Ni Zanzibar ipi wanaitaka?

Takashi,
Mkuu wangu, wengi wetu hapa tunaitakia kheri Zanzibar kama nchi ndani ya Muungano na tunaamini kabisa Muungano wa nchi yetu una mapungufu ambayo yanatakiwa kutazamwa lakini sii madai ya wanansiasa ambao wana uchu wa madaraka kutaka kupokezana Urais, uwaziri mkuu na kadhalika.

Na pia mkuu wangu nataka nikwambie kwamba ondoa hiyo ndoto ya kuuvunja muungano kwa sababu haiwezekani na haitawezekana..Hakuna kitu kama hicho kutokea. Muungano wetu umetokana na sababu kubwa za kiusalama - National Security. Hivyo, serikali haina sababu wala ulazima wa kukwambia wewe na Wazanzibar wengine ni Usalama gani au kuna tatizo gani la kiusalama kwani hii ni - Highly Confidencial..

Kwa hiyo usituone wengine hapa tunazungumza kiushabiki au tunafanya kejeri na Uzanzibar kuondoa machungu tu, lakini hii issue ni kubwa kuliko wanasiasa na wananchi wengi VIJANA wanavyoifahamu na historia yake inaanzia mbali sana kabla ya Mapinduzi, ndani ya Mapinduzi na baada ya Mapinduzi. Mkuu na kati ya muda huo watu wengi wamekufa, watu walipoteza ndugu zao pasipo kujua wamekwenda wapi, kuna watu wamefukuzwa na kunyang'anywa hata uraia na wengine kupigwa marufuku kukanyaga Zanzibar au bara

Historia hii haiwezi kupotea kutokana na malalamiko ya baadhi ya watu kwa sababu tu wanataka Identity yao kitu ambacho hakiambatanishi mila na desturi za Wazanzibar. Kudai Identity ya jina pasipo kutaka haki za kimila na desturi za Wazanzibar kusimama kwanza ni sawa na kudai kuitwa Abubakar au Omar ili mradi tu uonekane unakubalika ndani ya Uislaam na upande wa pili wanajua fika kwamba majina haya sii Uislaam ila ni ya Kiarabu. (Kwa maana kwamba Abubakar na Omar (Radhiallahu Anhu) walikuwa na majina hayo hata kabla hawajaukubali Uislaam. Hivyo kushabikia jina zaidi ya imani ni fikra mgando ambazo zimetawaliwa..

Nitaendelea kuwapinga wazanzibar kila mnapokuja na hoja hii ya Identity yenu kwa sababu huku majuu Zanzibar inajulikana kuliko Tanzania yenyewe acha mbali kuwepo kwa bara au Tanganyika. Ni Identity gani mnayoitaka zaidi ikiwa dunia nzima wanajua ipo nchi inaitwa Zanzibar na wengine wanafikiria Tanzania iko ndani ya Zanzibar au karibu na Zanzibar..
 
mzee mwanakiji huwa naheshimu sana michango yako.
lkn bado huwa najiuliza nini hasa msimamo wako kuhusu zenj.
nakumbuka zenj ilipoambiwa sio nchi uliandika makala nyingi tu za kutofurahishwa na neno lile na ulifika na kutaka wazenj wajikomboe.
wanapotaka kujikomboa umegeuka na unahoji upande wa pili

Karibu sana nimefurahishwa sana na umakini wako hapa.
 
Takashi,
Mkuu wangu, wengi wetu hapa tunaitakia kheri Zanzibar kama nchi ndani ya Muungano na tunaamini kabisa Muungano wa nchi yetu una mapungufu ambayo yanatakiwa kutazamwa lakini sii madai ya wanansiasa ambao wana uchu wa madaraka kutaka kupokezana Urais, uwaziri mkuu na kadhalika.

Na pia mkuu wangu nataka nikwambie kwamba ondoa hiyo ndoto ya kuuvunja muungano kwa sababu haiwezekani na haitawezekana..Hakuna kitu kama hicho kutokea. Muungano wetu umetokana na sababu kubwa za kiusalama - National Security. Hivyo, serikali haina sababu wala ulazima wa kukwambia wewe na Wazanzibar wengine ni Usalama gani au kuna tatizo gani la kiusalama kwani hii ni - High Confidencial..

Kwa hiyo usituone wengine hapa tunazungumza kiushabiki au tunafanya kejeri na Uzanzibar kuondoa machungu tu, lakini hii issue ni kubwa kuliko wanasiasa na wananchi wengi VIJANA wanavyoifahamu na historia yake inaanzia mbali sana kabla ya Mapinduzi, ndani ya Mapinduzi na baada ya Mapinduzi. Mkuu na kati ya muda huo watu wengi wamekufa, watu walipoteza ndugu zao pasipo kujua wamekwenda wapi, kuna watu wamefukuzwa na kunyang'anywa hata uraia na wengine kupigwa marufuku kukanyaga Zanzibar au bara

Historia hii haiwezi kupotea kutokana na malalamiko ya baadhi ya watu kwa sababu tu wanataka Identity yao kitu mabacho hakiambatani na mila na desturi za Wazanzibar. Kudai Identity ya jina pasipo kutaka haki za kimila na desturi za Wazanzibar kusimama kwanza ni sawa na kudai kuitwa Abubakar aU Omar wakati sii Muislaam na upande wa pili wanajua fika kwamba majina haya sii ya kiiislaam ila ni ya Kiarabu. (Kwa maana kwamba Ububakar na Omar (Radhiallahu Anhu) walikuwa na majina hayo hata kabla hawajaukubali Uislaam. Hivyo kushabikia jina zaidi ya imani ni fikra mgando ambazo zimetawaliwa..

Nitaendelea kuwapinga wazanzibar kila mnapokuja na hoja hii ya Identity yenu kwa sababu huku majuu Zanzibar inajulikana kuliko Tanzania yenyewe acha mbali kuwepo kwa bara au Tanganyika. Ni Identity gani mnayoitaka zaidi ikiwa dunia nzima wanajua ipo nchi inaitwa Zanzibar na wengine wanafikiria Tanzania iko ndani ya Zanzibar au karibu na Zanzibar..

Nakuomba, katika dunia ya utandawazi ambapo kuhodhi taarifa zinazowagusa wengi ni sawa na kutega bomu; utueleze hiyo (High Confidencial..) highly confidential issue ambayo hatuwezi kuielewa ni ipi?
 
Takashi,
Mkuu wangu, wengi wetu hapa tunaitakia kheri Zanzibar kama nchi ndani ya Muungano na tunaamini kabisa Muungano wa nchi yetu una mapungufu ambayo yanatakiwa kutazamwa lakini sii madai ya wanansiasa ambao wana uchu wa madaraka kutaka kupokezana Urais, uwaziri mkuu na kadhalika.

Na pia mkuu wangu nataka nikwambie kwamba ondoa hiyo ndoto ya kuuvunja muungano kwa sababu haiwezekani na haitawezekana..Hakuna kitu kama hicho kutokea. Muungano wetu umetokana na sababu kubwa za kiusalama - National Security. Hivyo, serikali haina sababu wala ulazima wa kukwambia wewe na Wazanzibar wengine ni Usalama gani au kuna tatizo gani la kiusalama kwani hii ni - Highly Confidencial..

Kwa hiyo usituone wengine hapa tunazungumza kiushabiki au tunafanya kejeri na Uzanzibar kuondoa machungu tu, lakini hii issue ni kubwa kuliko wanasiasa na wananchi wengi VIJANA wanavyoifahamu na historia yake inaanzia mbali sana kabla ya Mapinduzi, ndani ya Mapinduzi na baada ya Mapinduzi. Mkuu na kati ya muda huo watu wengi wamekufa, watu walipoteza ndugu zao pasipo kujua wamekwenda wapi, kuna watu wamefukuzwa na kunyang'anywa hata uraia na wengine kupigwa marufuku kukanyaga Zanzibar au bara

Historia hii haiwezi kupotea kutokana na malalamiko ya baadhi ya watu kwa sababu tu wanataka Identity yao kitu ambacho hakiambatanishi mila na desturi za Wazanzibar. Kudai Identity ya jina pasipo kutaka haki za kimila na desturi za Wazanzibar kusimama kwanza ni sawa na kudai kuitwa Abubakar au Omar ili mradi tu uonekane unakubalika ndani ya Uislaam na upande wa pili wanajua fika kwamba majina haya sii Uislaam ila ni ya Kiarabu. (Kwa maana kwamba Abubakar na Omar (Radhiallahu Anhu) walikuwa na majina hayo hata kabla hawajaukubali Uislaam. Hivyo kushabikia jina zaidi ya imani ni fikra mgando ambazo zimetawaliwa..

Nitaendelea kuwapinga wazanzibar kila mnapokuja na hoja hii ya Identity yenu kwa sababu huku majuu Zanzibar inajulikana kuliko Tanzania yenyewe acha mbali kuwepo kwa bara au Tanganyika. Ni Identity gani mnayoitaka zaidi ikiwa dunia nzima wanajua ipo nchi inaitwa Zanzibar na wengine wanafikiria Tanzania iko ndani ya Zanzibar au karibu na Zanzibar..

Hizo ndio kasumba alizofanikiwa kuzibatiza Nyerere.

Ndio maana sisi hutumia usemi huu:Ndugu zetu hutumia matubo kufikiri badala ya akili na kwa bahati mbaya humjui profesa wala wakidato cha saba wote ni sawa tu.

Hivo nani dunia hii atakae itumia zanzibar kuishambulia bara?

Zanzibar nivisiwa vidogo sana hata ukiitupia bomu moja tu inaondoka yote hivo hamufikirii hata hilo?

Sisi kule tulipandikizwa pia fikra kama hiozo za usalama,uadui,utumwa,uarabu,ukoministy lakini tulipo tumia akili tulijua kua ni mbinu za watawala katika kujiimarisha.
Siwalaumu sana sikuzote katika mambo yote Zanzibar huanza na baadae Tanganyika wakafuatia,Mutatuelewa tulikua tunasema nini.
 
Takashi,
Mkuu wangu, wengi wetu hapa tunaitakia kheri Zanzibar kama nchi ndani ya Muungano na tunaamini kabisa Muungano wa nchi yetu una mapungufu ambayo yanatakiwa kutazamwa lakini sii madai ya wanansiasa ambao wana uchu wa madaraka kutaka kupokezana Urais, uwaziri mkuu na kadhalika.

Na pia mkuu wangu nataka nikwambie kwamba ondoa hiyo ndoto ya kuuvunja muungano kwa sababu haiwezekani na haitawezekana..Hakuna kitu kama hicho kutokea. Muungano wetu umetokana na sababu kubwa za kiusalama - National Security. Hivyo, serikali haina sababu wala ulazima wa kukwambia wewe na Wazanzibar wengine ni Usalama gani au kuna tatizo gani la kiusalama kwani hii ni - Highly Confidencial..

Kwa hiyo usituone wengine hapa tunazungumza kiushabiki au tunafanya kejeri na Uzanzibar kuondoa machungu tu, lakini hii issue ni kubwa kuliko wanasiasa na wananchi wengi VIJANA wanavyoifahamu na historia yake inaanzia mbali sana kabla ya Mapinduzi, ndani ya Mapinduzi na baada ya Mapinduzi. Mkuu na kati ya muda huo watu wengi wamekufa, watu walipoteza ndugu zao pasipo kujua wamekwenda wapi, kuna watu wamefukuzwa na kunyang'anywa hata uraia na wengine kupigwa marufuku kukanyaga Zanzibar au bara

Historia hii haiwezi kupotea kutokana na malalamiko ya baadhi ya watu kwa sababu tu wanataka Identity yao kitu ambacho hakiambatanishi mila na desturi za Wazanzibar. Kudai Identity ya jina pasipo kutaka haki za kimila na desturi za Wazanzibar kusimama kwanza ni sawa na kudai kuitwa Abubakar au Omar ili mradi tu uonekane unakubalika ndani ya Uislaam na upande wa pili wanajua fika kwamba majina haya sii Uislaam ila ni ya Kiarabu. (Kwa maana kwamba Abubakar na Omar (Radhiallahu Anhu) walikuwa na majina hayo hata kabla hawajaukubali Uislaam. Hivyo kushabikia jina zaidi ya imani ni fikra mgando ambazo zimetawaliwa..

Nitaendelea kuwapinga wazanzibar kila mnapokuja na hoja hii ya Identity yenu kwa sababu huku majuu Zanzibar inajulikana kuliko Tanzania yenyewe acha mbali kuwepo kwa bara au Tanganyika. Ni Identity gani mnayoitaka zaidi ikiwa dunia nzima wanajua ipo nchi inaitwa Zanzibar na wengine wanafikiria Tanzania iko ndani ya Zanzibar au karibu na Zanzibar..

Sawa Mkuu Mkandara, tatizo kubwa mimi naona ni tofauti ya mitazamo...Lakini baya zaidi ni kuwa watanganyika wengi wana ile tabia ya "superiority complex" kwamba mnahisi labda mnajua zaidi ... Tujaalie hivyo. Sasa cha kujiuliza mnatupeleka wapi ? Miaka 47 ya Muungano imeleta nini? Kama umasikini ndio umezidi, kama uhasama ndio unazidi, kama chuki ndio zinazidi, sasa tunaeleka wapi?

Neno Muungano sio kitu kibaya . Lakini muungano huu mumeshindwa (Tanganyika) kuuendesha vizuri...Kila kitu waamuzi Tanganyika kwahiyo na lawama tutapeleka huko huko. Kweli kuvunja muungano ni kazi kubwa , lakini kitu kibaya ni kuendelea kama hivi ulivyo sasa.
Mimi naamini harakati hizi zitaleta matunda , kwani ni vitu viwili kimoja kipatikane, Kuwe na serikali tatu au tuvunje muungano.

Hiyo theory ya Kiusalama mimi siipi umuhimu mkubwa kwa miaki hii ya sasa. Muhimu kukumbuka kama kuna makubaliyano ya Muungano na hizo articles za muungano ndio zinatakiwa zifuatwe. Sio muuingize na kutoa kwa maslahi ya upande mmoja, kama kweli mna nia nzuri.
Muda unatumika na resources zinazotumika kuidhibiti Zanzibar kama zinge tumika kujenga Tanganyika ,basi ingekua mbali sana. Lakini inaoneka ni fahari zaidi kujihisi kama mtawala kuliko kuangalia hali ya maisha ya watanganyika.

Tunaelekea kubaya sana, labda watokezee viongozi wenye busara kuweza kuelewa athari za baadae. Zanzibar ,sasa siasa zinapelekwa misikitini ...Kwanini tumefika hapa ? Muungano wa kuburuzana ,si Muungano.
 
Sawa Mkuu Mkandara, tatizo kubwa mimi naona ni tofauti ya mitazomo...Lakini baya zaidi ni kuwa watanganyika wengi wana ile tabia ya "superiority complex" kwamba mnahisi labda mnajua zaidi ... Tujaalie hivyo. Sasa cha kujiuliza mnatupeka wapi ? Miaka 47 ya Muungano imeleta nini? Kama umasikini ndio umezidi, kama uhasama ndio unazidi, kama chuki ndio zinazidi, sasa tunaeleka wapi?

Neno Muungano sio kitu kibaya . Lakini muungano huu mumeshindwa (Tanganyika) kuuendesha vizuri...Kila kitu waamuzi Tanganyika kwahiyo na lawama tutapeleka huko huko. Kweli kuvunja muungano ni kazi kubwa , lakini kitu kibaya ni kuendelea kama hivi ulivyo sasa.
Mimi naamini harakati hizi zitaleta matunda , kwani ni vitu viwili kimoja kipatikane, Kuwe na serikali tatu au tuvunje muungano.

Hiyo theory ya Kiusalama mimi siipi umuhimu mkubwa kwa miaki hii ya sasa. Muhimu kukumbuka kama kuna makubaliyano ya Muungano na hizo articles za muungano ndio zinatakiwa zifuatwe. Sio muuingize na kutoa kwa maslahi ya upande mmoja, kama kweli mna nia nzuri.
Muda unatumika na resources zinazotumika kuidhibiti Zanzibar kama zingetumika kujenga Tanganyika ,basi ingekua mbali sana. Lakini inaoneka ni fahari zaidi kujihisi kama mtawala kuliko kuangalia hali ya maisha ya watanganyika.

Tunaelekea kubaya sana, labda watokezee viongozi wenye busara kuweza kuelewa athari za baadae. Zanzibar ,sasa siasa zinapelekwa misikitini ...Kwanini tumefika hapa? Muungano wa kuburuzana ,si Muungano.
Mkuu labda nikujibu wewe kwa sababu umekuja kiungwana zaidi ya hao waliotangulia. Na nina hakika hawajui kitu isipokuwa tu wamekamata mabango ya Uzanzibar pasipo kujua haswa huu Muungano umetokana na nini..Labda niwajuze tu kwamba matatizo ya kiusalama yako ndani ya Zanzibar yenyewe kama historia inavyojieleza.

Yawezekana kuwa Bara ndio wameshika kila kitu kwa kufikiria au mtazamo wako, lakini nadhani hatuwezi kuwa sawa ikiwa asilimia zaidi ya 90 ya raia wa nchi hii Tanzania wanatoka bara. Hatuwezi kuwa sawa hata tukipiga mayowe wabara watasiskika zaidi ingawa Wazanzibar wamo na wanapiga makelele vile vile..na kibaya zaidi nusu ya Wazanzibar leo hii wanaishi bara.

Kilicho muhimu zaidi ni kutazama Wazanzibar kama nchi wanafaidika nini na Muungano huu ama kuna mapungufu yapi. Na toka niwasikie Wazanzibar wakilalamikia Muungano mara zote wameshindwa kujua kwanza utawala wenyewe ndani ya Zanzibar. Na wala sii zamani sana Wazanzibar wote walikuwa wakiwaulumu zaidi Baraza la Mapinduzi kuwa ni CCM na wanafanya yale alowaagiza Nyerere. Leo hii baada ya Muafaka bado mambo ni yaleyale sasa sielewi kama pia kuna mkono wa Nyerere.

Kila Mzanzibar mwenye chuki na maisha alikuwa against CCM iwe ya Bara au Zanzibar. mapinduzi yalilaaniwa na kadhalika maadam tu chama ndicho kimeshika hatamu, basi haijalishi kama kiongozi ni Mzanzibar au Mbara..Lo baada ya kuunganisha nguvu za vyama bado tunaona madudu yale yale hata baada ta viongozi watatu wakubwa nchini kutoka ni Zanzibar. Tunaye Makamu wa rais, Rais wa Zanzibar na makamu wake wote hawa wanapewa heshima kubwa bara na ndani ya Jamhuri yetu kuliko hata waziri mkuu ambaye hatambuliki visiwani.

Na sii kweli kabisa kwamba maendeleo ya Zanzibar yanapangwa bara au na wabara. Aliyekwambia hivi mwongo ila tuseme tu kwamba madai makubwa ya Zanzibar ni nafasi yao viongozi ktk Muungano wakitaka uwakilishi sawa wenye tafsiri ya mchumia tumbo..Wee nambie Bara kuna nini hasa kilichotengenezwa na serikali ambacho wewe unaweza kuweka madai haya maana Dar inajengwa na wawekezaji wakati umeme shida, maji shida tena sijawahi kusikia kama Masaki ina maji toka tupate Uhuru..

Na kuwekeza bara haiwezi kuwa kero kubwa ikiwa serikali ya Muungano inategemea kodi, hivyo sii busara sana kwa serikali kuwekeza sehemu ambayo haiwezi kuzalisha kodi ya kutosha. na kwa kukupa uhakika wa hili mfuko mzima wa Jamhuri ya Muungano pato lake linatoka bara kwa asilimia 99, hivyo kupata asilimia nne ni zaidi ya mchango wa Zanzibar kwa asilimia kubwa sana. Tukisema utapewa kile ulichoweka sidhani kama Zanzibar itaweza hata kujiendesha kama serikali ktk matumizi walokuwa nayo leo hii..

Mimmi nachoweza kusema ni kwamba kinachopjitajika kufanyika ni kuiwezesha Zanzibar.. yale mahitaji makubwa ya kuboresha uwekezaji zanzibar ndio yanatakiwa kupewa kipaumbele.
Nimewahi kuandika hapa JF kuhusiana na uwekezaji bora wa miundombinu kwa Zanzibar hasa kukifanya kisiwa hicho kiwe Dutyfree kutokana na historia pamoja na location ya visiwa hivi kwani tunapoteza nafasi kubwa ya Ubora wa visiwa hivi kibiashara kama ilivyokuwa toka karne ya kwanza. Na tumeshindwa kujifunza kwa nini Zanzibar ilikuwa soko kuu la biashara Afrika kabla hata ya Dubai, NewYock, London na kadhalika.

Tukiweza kuiwezesha Zanzibar kusimama kibiashara na ikajulikana Afrika kama ndio Mecca ya mali zote zinazotoka Asia na Ulaya, nina hakika wafanyabiashara wengi wa Kiafrika watakuja Unguja au Pemba kuliko kwenda Dubai au China na hakika kulingana na usemi wa Kiswahili kinachotakiwa Wazanzibar kuomba toka ktk Muungano huu ni - KUWEZESHWA nanyi mnaweza! lakini sii maswala ya kulilia madaraka hali hakuna hisrotia yeyote inayoonyesha rais akiwa Mzanzibar basi ataweza kuihamisha BoT Zanzibar, lakini yawezekana kabisa ktk dunia hii ya Utandawazi, Zanzibar ikaingia ktk orodha ya masoko makuu ya dunia (stock exchange) kama tutaiwezesha kwani sii muda China itakuwa superpower kiuchumi nasi tutakuwa tumejiandaa kuchukua fursa tulopewa kutokana na mazingira yetu.

haya mengine ya kuuchambua Muungano kwa sababu viongozi sio Wazanzibar ni kutotukumia akili zaidi ya kutazama rangi kwani kama chuki ipo baina ya bara na visiwani basi chuki hiyo haitokani na Muungano bali inatokana na viongozi wanaotaka zaidi madaraka kwani sauti ya mtu mmoja tu ndani ya bunge inaweza kudai haya yote mnayoyasema bila kuwa na hesabu sawa ya viongozi na kisha basi kila kiongozi wa Zanzibar anapochaguliwa ktk serikali ya Muungano huhama kabisa Unguja na kuhamishia makazi yake bara..Hili nalo neno mnatakiwa kujiuliza sana
 
Wildcat.. ndio maana swali moja ambalo hatujalisikia ni kuona Wazanzibari walioko Bara waandamane kudai nchi yao.. kwanini wanaodai Zanzibar ni walioko Zanzibar zaidi na nje ya nchi - London in particular? Binafsi ningependa waitishwe Wazenji walioko Dar waanza kuisumbua serikali ya TZ kama walivyofanya IRA kwa Waingereza kule.

Nyerere alisema kitu ambacho kinaukweli; wakishatoka kwenye Muungano watajikuta hakuna tena "Wazanzibari" bali kuna Wapemba na Waunguja na na Wabara. Hili ni kweli - ni Wazanzibari kwa sababu ya Muungano. Wanafikiri kwamba husuda na visasi vya kabla ya mapinduzi vimetoweka.

Aaagh! Huyu nae kwa kumquote Kambarage, zaidi ya 70% hawayakuyaona hayo mapinduzi. Hivyo hizo dhana sijui wachinjana kwa visasi haina mashiko.
 
Yawezekana kuwa Bara ndio wameshika kila kitu kwa kufikiria au mtazamo, lakini nadhani hatuwezi kuwa sawa ikiwa asilimia zaidi ya 90 ya raia wa nchi hii Tanzania wanatoka bara. Hatuwezi kuwa sawa hata tukipiga mayowe wabara watasiskika zaidi ingawa Wazanzibar wamo na wanapiga makelele vile vile..na kibaya zaidi nusu ya Wazanzibar leo hii wanaishi bara
Sijui kama watakuelewa, tumuombe mwenyezi Mungu waelewe inshallah
Kilicho muhimu zaidi ni kutazama Wazanzibar kama nchi wanafaidika nini na Muungano huu ama kuna mapungufu yapi. Na toka niwasikie Wazanzibar wakilalamikia Muungano mara zote wameshindwa kujua kwanza utawala wenyewe ndani ya Zanzibar. Na wala sii zamani sana Wazanzibar wote walikuwa wakiwaulumu zaidi Baraza la Mapinduzi kuwa ni CCM na wanafanya yale alowaagiza Nyerere. Leo hii baada ya Muafaka bado mambo ni yaleyale sasa sielewi kama pia kuna mkono wa Nyerere
Mchawi alikuwa Nyerere alipofariki mchawi wa pili akawa CCM, alipooana na CUF na kutengeneza GNU mchawi mkubwa kuliko wote waliowahi kutokea ni muungano.
Lakini kuna mchawi mtoto anaanza kutambaa, huyu atarithiri mikoba ya mchawi muungano akifariki, anaitwa mapinduzi. Wapo wanaosema mchawi mapinduzi ni mtoto wa Nyerere, wengine wanasema si kweli baba yake anaitwa 'nywele za kipilipili'.
Kila Mzanzibar mwenye chuki na maisha alikuwa against CCM iwe ya Bara au Zanzibar. mapinduzi yalilaaniwa na kadhalika maadam tu chama ndicho kimeshika hatamu, basi haijalishi kama kiongozi ni Mzanzibar au Mbara..Lo baada ya kuunganisha nguvu za vyama bado tunaona madudu yale yale hata baada ta viongozi watatu wakubwa nchini kutoka ni Zanzibar. Tunaye Makamu wa rais, Rais wa Zanzibar na makamu wake wote hawa wanapewa heshima kubwa bara na ndani ya Jamhuri yetu kuliko hata waziri mkuu ambaye hatambuliki visiwani
Hata mtu aliyekosa samaki baharini kwasababu nyingine atakwambia muungano umeleta dhiki.
Na sii kweli kabisa kwamba maendeleo ya Zanzibar yanapangwa bara au na wabara. Aliyekwambia hivi mwongo ila tuseme tu kwamba madai makubwa ya Zanzibar ni nafasi yao viongozi ktk Muungano wakitaka uwakilishi sawa wenye tafsiri ya mchumia tumbo..Wee nambie Bara kuna nini hasa kilichotengenezwa na serikali ambacho wewe unaweza kuweka madai haya maana Dar inajengwa na wawekezaji wakati umeme shida, maji shida tena sijawahi kusikia kama Masaki ina maji toka tupate Uhuru
Dhana inayotokana na hadithi za kusikika au majungu. Waulize humu ndani, Shamhuna amesema znz wanalipa umeme zaidi, toeni ushahidi hakuna jibu, si Shamhuna kasema!! Hakuna anayejua mabilioni yamememezwa na JMT kama matumizi ya umeme znz, Salimin na Karume wanajua vizuri sana, achilia mbali mishahara
Na kuwekeza bara haiwezi kuwa kero kubwa ikiwa serikali ya Muungano inategemea kodi, Muungano pato lake linatoka bara kwa asilimia 99, hivyo kupata asilimia nne ni zaidi ya mchango wa Zanzibar kwa asilimia kubwa sana. Tukisema utapewa kile ulichoweka sidhani kama Zanzibar itaweza hata kujiendesha kama serikali ktk matumizi walokuwa nayo leo hii
Hili la kuchangia hawalijui, wanadai haki lakini hawakubali wajibu. Nimewahi kuuliza wanachangia kiasi gani JMT sijapewa jibu. Ninachosoma ni hekaya eti TRA inakusanya mabilioni kila siku, hadithi ndani ya meli.
Nimewahi kuandika hapa JF kuhusiana na uwekezaji bora wa miundombinu kwa Zanzibar hasa kukifanya kisiwa hicho kiwe Dutyfree kutokana na historia pamoja na location ya visiwa hivi kwani tunapoteza nafasi kubwa ya Ubora wa visiwa hivi kibiashara kama ilivyokuwa toka karne ya kwanza
Karne zilizopita ubora ulikuwa biashara ya utumwa, na kwa vile sultan alikuwa na makao znz ilikuwa ni sehemu salama kugawana bidhaa za watumwa kwenda uarabuni. Ni uhusiano huu ndio unaosababisha wenzetu znz waamini kuwa muungano ukivunjwa watafutiwa visa ya Oman!!!!!!!!
Tukiweza kuiwezesha Zanzibar kusimama kibiashara na ikajulikana Afrika kama ndio Mecca ya mali zote zinazotoka Asia na Ulaya, nina hakika wafanyabiashara wengi wa Kiafrika watakuja Unguja au Pemba kuliko kwenda Dubai au China na hakika kulingana na usemi wa Kiswahili kinachotakiwa Wazanzibar kuomba toka ktk Muungano huu ni - KUWEZESHWA nanyi mnaweza!
Kinachowashinda sasa hivi ninini? wana BLW, mamlaka ya kodi, Rais n.k kwanini wasianze mkakati bila kuishirikisha JMT. Watakuwa wamevunja sheria gani.
lakini sii maswala ya kulilia madaraka hali hakuna hisrotia yeyote inayoonyesha rais akiwa Mzanzibar basi ataweza kuihamisha BoT Zanzibar
Tena wanataka mkuu wa majeshi na IGP wachaguliwe kwa zamu, sijui hawa watasaidiaje uwekezaji na ushindani wa biashara duniani.
haya mengine ya kuuchambua Muungano kwa sababu viongozi sio Wazanzibar ni kutotukumia akili zaidi ya kutazama rangi kwani kama chuki ipo baina ya bara na visiwani basi chuki hiyo haitokani na Muungano bali inatokana na viongozi wanaotaka zaidi madaraka kwani sauti ya mtu mmoja tu ndani ya bunge inaweza kudai haya yote mnayoyasema bila kuwa na hesabu sawa ya viongozi na kisha basi kila kiongozi wa Zanzibar anapochaguliwa ktk serikali ya Muungano huhama kabisa Unguja na kuhamishia makazi yake bara.Hili nalo neno mnatakiwa kujiuliza sana
Haswaa, bahati mbaya ndani ya bunge la JMT pamoja na idadi ya upendeleo, ukimsikia mbunge wa znz anaongea ujue anauliza znz ni nchi au si nchi, sijawahi kumsikia anayeongelea mambo ya uwekezaji n.k.
Hili la viongozi kuhamia bara nadhani wapo sahihi kwasababu familia zao zinapata haki zote bila kuathiri uzanzibar wao.
 
Sijui kama watakuelewa, tumuombe mwenyezi Mungu waelewe inshallah

Mchawi alikuwa Nyerere alipofariki mchawi wa pili akawa CCM, alipooana na CUF na kutengeneza GNU mchawi mkubwa kuliko wote waliowahi kutokea ni muungano.
Lakini kuna mchawi mtoto anaanza kutambaa, huyu atarithiri mikoba ya mchawi muungano akifariki, anaitwa mapinduzi. Wapo wanaosema mchawi mapinduzi ni mtoto wa Nyerere, wengine wanasema si kweli baba yake anaitwa 'nywele za kipilipili'.

Hata mtu aliyekosa samaki baharini kwasababu nyingine atakwambia muungano umeleta dhiki.

Dhana inayotokana na hadithi za kusikika au majungu. Waulize humu ndani, Shamhuna amesema znz wanalipa umeme zaidi, toeni ushahidi hakuna jibu, si Shamhuna kasema!! Hakuna anayejua mabilioni yamememezwa na JMT kama matumizi ya umeme znz, Salimin na Karume wanajua vizuri sana, achilia mbali mishahara
Hili la kuchangia hawalijui, wanadai haki lakini hawakubali wajibu. Nimewahi kuuliza wanachangia kiasi gani JMT sijapewa jibu. Ninachosoma ni hekaya eti TRA inakusanya mabilioni kila siku, hadithi ndani ya meli.

Karne zilizopita ubora ulikuwa biashara ya utumwa, na kwa vile sultan alikuwa na makao znz ilikuwa ni sehemu salama kugawana bidhaa za watumwa kwenda uarabuni. Ni uhusiano huu ndio unaosababisha wenzetu znz waamini kuwa muungano ukivunjwa watafutiwa visa ya Oman!!!!!!!!
Kinachowashinda sasa hivi ninini? wana BLW, mamlaka ya kodi, Rais n.k kwanini wasianze mkakati bila kuishirikisha JMT. Watakuwa wamevunja sheria gani.

Tena wanataka mkuu wa majeshi na IGP wachaguliwe kwa zamu, sijui hawa watasaidiaje uwekezaji na ushindani wa biashara duniani.

Haswaa, bahati mbaya ndani ya bunge la JMT pamoja na idadi ya upendeleo, ukimsikia mbunge wa znz anaongea ujue anauliza znz ni nchi au si nchi, sijawahi kumsikia anayeongelea mambo ya uwekezaji n.k.
Hili la viongozi kuhamia bara nadhani wapo sahihi kwasababu familia zao zinapata haki zote bila kuathiri uzanzibar wao.

Watumwa wakikamatwa na nani huko bara?
 
Yes Mtaalam wetu, mwanakijiji, nashukuru kwa mada nzuri na ya kujenga, hawa wenzetu wazanzibar wanataka zanziba ambayo haijawahi kuwepo kana kwamba iliyopo imechakachuliwa, wanataka waishi pale kama peponi kitu ambacho ukweli hakiwezekani, wanataka haluwa kwa sana, tende na nyama za ngamia kutoka omani vyote wavipate kwa free of charge,kitu ambacho hakipo popote duniani ila kama wanaona inawezekana its ok! let them step foward.
 
hakuna nchi inayoitwa zanzibar, ninajua kuna pemba na unguja, labda wanataka kitu kama hicho.
 
Oya, mbona mnaenda kinyume na maagizo ya Muswada kwa ajili ya kuandaaKATIBA mpya! Si mliambiwa hilo suala halijadiliki?
 
hakuna nchi inayoitwa zanzibar, ninajua kuna pemba na unguja, labda wanataka kitu kama hicho.

mkuu mbona umekurupuka... umeifuatilia kweli hii thread toka page one...! fuatilia utajifunza mengi kweli....
 
wanaitaka nchi "yao" ya zanzibar; wanataka kurudia "utukufu wa zanzibar" kwa kuwa hapa walipo sasa hawaoni manufaa "yoyote" kwa zanzibar. Wanasema wanaitaka nchi yao waliyonyang'anywa na wadanganyika (ati watanganyika). Wanataka warudishiwe nchi yao waliyonyang'anywa na nyerere na watu wa bara.

Ni zanzibar ipi hiyo wanayoitaka?

  • zanzibar ya historia ya kale (zenj - nchi ya weusi?) ambayo ni zaidi ya visiwa vya unguja na pemba bali na mwambao wa afrika ya mashariki
  • zanzibar ya sultani(ambaye naye utawala wake ulizidi mipaka ya unguja na pemba)
  • zanzibar ya sultani chini ya mwingereza
  • zanzibar ya baada ya uhuru na sultani akiwa bado ni mkuu wa nchi na serikali ya mseto
  • zanzibar ya mapinduzi kabla ya muungano
  • zanzibar "mpya" ambayo haijawahi kuwepo yaani ya baada ya muungano

ni ipi hasa wanayoitaka? Ni ipi hasa zanzibar "proper". Isije kuwa ni kama nchi ya ahadi ambayo iko katika fikra za watu tu lakini haijawahi kuwepo; yaani ile nchi imiminikayo maziwa na asali na kwamba watu wa bara na dunia nzima wanataka kuwanyang'anya wazanzibari. Na labda hapa itabidi tulijibu swali pia kuwa mzanzibari ni nani hasa?

ni mbwembwe tu...eti tujiunge na oic tupate misaada ya kujenga nchi ,baada ya kukaa na kujenga nchi ya umoja wa serikali ya zanzibar kwanza wanataka muungano uvunjike.jengeni nchi kwanaza umoja na muungano unampendeza hata na muumba wetu wanadamu wote.
 
Tunataka zanzabr huru,ambayo kama nchi nyengine zilivyokuwa huru,tena kimataifa. sio kitaifa kama hivi sasa.

Tazama wanavyodeka kama watoto, na sisi mikio mingine makubwa kuliko Zanzibar kama Mbeya na Mwanza tunataka kujitenga, unasemaje?
Hamuondoki hata pesa mbili, tushawagharamia sana, kama vipi fanyeni fujo ili JWTZ lifanye kazi yake, na ateuliwe mkuu wa wilaya tu na Jeshi aisimamie Zanzibar, na ndio mpango mzima.
Kwanza wakamateni mafisadi wenu hasa hao wanasukuma mbele chuki ambao ndiyo mafisadi kuliko kina Rostam, namaanisha kina KARUME, HAMID MAHMOUD HAMID, MANSOUR HUMUOD, JUMA SHAMUHUNA. kwa safisheni serikali yenu ilojaa mafisadi...
 
Kwa hakika ni muhimu sana mwanakijiji ukimjibu huyu jamaa juu ya msimamo wako kuhusu zanzibar.Jambo moja ambalo ni la msingi na nataka kukushauri,nenda zanzibar.Ukifika jitahidi ukutane na mzanzibar yoyote wa daraja la kawaida.halafu muulize kuhusu jinsi anavyoiona zanzibar na ni nini anataka kifanyike juu ya muungano.Utashangaa majibu utakayopewa tena yakiwa na ushahidi.
Hizi ni nyakati mpya toka enzi ya Nyerere kutizama tv yake na akasema keshoye ameota ulaya wanapigana,na wakati huu kila kitu kikiwa wazi coz the world is flat...
 
tazama wanavyodeka kama watoto, na sisi mikio mingine makubwa kuliko zanzibar kama mbeya na mwanza tunataka kujitenga, unasemaje?
Hamuondoki hata pesa mbili, tushawagharamia sana, kama vipi fanyeni fujo ili jwtz lifanye kazi yake, na ateuliwe mkuu wa wilaya tu na jeshi aisimamie zanzibar, na ndio mpango mzima.
Kwanza wakamateni mafisadi wenu hasa hao wanasukuma mbele chuki ambao ndiyo mafisadi kuliko kina rostam, namaanisha kina karume, hamid mahmoud hamid, mansour humuod, juma shamuhuna. Kwa safisheni serikali yenu ilojaa mafisadi...

Waachiwe wenyewe waamuwe walitakalo na sisi tuifufue Tanganyika yetu .
kwani hatuwezi kuishi kwa amani kama majirani wema na kusaidiana kidugu.
Mbona tumekaa vizuri na Kenya , Uganda na wengineo .

Kwa nini tusuguane na wazanzibari kwani wao ni watoto wadogo WA KUWAPANGIA SISI
 
Mkuu labda nikujibu wewe kwa sababu umekuja kiungwana zaidi ya hao waliotangulia. Na nina hakika hawajui kitu isipokuwa tu wamekamata mabango ya Uzanzibar pasipo kujua haswa huu Muungano umetokana na nini..Labda niwajuze tu kwamba matatizo ya kiusalama yako ndani ya Zanzibar yenyewe kama historia inavyojieleza.

Yawezekana kuwa Bara ndio wameshika kila kitu kwa kufikiria au mtazamo wako, lakini nadhani hatuwezi kuwa sawa ikiwa asilimia zaidi ya 90 ya raia wa nchi hii Tanzania wanatoka bara. Hatuwezi kuwa sawa hata tukipiga mayowe wabara watasiskika zaidi ingawa Wazanzibar wamo na wanapiga makelele vile vile..na kibaya zaidi nusu ya Wazanzibar leo hii wanaishi bara.

Kilicho muhimu zaidi ni kutazama Wazanzibar kama nchi wanafaidika nini na Muungano huu ama kuna mapungufu yapi. Na toka niwasikie Wazanzibar wakilalamikia Muungano mara zote wameshindwa kujua kwanza utawala wenyewe ndani ya Zanzibar. Na wala sii zamani sana Wazanzibar wote walikuwa wakiwaulumu zaidi Baraza la Mapinduzi kuwa ni CCM na wanafanya yale alowaagiza Nyerere. Leo hii baada ya Muafaka bado mambo ni yaleyale sasa sielewi kama pia kuna mkono wa Nyerere.

Kila Mzanzibar mwenye chuki na maisha alikuwa against CCM iwe ya Bara au Zanzibar. mapinduzi yalilaaniwa na kadhalika maadam tu chama ndicho kimeshika hatamu, basi haijalishi kama kiongozi ni Mzanzibar au Mbara..Lo baada ya kuunganisha nguvu za vyama bado tunaona madudu yale yale hata baada ta viongozi watatu wakubwa nchini kutoka ni Zanzibar. Tunaye Makamu wa rais, Rais wa Zanzibar na makamu wake wote hawa wanapewa heshima kubwa bara na ndani ya Jamhuri yetu kuliko hata waziri mkuu ambaye hatambuliki visiwani.

Na sii kweli kabisa kwamba maendeleo ya Zanzibar yanapangwa bara au na wabara. Aliyekwambia hivi mwongo ila tuseme tu kwamba madai makubwa ya Zanzibar ni nafasi yao viongozi ktk Muungano wakitaka uwakilishi sawa wenye tafsiri ya mchumia tumbo..Wee nambie Bara kuna nini hasa kilichotengenezwa na serikali ambacho wewe unaweza kuweka madai haya maana Dar inajengwa na wawekezaji wakati umeme shida, maji shida tena sijawahi kusikia kama Masaki ina maji toka tupate Uhuru..

Na kuwekeza bara haiwezi kuwa kero kubwa ikiwa serikali ya Muungano inategemea kodi, hivyo sii busara sana kwa serikali kuwekeza sehemu ambayo haiwezi kuzalisha kodi ya kutosha. na kwa kukupa uhakika wa hili mfuko mzima wa Jamhuri ya Muungano pato lake linatoka bara kwa asilimia 99, hivyo kupata asilimia nne ni zaidi ya mchango wa Zanzibar kwa asilimia kubwa sana. Tukisema utapewa kile ulichoweka sidhani kama Zanzibar itaweza hata kujiendesha kama serikali ktk matumizi walokuwa nayo leo hii..

Mimmi nachoweza kusema ni kwamba kinachopjitajika kufanyika ni kuiwezesha Zanzibar.. yale mahitaji makubwa ya kuboresha uwekezaji zanzibar ndio yanatakiwa kupewa kipaumbele.
Nimewahi kuandika hapa JF kuhusiana na uwekezaji bora wa miundombinu kwa Zanzibar hasa kukifanya kisiwa hicho kiwe Dutyfree kutokana na historia pamoja na location ya visiwa hivi kwani tunapoteza nafasi kubwa ya Ubora wa visiwa hivi kibiashara kama ilivyokuwa toka karne ya kwanza. Na tumeshindwa kujifunza kwa nini Zanzibar ilikuwa soko kuu la biashara Afrika kabla hata ya Dubai, NewYock, London na kadhalika.

Tukiweza kuiwezesha Zanzibar kusimama kibiashara na ikajulikana Afrika kama ndio Mecca ya mali zote zinazotoka Asia na Ulaya, nina hakika wafanyabiashara wengi wa Kiafrika watakuja Unguja au Pemba kuliko kwenda Dubai au China na hakika kulingana na usemi wa Kiswahili kinachotakiwa Wazanzibar kuomba toka ktk Muungano huu ni - KUWEZESHWA nanyi mnaweza! lakini sii maswala ya kulilia madaraka hali hakuna hisrotia yeyote inayoonyesha rais akiwa Mzanzibar basi ataweza kuihamisha BoT Zanzibar, lakini yawezekana kabisa ktk dunia hii ya Utandawazi, Zanzibar ikaingia ktk orodha ya masoko makuu ya dunia (stock exchange) kama tutaiwezesha kwani sii muda China itakuwa superpower kiuchumi nasi tutakuwa tumejiandaa kuchukua fursa tulopewa kutokana na mazingira yetu.

haya mengine ya kuuchambua Muungano kwa sababu viongozi sio Wazanzibar ni kutotukumia akili zaidi ya kutazama rangi kwani kama chuki ipo baina ya bara na visiwani basi chuki hiyo haitokani na Muungano bali inatokana na viongozi wanaotaka zaidi madaraka kwani sauti ya mtu mmoja tu ndani ya bunge inaweza kudai haya yote mnayoyasema bila kuwa na hesabu sawa ya viongozi na kisha basi kila kiongozi wa Zanzibar anapochaguliwa ktk serikali ya Muungano huhama kabisa Unguja na kuhamishia makazi yake bara..Hili nalo neno mnatakiwa kujiuliza sana

Mkuu...Nadhani unaelewa kuwa sera za CCM ni kutoka serikali mbili kuelekea moja. Kwa maana nyegine SMZ ni serikali inayoendelea kupoteza mamlaka yake, ili kuweka njia ya serikali moja. Baya zaidi ni kwamba hizi athari ambazo zinapatikana sasa hivi zinaonekana ni kama "collateral demage". Kwahiyo serikali ya Zanzibar haina uwezo wowote nje ya Zannzibar.

Tumeshuhudi kuondolewa kwa rais wa Zanzibar kuwa makamo wa rais wa JMT. Vile vile kumekua na kampeni za kutaka kubadilisha jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania . Kuifanya iwe Tanzania, tu. Hii ni moja ya ile mikakati ya kuifuta Zanzibar kama nchi Kama vile ilivyo futwa jina la Tanganyika. Mambo yote ya Muungano katika bunge la Muungano yalitakiwa ya amuliwe kwa thuluthi mbili za wabunge kutoka Tanganyiika na thuluthi mbili kutoka Zanzibar. Hili vile vile limefutwa. Kwahiyo ,hata ndani ya bunge Zanzibar wanakua kama wanaengeza idadi tu hawawezi kubadisha kitu, idadi yao ni ndogo.

Kwahiyo mabadiliko hayawezi kufanywa na viongozi kwasababu tayari wamesha banwa...Hata chama cha upinzani hakiwezi kuwa na sera ya kuvunja muungano, sheria ya usajili wa vyama vya siasa hairuhusu kufanya hivyo. Kwahiyo kwanini watu wanauliza isipelekwe hoja binafsi katika bunge au baraza la wawakilishi ya kuvunja muungano? Jibu ni kuwa haiwezekani kisiasa na kisheria.

Kwahiyo ,wanzanzibari wemelielewa hilo na ndio maana vugu vugu la muungano limehamishiwa kila pahala, misikitini ,semina ,makongamano na kwenye mitandao. Sasa watu wamekua na muamko wa hali ya juu na hii ndio itakayoleta mabadiliko na sio SMZ. Kwani hata hao watawala vile vile na wao wanangalia hali ya hewa.

Zanzibar wanaweza kuifanya ikawa sehemu muhimu ya kibiashara kama historia inavyo thibitisha. Lakini hili waachiwe wanzanzibari wenyewe. Kama kweli Tanganyika wanapenda kuona Zanzibar inakua kiuchumi na maendeleo. TRA warudi kwao...Kuondoa vipingamizi dhidi ya Zanzibar kuwa na fursa ya kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na mashirika ya kimataifa. Tanganyika wamekua wakitumia nafasi bila ya kipingamizi chochote kwa jina Tanzania . Lakini kwa Zanzibar lazima wapatiwe ruhusa kutoka Tanganyika.

Sio wote ndani ya serikali ya muungano wenye kuitakia mafanikio Zanzbar. Kwahiyo, njia pekee kwa mtazamo wangu mimi ni kuwa na serikali tatu, kama lazima tuwe na muungano. Mambo ya Tanganyika wafanye bila ruhusa ya Zanzibar. Mambo ya Zanzibar wafanye bila ya ruhusa ya Tanganyika kama kweli tunataka fairness. Hii inawezeka kwa kupunguza mambo ya muungano na sio kuengeza kama inavyofanywa sasa hivi.

Kama raia ni haki yetu kudai mabadiliko ya mfumo wa muungano...Tunataka muungano wenye faida kwa kila upande na sio ujanja wa kubadilisha maneno. Kama hili litakua gumu , bora uvunjwe.
 
Nia, Zanzibar ni ndogo kisha wengi wenu mnakaa kutwa mkiongeo, maongezi yenu ni chuki za Bara tu, hata hao wazungu watalii mnawashauri waiende bara, kuwa wezi, mnawashauri kenya, ni jambo la kawaida nyinyi wote kuwa la wazo moja kwani mnahadisiana kutwa, nakumbuka kelele za shangwe siku alipotangazwa Mwalimu Nyerere wengi wenu walisherehekea, kwa hiyo hii sumu sio ya leo, sema sasa mnaitukana bara nje nje.
Nyerere mchawi? huyo Karume wa Mwanzo ambeye ni mmalawi si mwizi? waulize woote waliokuwa wanapeleka karafuu nje kuuza kwa niaba ya serikali ya zanzibar, ilikuwa pesa nusu watie kwenye account za serikali ya Zanzibar na nusu kwenye account za familia ya Mzee Karume, hakuna nchi duniani ambayo hawana mali watoto wa Karume, alikuwa fisadi wa kweli, iko siku mtapigana tu kwa watu aliowauwa Karume. kwa hiyo taratibu kuisema Tanganyika mkidhani madhambi yenu hatuyajui, tena hapa sijasema kitu...
 
Back
Top Bottom