Wewe hivo vikaratasi vilivo mikononi unajua vimeandikwa nini??? Hiyo picha ni ya jana jioni pale Lumumba iliopigwa na Polisi mmoja ninamsitiri jina lake, wacha Wazenji wadai chao.Naikumbuka picha hii ni kutoka moja ya mikutano ya CUF mwaka 2000 wewe unaileta hapa ?
walau wao wanapinga hii kitu wazi wazi
sie tumekuwa waoga kama panya vile
CHADEMA toeni tamko kuhusu hili
swali la kizushi
hati za muungano kwa nini zinafichwa?
kwa niin sherehe za muungano hazifanywi zanzibar?
Juzi Juzi walikuwa wanaswali kuzuia Hurricane isiivamie kisiwa cha Zanzibar na kukizoa, leo wameamua kukutana kujitenga na Tanganyika. Nawaamini kweli wana Freedom Heart kupigania Uhuru wao uliosombwa na Tanganyika. Na Tanganyika walivyo Wezi kwanini Zanzibar wasiwakimbie? More Power to Zanzibari People.
a maana karume alikuwa hujui kusoma au ?
a maana karume alikuwa hujui kusoma au ?
Alikuwa anajua kusoma, ila macho yalikuwa yamamwuma anaposoma maandishi mengi, hasa kama yameandikwa kwa kiingereza
Yule Mze alikuwa anajuwa kubaka tu waarab. English ilikuwa not reachable/no network.
Hivi! hawa wa TANGANIKA wanafaidika nini ktk Muungano? inaonekana wengi wanataka Muungano udumu, sio bure kunakitu hapa na wakotayari hata kutumia :laser::laser::laser:Muungano utadumu kwa vizazi na vizazi vingi vijavyo. Hao wanacheza makidamakida kwenye nyaya za umeme, kwisheni!!
Katika hali isiyo ya kawaida huko Zanzibar watu wengi wamefurika na wamehudhuria mhadhara ya kupinga muungano uliofanyika viwanja vya Lumuba mjini Zanzibar na hivyo kupelekea mpaka Polisi nao kushiriki katika uchukuaji picha za video katika mhadhara huo.
Kwa kweli Wazenji wamevunja ukimya na kuiweka SMZ katk hali ngumu ya mchakato wa katiba mpya licha ya kuwa kuna polisi wengi waliopelekwa kutoka Tanganyika kwa hofu ya kutokea fujo.
Walewale wamefanana na yule wa Guantanamo.