Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Eiyer unajua umenifanya nifurahi sana
Wacha weeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Eiyer unajua umenifanya nifurahi sana
Wacha weeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu, huyo dogo haniumishi kichwa kabisaaa!
Isipokua nilihisi nisipomsomesha tena itakua sio uungwana!
Vile vile sikupenda wazazi wake watambue hii kitu!
Just think, kwao akiulizwa kwa nini huendi kusomeshwa na Mashaxizo?
Bila shaka atatoa unreasonable ground!
Itakuwaje wazazi wake wakiniuliza na mimi?
Itakuaje majibu ya huyo ke + yangu yakipingana?
Miaka mitatu, afu niwambie wazazi wake, si watajua nimeshamla! Kama wewe unavyodhania!!!
Si masikhara...........
Mkuu, huyo dogo haniumishi kichwa kabisaaa!
Isipokua nilihisi nisipomsomesha tena itakua sio uungwana! Vile vile sikupenda wazazi wake watambue hii kitu! Just think, kwao akiulizwa kwa nini huendi kusomeshwa na Mashaxizo? Bila shaka atatoa unreasonable ground! Itakuwaje wazazi wake wakiniuliza na mimi? Itakuaje majibu ya huyo ke + yangu yakipingana?
Miaka mitatu, afu niwambie wazazi wake, si watajua nimeshamla! Kama wewe unavyodhania!!!
Kweli kabisa?
Hebu nihakikishie mrembo!!
kwani lazima umfundishe?
c uache?
Ukiitaja hiyo mrembo ndo wanimaliza kabisa.......
jumapili hii lazima nihudhurie Ibada.........
labda tumuulize kuna kitu atapungukiwa akiacha kumfundisha!!!!!
Hao wanafundishana nyie hamjui tu!!!!!!!!!!!!
Basi usijali mrembo....
Niko pasta Eiyer kwaajili yako...
Tena nitaiandaa kwaajili yako wewe tu....
Mrembo.....................!!!!!
Angalia usije kuwa hoi hadi ukaharibu mazingira!!!!!hapo mwishoni hapo mie huku hoi........
Haaaaa we unamuona kama anavaa kibukta hebu Mashaxizo ajibu mwenyewe!!huwa anavaa kibukta ndio maana hali yake huwa si hali...kumbuka huwa anafuatwa nyumbani halafu mtoto wa kike anakuwa yupo ziro distensi huku akijilaza laza begani...
Ukimtizama jicho lake, manshallaaaah mtoto utazani kamumunya kungu la umangani, unaambiwa macho yamelegea kama kitundu cha kuvika kifungo...
Sio kweli
Huyu anakuumiza kichwa labda iwe ni story ya kutunga!
Tazama hapa chini anavyokusumbua kichwani!
Haya maswali ni lazima yataleta walakini kwa mtu yoyote anaefikiri vizuri
Kwanini unaonekana kujali sana kuhusu huyu mtoto?
Inawezekana umeshambong'oa wewe!
Mentor hajakosea kabisa!
Halafu unajidai eti hanisumbui kabisa!
Kijana hebu acha masikhara!