Niache kumsaidia?

Niache kumsaidia?

Eee! Kumbe unashikiliwa akili ee?!!!
Umeshachangia nami nimekuouma vizuriiii!
Sasa nini tena? Kila anaechangia kwa ukali wewe ndio unagongea na msumali! Mwee!
Ke unagubu weye!!!!!

hahaaaaaaa na mie naona aiseeee huyu mashaxizo huyu ana lake
 
Eee! Kumbe unashikiliwa akili ee?!!!
Umeshachangia nami nimekuouma vizuriiii!
Sasa nini tena? Kila anaechangia kwa ukali wewe ndio unagongea na msumali! Mwee!
Ke unagubu weye!!!!!
Kijana punguza ukali umeyataka mwenyewe kubali mabaya na mazuri, pokea ushauri huo na ufanyie kazi! mdada wa watu anaunga watu mkono usimuburuze kwendana na mtazamo wako! Au huna haja na ushauri wetu?
 
We kama umesha gundua hilo na unaona hatilii maanani msaada wako sasa unakaa nae karibu wa nini? Huo ni mtego bro.hapo ni mahali watu wengi hushindwa kupaepuka...sasa kabla haijawa mbaya,ushauri wangu we acha kabisa kumfundisha na kaa mbali nae 100%..ukifanya mchezo utajuta.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Unavyojichanganya kama haujamla huyo mwanafunzi wako sijui,na ujiandae kwa matunda uliyopanda,ukipanda mahindi usitegemee kuvuna maharage..we na ualimu wako umeshndwa kujua jinsi ya kumkimbia huyo mtoto
 
Eee! Kumbe unashikiliwa akili ee?!!!
Umeshachangia nami nimekuouma vizuriiii!
Sasa nini tena? Kila anaechangia kwa ukali wewe ndio unagongea na msumali! Mwee!
Ke unagubu weye!!!!!

Nimewacha Mash.......tatizo lako unapanik mapema jamani
 
Mashaxizo acha mbwembwe ndg yangu, kama unataka kumfundisha mfundishe na kama unataka kumnani we mnani tuu. usizingizie kuwa ananitolea mimacho mara kwao hawamruhusu kwenda tuition, usimulishe binti wa watu maneno yako mdomoni kwake
 
Last edited by a moderator:
acha kumfundisha ikiwezekana wambie ata wazazi wake kuwa nw days upo bussy sana. la sivyo utajikuta upo juu ya meza na mtoto wa shule.
 
Back
Top Bottom