Estmeed Reader
Senior Member
- Mar 19, 2010
- 134
- 0
Rejeeni, mwafaka wa Lancaster House kuhusu matayarisho ya uhuru wa Kenya. Suala la Mwambao kubakia sehemu ya Kenya au Zanzibar lilitatuliwa kwa mabubaliano kati ya Sultani wa zanzibar na Kenya!
. Kweli tunayo Jamhuri Moja ya Muungano wa Tanzania said:Mara nyingi, katika masuala kama haya watu hutumia 'mtima' na sio akili kufikir, .
katika miaka ya mwanzo wa 1970s Zanzibar walikuwa na uchumi mzuri zaidi ya bara largely kwa sababu ya bei nzuri ya karafuu katika soko la dunia. Akiba yao ya fedha za kigeni ilikuwa mara mbili ile ya huku bara. SMZ walinda independence ya uchumi wao sana.
SMZ badala ya kuinvest kwenye productive economic ventures ikaingia kwenye ku-invest kwenye vitu vya anasa - ndege ya rais, televisheni ya rangi - zanzibar ilikuwa nchi ya kwanza afrika iliyokuwa na television ya rangi - hata South Africa wakati huo haikuwa na television ya rangi; majengo ya flats za ghorofa etc. Social investment zote hizi zilikuwa hazizalishi mali zaidi.
Bei ya karafuu ikaanza kushuka kuanzia mwaka wa 1977 na pia miti ya karafuu Pemba ikashambuliwa na magonjwa largely because of neglect - walikuwa hawa palilii na pia uvunaji ulitegemea sana vibarua toka bara. Pia nchi nyingine zikaanza kulima karafuu - indonesia etc Uchumi wa Zanzibar ukaanza kudorora - akiba yao ya fedha za kigeni walikuwa wameshaimaliza kwenye matumizi ya anasa na wakaanza kutegemea zaidi mainland.
In the 1980s they opened up a freeport ku-import things from Dubai, singapore etc and to re-export the same to the mainland without paying duty. Hii haikuwa sustainable kwa sababu mainland walizuia hii biashara kwa kuimpose duty - this made their Freeport a white elephant. They then turned to Beach Tourism which is now the mainstay of the economy wakishindana na Malindi Kenya. However if TZ mainland wakianza kufungua beach zake baada ya kuimprove infrastructure kuanzia Lunga Lunga mpaka Ruvuma ni kweli kuwa hii italeta ushindani mkubwa sana kwa biashara ya utalii Zanzibar.
Pia All geological indications are that ukanda wa bahari una gas na sio mafuta. Mafuta yako zaidi kwenye njchi kavu - mkuranga; lindi; mtwara etc. Kwa hiyo kabla hawa jitenga kwa hope ya mafuta ambayo hawana hakika nayo wangefikiria sana.
The important thing about Zanzibar is that they have to recognize kuwa uchumi wao ni mdogo sana na unategemea zaidi hali ya uchumi wa mainland. Wakijitenga lazima wakubali kwa watakuwa nje ya Tanzania na watakuwa treated that way. They cannot have their cake and eat it. K
Uchumi wao ukiwa matatani hawa wanaweza kuanza kwenda kwenye extremist politics na kuchukuliwa na Al Queda!
.......... Na huo Muungano utakuwa ni wa serikali tatu, serikali ya Pemba ambayo itakuwa na support ya arabuni na serikali ya unguja ambayo itakuwa na support ya "Tanganyika
Kwani Zanzibar ilipoingia katika Muungano ilikuwa ikitafuta kukuza uchumi wake??????
Kabla ya hizo karafuu walikuwa na nini???? Hata wakafikiria kuanzisha zao hilo?????
Kwa nini washindwe kubuni mbinu nyengine za kiuchumi ??????
Kwa nini baadhi yetu ya sisi Watanganyika HASA WAKRISTO tunapigania sana huu muungano kwani una faida gani kwetu sisi?????
Hawa si watoto wadogo wamekuwa nasi zaidi ya miaka 40 na wameona wanaangamia si waacheni tu na maamuzi yao????
Utumwa kitu kibaya sana hawa jamaa walitolewa bara kwenda kufanya kazi ya Utumwa leo hii wanasahau asili yao na kutukuza utumwa! naona Somalia ndogo ipo njiani!..wajuzi wa historia na sheria za kimataifa naomba maoni yenu kuhusu mahusiano na haki za Zenj kwa kisiwa cha Mafia na eneo la Mombasa.
..nimekuwa nikisikia minong'ono kwamba maeneo hayo yaliwahi kuwa chini ya utawala wa Zenj. je, ni nini kilitokea yakaangukia mikononi mwa Tanganyika[mafia] na Kenya[mombasa].
ni maswali magumu sana kujibika, nasema ni magumu kwa sababu wao 'Wazanzibar' siwamoja, na hawajawahi kuwa na umoja wakiwa nje ya muungano, (Kabla ya muungano), wana matabaka ya Rangi na ujuwaji, kuna kundi la watu ni bora zaidi ya wengine ambao wanaamini asili yao ni arabuni, kwa kuangalia vigezo vingi vya Zanzibar, nadhani itatokea Zanzibar mpya ambayo haikuwepo mwanzo nadhani Hiyo Zanzibar inaweza kuwa JAMUHURI YA MUUNGANO YA ZANZIBAR Namaanisha muungano wa Pemba na Unguja, Na huo Muungano utakuwa ni wa serikali tatu, serikali ya Pemba ambayo itakuwa na support ya arabuni na serikali ya unguja ambayo itakuwa na support ya "Tanganyika", pamoja na hayo huo muungano hautadumu miaka 46 kama ya huu muungano wa Tanzania na mwisho wa siku patakuwa na nchi Mbili ambazo si Zanzibar
katika miaka ya mwanzo wa 1970s Zanzibar walikuwa na uchumi mzuri zaidi ya bara largely kwa sababu ya bei nzuri ya karafuu katika soko la dunia. Akiba yao ya fedha za kigeni ilikuwa mara mbili ile ya huku bara. SMZ walinda independence ya uchumi wao sana.
SMZ badala ya kuinvest kwenye productive economic ventures ikaingia kwenye ku-invest kwenye vitu vya anasa - ndege ya rais, televisheni ya rangi - zanzibar ilikuwa nchi ya kwanza afrika iliyokuwa na television ya rangi - hata South Africa wakati huo haikuwa na television ya rangi; majengo ya flats za ghorofa etc. Social investment zote hizi zilikuwa hazizalishi mali zaidi.
Bei ya karafuu ikaanza kushuka kuanzia mwaka wa 1977 na pia miti ya karafuu Pemba ikashambuliwa na magonjwa largely because of neglect - walikuwa hawa palilii na pia uvunaji ulitegemea sana vibarua toka bara. Pia nchi nyingine zikaanza kulima karafuu - indonesia etc Uchumi wa Zanzibar ukaanza kudorora - akiba yao ya fedha za kigeni walikuwa wameshaimaliza kwenye matumizi ya anasa na wakaanza kutegemea zaidi mainland.
In the 1980s they opened up a freeport ku-import things from Dubai, singapore etc and to re-export the same to the mainland without paying duty. Hii haikuwa sustainable kwa sababu mainland walizuia hii biashara kwa kuimpose duty - this made their Freeport a white elephant. They then turned to Beach Tourism which is now the mainstay of the economy wakishindana na Malindi Kenya. However if TZ mainland wakianza kufungua beach zake baada ya kuimprove infrastructure kuanzia Lunga Lunga mpaka Ruvuma ni kweli kuwa hii italeta ushindani mkubwa sana kwa biashara ya utalii Zanzibar.
Pia All geological indications are that ukanda wa bahari una gas na sio mafuta. Mafuta yako zaidi kwenye njchi kavu - mkuranga; lindi; mtwara etc. Kwa hiyo kabla hawa jitenga kwa hope ya mafuta ambayo hawana hakika nayo wangefikiria sana.
The important thing about Zanzibar is that they have to recognize kuwa uchumi wao ni mdogo sana na unategemea zaidi hali ya uchumi wa mainland. Wakijitenga lazima wakubali kwa watakuwa nje ya Tanzania na watakuwa treated that way. They cannot have their cake and eat it. K
Uchumi wao ukiwa matatani hawa wanaweza kuanza kwenda kwenye extremist politics na kuchukuliwa na Al Queda!
hakuna haja ya kuongeza chumvi...unaonekana unakereka sana wa Zanzibari wakidai haki zao...Kwasababu ,kichwa chako kimejaa kasumba za kwamba Zanzibar ni semehu ya Tanganyika... hili ndio tatizo kubwa hapa, yule mzee Nyeree aliwaharibu sana watu kwa kasumba ambazo imefikia wakati watanganyika kumuona kama nabii... Zanzibar iliungana na Tangayika na sio Tanzania Bara. Wakati ule hapakua na T,bara...Mimi nadhani watakuwa na haki siyo tu kuidai lakini kuichukua kwa nguvu tu. Kwa sababu "Zanzibar" katika historia haijawahi kumaanisha visiwa vya Pemba na Unguja TU!. Zanzibar ilikuwa ni kubwa kuliko visiwa hivyo viwili. Labda ndio maana ningependekezwa nchi hii mpya iitwe "Unguja na Pemba" kama ilivyo "Trinidad and Tobago"
Utumwa kitu kibaya sana hawa jamaa walitolewa bara kwenda kufanya kazi ya Utumwa leo hii wanasahau asili yao na kutukuza utumwa! naona Somalia ndogo ipo njiani!
Sawa, sasa tuwaone na jeshi lenu mje kuziteka Mombasa, Darisalama na Kilwa Kivinje. Si mnataka kujenga himaya? Tuwaone basi.
Mtu mzima wacha ujinga ,hivi kuna pasi za Tanganyika ? au ndio wataka tuburuza sie tusio na pasi ?Hivi Zanzibar wangependa kuwa na pasi zao za kusafiria kwenda ng'ambo kwa sababu wao ni nchi vile vile na hakuna sababu ya kutumia pasi ya Tanganyika?