Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Wale wanaoifaham Radio hii tafadhali nawaomba mniambie sifa za kuwa mtangazaji radioni hapo.
Wale wanaoifaham Radio hii tafadhali nawaomba mniambie sifa za kuwa mtangazaji radioni hapo.
Uwe unaweza kuscratch santuri na kuvaa kisharoharo.
vipi kuhusu elimu? Niwe na phd ama?
Mbona manaichukia hiyvo Clousd fm jamani
Ile ni redio ya Vijana, inaelimisha , inatuburudisha ha ta wazee wanapenda kusikiliza
NI wabunifu sana
Big Up Clouds