Zanzibar wanajidanganya kuwa kwa kujitenga na Bara ndio watapata maendeleo ya haraka.
Siasa za dunia sasa zimebadilika. Si tena kati ya Ukomunist na ubepari. hivyo misaada kwa kigezo cha kuwa katika strategic area haipo tena.
Zanzibar wasipochunga wanaweza wakajitenga na baada ya hapo wakaingia katika mgogo wa kupigania madaraka kati ya wapemba na waunguja. Hayo hayajitokezi sasa hivi kutokana na Muungano. wale ambao wataona kama waliowekwa pembeni (sidelined) kwa muda mrefu watataka kulipiza kisasi. na huo utakuwa ni mgogoro mbaya sana.
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. wasipochunga hata kile kinachoshabikiwa kwa sasa kama muafaka wa serikali ya umoja wa kitaifa hakitaheshimiwa na nchi itajafika mahali itakuwa haitawaliki. Yetu macho.
Seif is very clever.
ni maswali magumu sana kujibika, nasema ni magumu kwa sababu wao 'Wazanzibar' siwamoja, na hawajawahi kuwa na umoja wakiwa nje ya muungano, (Kabla ya muungano), wana matabaka ya Rangi na ujuwaji, kuna kundi la watu ni bora zaidi ya wengine ambao wanaamini asili yao ni arabuni, kwa kuangalia vigezo vingi vya Zanzibar, nadhani itatokea Zanzibar mpya ambayo haikuwepo mwanzo nadhani Hiyo Zanzibar inaweza kuwa JAMUHURI YA MUUNGANO YA ZANZIBAR Namaanisha muungano wa Pemba na Unguja, Na huo Muungano utakuwa ni wa serikali tatu, serikali ya Pemba ambayo itakuwa na support ya arabuni na serikali ya unguja ambayo itakuwa na support ya "Tanganyika", pamoja na hayo huo muungano hautadumu miaka 46 kama ya huu muungano wa Tanzania na mwisho wa siku patakuwa na nchi Mbili ambazo si Zanzibar
Mkuu Steve, Historia hiyo ipo kwa mapana na marefu, tatizo kubwa labda ni maslahi na kasumba tu. Ukirudi kwenye historia utaona kwamba visiwa hivyo vilikuwa ni sehemu ya mwambao wa Tanganyika na vilitumiwa na wavuvi wa karne hizo. Aidha wengine wakaweka makaazi yao huko. Wengine waliingia huko kutokana na utumwa na wengi wa kundi hili walitoka ndani zaidi ya Tanganyika, kuna kundi la wafanyabiashara toka Tanganyika, Arabuni, Uhindini, Ngazija na n.k Kulikuwa na kundi la watafuta kazi walioingia huko toka sehemu mbalimbali za bara.Vyema kabisa mkuu Kibs! Labda niulize swali jingine; je, hamna historia yoyote ile kwamba Tanganyika, Pemba, Unguja na Mafia ni wamoja na waweza kuwa jamii moja kama nchi?!
ni ipi hiyo sasa na inafafanaje? Kwa hiyo ni Zanzibar mpya sivyo.. isiyofanana na yoyote ya zamani?
ni ipi hiyo sasa na inafafanaje? Kwa hiyo ni Zanzibar mpya sivyo.. isiyofanana na yoyote ya zamani?
Ukibakwa kumbe una sign cheti cha ndoa ..kisha ndio unaenda polisi?Zanzibar baada ya mapinduzi kabla ya kubakwa na Tanganyika (aka muumgano)
Zanzibar wanajidanganya kuwa kwa kujitenga na Bara ndio watapata maendeleo ya haraka.
Siasa za dunia sasa zimebadilika. Si tena kati ya Ukomunist na ubepari. hivyo misaada kwa kigezo cha kuwa katika strategic area haipo tena.
Zanzibar wasipochunga wanaweza wakajitenga na baada ya hapo wakaingia katika mgogo wa kupigania madaraka kati ya wapemba na waunguja. Hayo hayajitokezi sasa hivi kutokana na Muungano. wale ambao wataona kama waliowekwa pembeni (sidelined) kwa muda mrefu watataka kulipiza kisasi. na huo utakuwa ni mgogoro mbaya sana.
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. wasipochunga hata kile kinachoshabikiwa kwa sasa kama muafaka wa serikali ya umoja wa kitaifa hakitaheshimiwa na nchi itajafika mahali itakuwa haitawaliki. Yetu macho.
Seif is very clever.
Ukibakwa kumbe una sign cheti cha ndoa ..kisha ndio unaenda polisi?
Hakuna mkataba wa aina yoyote, zaidi ya historia kuwa Zanzibar visiwa vya Pemba na Unguja, zaidi Zanzibar ilikuwa ni pamoja na kisiwa cha Mafia.
It doesnt matter maana nimezoea nchi inaitwa Tanzania, ikiwa Tanganyika poa tu.Si ni jina tu la nchi siyo jna langu miye eti.kwani mnajiskiaje mtakapoitwa wa Tanganyika?, hili jina kama nya nya vilee!
Zanzibar baada ya mapinduzi kabla ya kubakwa na Tanganyika (aka muumgano)
Ukibakwa kumbe una sign cheti cha ndoa ..kisha ndio unaenda polisi?
Mzee Mwanakijiji,
Umesahau Zanzibar ya John Okello ndio ya Mapinduzi kabla ya Muungano!