Niambieni Qualifications za kuwa mtangazaji wa Clouds fm

uwe mbea km huyo jamaa anayetangaza kpnd asbh naa mdada na uwe mnafik, mwongo na mtetezi wa magamba kw kujdai kumuoji shukuru kawambwa eti 2na mafanikio kielim wakt ndo elimu imeshuka..au mafanikio ya kujenga madarasa yasiyo na madawati, vifaa na hata waalimu????

umesahau umuhimu wa maktaba
 
Lazma uwe mjanja.....na mwenye kipaji....uwe na swaggz za vijana...kumbuka hii ni entertainment radio...hao wanaotumia complicated qualifications wakaapply tbc na kwingineko.....mbna TBC wana employ professionals na bado redio inakufa....clouds ts ma evrythn
 
Uwe na tabia kama za Bonde sikumbuki vzr jina lake kwa kujipendekeza mtangazaj huyo sijapata kuona.
 
Uwe Freemason.Kwa hiyo U-Cameron ruksa,nyama za watu na damu ruksa,kumnyonyesha mtoto wako utupu wako ruksa,na mengi mengi neyo.Siu unajua kwa Freemason hakuna mwisho wa uovu.
Wale wanaoifaham Radio hii tafadhali nawaomba mniambie sifa za kuwa mtangazaji radioni hapo.
 
wapo waliosoma kama PJ, REGINA MWALEKWA kutoka radio tumaini,uhuru,radio 1 hadi clouds, kibonde pia kutoka DTV zamani zile nadhani wote wana aidha cheti au diploma, wengineo sina hakika kama wana taaluma ya cheti kama dina,babra nk tatizo labda mfumo wa uendeshaji wa hiyo radio nahisi kila radio ina lengo lake au aina ya utangazi na hadhira yake.kwa hivo clouds hadhira yake kubwa ni wazwazi au waswahili kwa hivo inabidi watangazi nao wawe hivo bila hivo hawatapata matangazo na hela za kulipa wafanyakazi mitambo nk. si ajabu ina wasikizaji wengi zaidi hasa vijana kuliko radio magamba(uhuru) na TBC.
 
CLOUDS FM NDIO BORA KULIKO ZOTE
Mnaisema vibaya labda kwa vile humpendi mtangazaji mmoja au wawili LAKINI ITABAKI KUWA "The Super Brand"

Ni WABUNIFU HAKUNA TENA hapa Bongo. Wanajua kukutangazia tangazo lako mpaka unapata thamani halisi ya pesa iliyolipa. Wapo UPDATED NA CURRENT AFFAIRS, wanajua msikilizaji anahitaji kusikia nini. Ruge ana Masters Degree, Simalenga ana Bachelor nk

In short CLOUDS WAPO VIZURI na MNAVYOWASEMA VIBAYA NDIO WANAZIDI KUWA BORA maana ukosoaji wenu wao wanachukulua in a positive way ili KUIMARISHA UBORA WA HUDUMA ZAO.
~~~Hakuna Mungu kama wewe Bwana~~~
 
Okay. Wapo juu kama KLM
 
Aina ya wasikilizaji na Redio/Tv

1:- ITV/Radio 1--Wasomi ,Maprofesa,wanaopenda maendeleo

2.:--Clouds FM--Vijana U-20,Wapenda umbea,Story za town ambazo pia hazikusaidii lolote,Madereva daladala,Mashankupe,

3:--Efm-Vijiweni,Bajaj ,ma haouse boy

4:-TBc --Madereva wa serikali tena kwa kulazimishwa ,wastaafu ambao hawana cha kupoteza bali kusikiliza hekaya .

6:-Star tv---Wasukuma na wahaya ,hawa jamaa habari za michezo wako safi ila kitaifa hamna kitu.
 
Duh sasa hiyo kali yakhee
 
Back
Top Bottom