Niache kumsaidia?

Niache kumsaidia?

Best zoea tu! Kama dawa ya kupunguza kucheka nitafutie tu!!!
...
Kuhusu kadent kangu wewe usijali! Nimekata kabisaaa kumchekea-chekea!
Hahahahaaa!
Kwani wewe unahisi kucheka ndio tatizo????

Hawa watoto walokuwa kwenye adolesence wanasumbua sana kwasababu ndo joto limewazidi wanakuwa na mshawasha wa kujaribu kila kitu!!We cheka cheka nae atakutia dole la macho...
 
Duh! Punguza uchokoziiiiiiiiiiiiiiiii!

huwa anavaa kibukta ndio maana hali yake huwa si hali...kumbuka huwa anafuatwa nyumbani halafu mtoto wa kike anakuwa yupo ziro distensi huku akijilaza laza begani...

Ukimtizama jicho lake, manshallaaaah mtoto utazani kamumunya kungu la umangani, unaambiwa macho yamelegea kama kitundu cha kuvika kifungo...
 
Best zoea tu! Kama dawa ya kupunguza kucheka nitafutie tu!!!
...
Kuhusu kadent kangu wewe usijali! Nimekata kabisaaa kumchekea-chekea!
Hahahahaaa!
Kwani wewe unahisi kucheka ndio tatizo????
Ndio unamuachia anakuzoea sana!
 
Kwanini Mkuu???
Usiponielewesha sitoelimika kwa hilo ulilokusudia!
Just say it!
Napenda challenge ila nakataa matusi tu!
Just tell me, why?

...Out Of Sight... ...Out Of Mind!!!!!!!!!... ...UMENISIKITISHA Mashaxizo.
 
Last edited by a moderator:
Vp unamfundisha kwa malipo au bure? kama ni bure hilo nalo tatizo, anatafuta namna ya kukupa " energy" yakuendelea kumfundisha!!
 
mkemee kwa ukali kuwa hutaki kujihusisha mapenzi naye pili, mweleze yeye bado mdogo si vizuri kujihusisha na mapenzi ukiona haelewi ni bora kuacha kumfundisha asije baadae akakugeuzia kibao kuwa wewe ndio namtongoza itakuharibia reputation.
 
Kwanini Mkuu???
Usiponielewesha sitoelimika kwa hilo ulilokusudia!
Just say it!
Napenda challenge ila nakataa matusi tu!
Just tell me, why?

Umri wako si wa kutatizika na watoto wadogo kama hao! Sasa huyo kidato cha tatu ukimuanzishia thread... wa chuo si ni sub-forum kabisa!??

Unless, unataka kutuhabarisha kuwa ushamla tayari... Cc: babu Asprin na Dark City on the lecture they gave me on 'reading between lines'
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, huyo dogo haniumishi kichwa kabisaaa!
Isipokua nilihisi nisipomsomesha tena itakua sio uungwana! Vile vile sikupenda wazazi wake watambue hii kitu! Just think, kwao akiulizwa kwa nini huendi kusomeshwa na Mashaxizo? Bila shaka atatoa unreasonable ground! Itakuwaje wazazi wake wakiniuliza na mimi? Itakuaje majibu ya huyo ke + yangu yakipingana?
Miaka mitatu, afu niwambie wazazi wake, si watajua nimeshamla! Kama wewe unavyodhania!!!

Back
Top Bottom