokea. Salaaale, heri nusu shari kuliko shari kamili.Habari wana JF,
Ni mara yangu ya kwanza ktk jukwaa hili jamani, nipeni ushauri katika hili.
Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Baba mkwe wangu alikuja kwetu kwa ajili ya kutibiwa toka mwaka jana. Ni mtu mzima kwa kweli takribani miaka 70. Kiukweli keshapona kabisa, na mkewe yuko kijijini. Nina msichana wa kazi ambae ni ndugu yangu, ana miaka 16 (undugu wa mbali).Juzi asubuhi kabla sijaenda job niliingia rum kwa dada na kukuta AMELALA NA BABAMKWE wangu full naked! Kwa vile walikuwa wamelala fofofo (mida kama ya 11 asubuhi) hawakunisikia. Nilirudishia tu mlango na kuondoka. Hadi sasa sijamuuliza yule ndugu yangu na wala mume wangu sijamwambia. Naona aibu hata kuwashirikisha watu wanaomfahamu huyu baba. Ebu nisaidieni jamani, nikae kimya au nifanyeje? Baba haoneshi hata dalili ya kurudi kijijini ingawa keshapona.
Nipeni ushauri wenu waungwana.
Kweli hiyo balaa, Baba mkwe, we mshirikishe Babaa watoto!
Hauna simu ya kemeraa weee? Wavizie uwapige picha ili wakija kukataa usupport arguiments zako...
miaka 70 na miaka 16
siamini kama kuna kilichotokea, labda kugusa gusa tu.
Ila baba arudi kwake.
Hahaha kongosho 70 mbona bado anamaliza kabisa
Habari wana JF,