mzee mwanakiji huwa naheshimu sana michango yako.
lkn bado huwa najiuliza nini hasa msimamo wako kuhusu zenj.
nakumbuka zenj ilipoambiwa sio nchi uliandika makala nyingi tu za kutofurahishwa na neno lile na ulifika na kutaka wazenj wajikomboe.
wanapotaka kujikomboa umegeuka na unahoji upande wa pili
Takashi,
Mkuu wangu, wengi wetu hapa tunaitakia kheri Zanzibar kama nchi ndani ya Muungano na tunaamini kabisa Muungano wa nchi yetu una mapungufu ambayo yanatakiwa kutazamwa lakini sii madai ya wanansiasa ambao wana uchu wa madaraka kutaka kupokezana Urais, uwaziri mkuu na kadhalika.
Na pia mkuu wangu nataka nikwambie kwamba ondoa hiyo ndoto ya kuuvunja muungano kwa sababu haiwezekani na haitawezekana..Hakuna kitu kama hicho kutokea. Muungano wetu umetokana na sababu kubwa za kiusalama - National Security. Hivyo, serikali haina sababu wala ulazima wa kukwambia wewe na Wazanzibar wengine ni Usalama gani au kuna tatizo gani la kiusalama kwani hii ni - High Confidencial..
Kwa hiyo usituone wengine hapa tunazungumza kiushabiki au tunafanya kejeri na Uzanzibar kuondoa machungu tu, lakini hii issue ni kubwa kuliko wanasiasa na wananchi wengi VIJANA wanavyoifahamu na historia yake inaanzia mbali sana kabla ya Mapinduzi, ndani ya Mapinduzi na baada ya Mapinduzi. Mkuu na kati ya muda huo watu wengi wamekufa, watu walipoteza ndugu zao pasipo kujua wamekwenda wapi, kuna watu wamefukuzwa na kunyang'anywa hata uraia na wengine kupigwa marufuku kukanyaga Zanzibar au bara
Historia hii haiwezi kupotea kutokana na malalamiko ya baadhi ya watu kwa sababu tu wanataka Identity yao kitu mabacho hakiambatani na mila na desturi za Wazanzibar. Kudai Identity ya jina pasipo kutaka haki za kimila na desturi za Wazanzibar kusimama kwanza ni sawa na kudai kuitwa Abubakar aU Omar wakati sii Muislaam na upande wa pili wanajua fika kwamba majina haya sii ya kiiislaam ila ni ya Kiarabu. (Kwa maana kwamba Ububakar na Omar (Radhiallahu Anhu) walikuwa na majina hayo hata kabla hawajaukubali Uislaam. Hivyo kushabikia jina zaidi ya imani ni fikra mgando ambazo zimetawaliwa..
Nitaendelea kuwapinga wazanzibar kila mnapokuja na hoja hii ya Identity yenu kwa sababu huku majuu Zanzibar inajulikana kuliko Tanzania yenyewe acha mbali kuwepo kwa bara au Tanganyika. Ni Identity gani mnayoitaka zaidi ikiwa dunia nzima wanajua ipo nchi inaitwa Zanzibar na wengine wanafikiria Tanzania iko ndani ya Zanzibar au karibu na Zanzibar..
Takashi,
Mkuu wangu, wengi wetu hapa tunaitakia kheri Zanzibar kama nchi ndani ya Muungano na tunaamini kabisa Muungano wa nchi yetu una mapungufu ambayo yanatakiwa kutazamwa lakini sii madai ya wanansiasa ambao wana uchu wa madaraka kutaka kupokezana Urais, uwaziri mkuu na kadhalika.
Na pia mkuu wangu nataka nikwambie kwamba ondoa hiyo ndoto ya kuuvunja muungano kwa sababu haiwezekani na haitawezekana..Hakuna kitu kama hicho kutokea. Muungano wetu umetokana na sababu kubwa za kiusalama - National Security. Hivyo, serikali haina sababu wala ulazima wa kukwambia wewe na Wazanzibar wengine ni Usalama gani au kuna tatizo gani la kiusalama kwani hii ni - Highly Confidencial..
Kwa hiyo usituone wengine hapa tunazungumza kiushabiki au tunafanya kejeri na Uzanzibar kuondoa machungu tu, lakini hii issue ni kubwa kuliko wanasiasa na wananchi wengi VIJANA wanavyoifahamu na historia yake inaanzia mbali sana kabla ya Mapinduzi, ndani ya Mapinduzi na baada ya Mapinduzi. Mkuu na kati ya muda huo watu wengi wamekufa, watu walipoteza ndugu zao pasipo kujua wamekwenda wapi, kuna watu wamefukuzwa na kunyang'anywa hata uraia na wengine kupigwa marufuku kukanyaga Zanzibar au bara
Historia hii haiwezi kupotea kutokana na malalamiko ya baadhi ya watu kwa sababu tu wanataka Identity yao kitu ambacho hakiambatanishi mila na desturi za Wazanzibar. Kudai Identity ya jina pasipo kutaka haki za kimila na desturi za Wazanzibar kusimama kwanza ni sawa na kudai kuitwa Abubakar au Omar ili mradi tu uonekane unakubalika ndani ya Uislaam na upande wa pili wanajua fika kwamba majina haya sii Uislaam ila ni ya Kiarabu. (Kwa maana kwamba Abubakar na Omar (Radhiallahu Anhu) walikuwa na majina hayo hata kabla hawajaukubali Uislaam. Hivyo kushabikia jina zaidi ya imani ni fikra mgando ambazo zimetawaliwa..
Nitaendelea kuwapinga wazanzibar kila mnapokuja na hoja hii ya Identity yenu kwa sababu huku majuu Zanzibar inajulikana kuliko Tanzania yenyewe acha mbali kuwepo kwa bara au Tanganyika. Ni Identity gani mnayoitaka zaidi ikiwa dunia nzima wanajua ipo nchi inaitwa Zanzibar na wengine wanafikiria Tanzania iko ndani ya Zanzibar au karibu na Zanzibar..
Takashi,
Mkuu wangu, wengi wetu hapa tunaitakia kheri Zanzibar kama nchi ndani ya Muungano na tunaamini kabisa Muungano wa nchi yetu una mapungufu ambayo yanatakiwa kutazamwa lakini sii madai ya wanansiasa ambao wana uchu wa madaraka kutaka kupokezana Urais, uwaziri mkuu na kadhalika.
Na pia mkuu wangu nataka nikwambie kwamba ondoa hiyo ndoto ya kuuvunja muungano kwa sababu haiwezekani na haitawezekana..Hakuna kitu kama hicho kutokea. Muungano wetu umetokana na sababu kubwa za kiusalama - National Security. Hivyo, serikali haina sababu wala ulazima wa kukwambia wewe na Wazanzibar wengine ni Usalama gani au kuna tatizo gani la kiusalama kwani hii ni - Highly Confidencial..
Kwa hiyo usituone wengine hapa tunazungumza kiushabiki au tunafanya kejeri na Uzanzibar kuondoa machungu tu, lakini hii issue ni kubwa kuliko wanasiasa na wananchi wengi VIJANA wanavyoifahamu na historia yake inaanzia mbali sana kabla ya Mapinduzi, ndani ya Mapinduzi na baada ya Mapinduzi. Mkuu na kati ya muda huo watu wengi wamekufa, watu walipoteza ndugu zao pasipo kujua wamekwenda wapi, kuna watu wamefukuzwa na kunyang'anywa hata uraia na wengine kupigwa marufuku kukanyaga Zanzibar au bara
Historia hii haiwezi kupotea kutokana na malalamiko ya baadhi ya watu kwa sababu tu wanataka Identity yao kitu ambacho hakiambatanishi mila na desturi za Wazanzibar. Kudai Identity ya jina pasipo kutaka haki za kimila na desturi za Wazanzibar kusimama kwanza ni sawa na kudai kuitwa Abubakar au Omar ili mradi tu uonekane unakubalika ndani ya Uislaam na upande wa pili wanajua fika kwamba majina haya sii Uislaam ila ni ya Kiarabu. (Kwa maana kwamba Abubakar na Omar (Radhiallahu Anhu) walikuwa na majina hayo hata kabla hawajaukubali Uislaam. Hivyo kushabikia jina zaidi ya imani ni fikra mgando ambazo zimetawaliwa..
Nitaendelea kuwapinga wazanzibar kila mnapokuja na hoja hii ya Identity yenu kwa sababu huku majuu Zanzibar inajulikana kuliko Tanzania yenyewe acha mbali kuwepo kwa bara au Tanganyika. Ni Identity gani mnayoitaka zaidi ikiwa dunia nzima wanajua ipo nchi inaitwa Zanzibar na wengine wanafikiria Tanzania iko ndani ya Zanzibar au karibu na Zanzibar..
Mkuu labda nikujibu wewe kwa sababu umekuja kiungwana zaidi ya hao waliotangulia. Na nina hakika hawajui kitu isipokuwa tu wamekamata mabango ya Uzanzibar pasipo kujua haswa huu Muungano umetokana na nini..Labda niwajuze tu kwamba matatizo ya kiusalama yako ndani ya Zanzibar yenyewe kama historia inavyojieleza.Sawa Mkuu Mkandara, tatizo kubwa mimi naona ni tofauti ya mitazomo...Lakini baya zaidi ni kuwa watanganyika wengi wana ile tabia ya "superiority complex" kwamba mnahisi labda mnajua zaidi ... Tujaalie hivyo. Sasa cha kujiuliza mnatupeka wapi ? Miaka 47 ya Muungano imeleta nini? Kama umasikini ndio umezidi, kama uhasama ndio unazidi, kama chuki ndio zinazidi, sasa tunaeleka wapi?
Neno Muungano sio kitu kibaya . Lakini muungano huu mumeshindwa (Tanganyika) kuuendesha vizuri...Kila kitu waamuzi Tanganyika kwahiyo na lawama tutapeleka huko huko. Kweli kuvunja muungano ni kazi kubwa , lakini kitu kibaya ni kuendelea kama hivi ulivyo sasa.
Mimi naamini harakati hizi zitaleta matunda , kwani ni vitu viwili kimoja kipatikane, Kuwe na serikali tatu au tuvunje muungano.
Hiyo theory ya Kiusalama mimi siipi umuhimu mkubwa kwa miaki hii ya sasa. Muhimu kukumbuka kama kuna makubaliyano ya Muungano na hizo articles za muungano ndio zinatakiwa zifuatwe. Sio muuingize na kutoa kwa maslahi ya upande mmoja, kama kweli mna nia nzuri.
Muda unatumika na resources zinazotumika kuidhibiti Zanzibar kama zingetumika kujenga Tanganyika ,basi ingekua mbali sana. Lakini inaoneka ni fahari zaidi kujihisi kama mtawala kuliko kuangalia hali ya maisha ya watanganyika.
Tunaelekea kubaya sana, labda watokezee viongozi wenye busara kuweza kuelewa athari za baadae. Zanzibar ,sasa siasa zinapelekwa misikitini ...Kwanini tumefika hapa? Muungano wa kuburuzana ,si Muungano.
Wildcat.. ndio maana swali moja ambalo hatujalisikia ni kuona Wazanzibari walioko Bara waandamane kudai nchi yao.. kwanini wanaodai Zanzibar ni walioko Zanzibar zaidi na nje ya nchi - London in particular? Binafsi ningependa waitishwe Wazenji walioko Dar waanza kuisumbua serikali ya TZ kama walivyofanya IRA kwa Waingereza kule.
Nyerere alisema kitu ambacho kinaukweli; wakishatoka kwenye Muungano watajikuta hakuna tena "Wazanzibari" bali kuna Wapemba na Waunguja na na Wabara. Hili ni kweli - ni Wazanzibari kwa sababu ya Muungano. Wanafikiri kwamba husuda na visasi vya kabla ya mapinduzi vimetoweka.
Sijui kama watakuelewa, tumuombe mwenyezi Mungu waelewe inshallahYawezekana kuwa Bara ndio wameshika kila kitu kwa kufikiria au mtazamo, lakini nadhani hatuwezi kuwa sawa ikiwa asilimia zaidi ya 90 ya raia wa nchi hii Tanzania wanatoka bara. Hatuwezi kuwa sawa hata tukipiga mayowe wabara watasiskika zaidi ingawa Wazanzibar wamo na wanapiga makelele vile vile..na kibaya zaidi nusu ya Wazanzibar leo hii wanaishi bara
Mchawi alikuwa Nyerere alipofariki mchawi wa pili akawa CCM, alipooana na CUF na kutengeneza GNU mchawi mkubwa kuliko wote waliowahi kutokea ni muungano.Kilicho muhimu zaidi ni kutazama Wazanzibar kama nchi wanafaidika nini na Muungano huu ama kuna mapungufu yapi. Na toka niwasikie Wazanzibar wakilalamikia Muungano mara zote wameshindwa kujua kwanza utawala wenyewe ndani ya Zanzibar. Na wala sii zamani sana Wazanzibar wote walikuwa wakiwaulumu zaidi Baraza la Mapinduzi kuwa ni CCM na wanafanya yale alowaagiza Nyerere. Leo hii baada ya Muafaka bado mambo ni yaleyale sasa sielewi kama pia kuna mkono wa Nyerere
Hata mtu aliyekosa samaki baharini kwasababu nyingine atakwambia muungano umeleta dhiki.Kila Mzanzibar mwenye chuki na maisha alikuwa against CCM iwe ya Bara au Zanzibar. mapinduzi yalilaaniwa na kadhalika maadam tu chama ndicho kimeshika hatamu, basi haijalishi kama kiongozi ni Mzanzibar au Mbara..Lo baada ya kuunganisha nguvu za vyama bado tunaona madudu yale yale hata baada ta viongozi watatu wakubwa nchini kutoka ni Zanzibar. Tunaye Makamu wa rais, Rais wa Zanzibar na makamu wake wote hawa wanapewa heshima kubwa bara na ndani ya Jamhuri yetu kuliko hata waziri mkuu ambaye hatambuliki visiwani
Dhana inayotokana na hadithi za kusikika au majungu. Waulize humu ndani, Shamhuna amesema znz wanalipa umeme zaidi, toeni ushahidi hakuna jibu, si Shamhuna kasema!! Hakuna anayejua mabilioni yamememezwa na JMT kama matumizi ya umeme znz, Salimin na Karume wanajua vizuri sana, achilia mbali mishaharaNa sii kweli kabisa kwamba maendeleo ya Zanzibar yanapangwa bara au na wabara. Aliyekwambia hivi mwongo ila tuseme tu kwamba madai makubwa ya Zanzibar ni nafasi yao viongozi ktk Muungano wakitaka uwakilishi sawa wenye tafsiri ya mchumia tumbo..Wee nambie Bara kuna nini hasa kilichotengenezwa na serikali ambacho wewe unaweza kuweka madai haya maana Dar inajengwa na wawekezaji wakati umeme shida, maji shida tena sijawahi kusikia kama Masaki ina maji toka tupate Uhuru
Hili la kuchangia hawalijui, wanadai haki lakini hawakubali wajibu. Nimewahi kuuliza wanachangia kiasi gani JMT sijapewa jibu. Ninachosoma ni hekaya eti TRA inakusanya mabilioni kila siku, hadithi ndani ya meli.Na kuwekeza bara haiwezi kuwa kero kubwa ikiwa serikali ya Muungano inategemea kodi, Muungano pato lake linatoka bara kwa asilimia 99, hivyo kupata asilimia nne ni zaidi ya mchango wa Zanzibar kwa asilimia kubwa sana. Tukisema utapewa kile ulichoweka sidhani kama Zanzibar itaweza hata kujiendesha kama serikali ktk matumizi walokuwa nayo leo hii
Karne zilizopita ubora ulikuwa biashara ya utumwa, na kwa vile sultan alikuwa na makao znz ilikuwa ni sehemu salama kugawana bidhaa za watumwa kwenda uarabuni. Ni uhusiano huu ndio unaosababisha wenzetu znz waamini kuwa muungano ukivunjwa watafutiwa visa ya Oman!!!!!!!!Nimewahi kuandika hapa JF kuhusiana na uwekezaji bora wa miundombinu kwa Zanzibar hasa kukifanya kisiwa hicho kiwe Dutyfree kutokana na historia pamoja na location ya visiwa hivi kwani tunapoteza nafasi kubwa ya Ubora wa visiwa hivi kibiashara kama ilivyokuwa toka karne ya kwanza
Kinachowashinda sasa hivi ninini? wana BLW, mamlaka ya kodi, Rais n.k kwanini wasianze mkakati bila kuishirikisha JMT. Watakuwa wamevunja sheria gani.Tukiweza kuiwezesha Zanzibar kusimama kibiashara na ikajulikana Afrika kama ndio Mecca ya mali zote zinazotoka Asia na Ulaya, nina hakika wafanyabiashara wengi wa Kiafrika watakuja Unguja au Pemba kuliko kwenda Dubai au China na hakika kulingana na usemi wa Kiswahili kinachotakiwa Wazanzibar kuomba toka ktk Muungano huu ni - KUWEZESHWA nanyi mnaweza!
Tena wanataka mkuu wa majeshi na IGP wachaguliwe kwa zamu, sijui hawa watasaidiaje uwekezaji na ushindani wa biashara duniani.lakini sii maswala ya kulilia madaraka hali hakuna hisrotia yeyote inayoonyesha rais akiwa Mzanzibar basi ataweza kuihamisha BoT Zanzibar
Haswaa, bahati mbaya ndani ya bunge la JMT pamoja na idadi ya upendeleo, ukimsikia mbunge wa znz anaongea ujue anauliza znz ni nchi au si nchi, sijawahi kumsikia anayeongelea mambo ya uwekezaji n.k.haya mengine ya kuuchambua Muungano kwa sababu viongozi sio Wazanzibar ni kutotukumia akili zaidi ya kutazama rangi kwani kama chuki ipo baina ya bara na visiwani basi chuki hiyo haitokani na Muungano bali inatokana na viongozi wanaotaka zaidi madaraka kwani sauti ya mtu mmoja tu ndani ya bunge inaweza kudai haya yote mnayoyasema bila kuwa na hesabu sawa ya viongozi na kisha basi kila kiongozi wa Zanzibar anapochaguliwa ktk serikali ya Muungano huhama kabisa Unguja na kuhamishia makazi yake bara.Hili nalo neno mnatakiwa kujiuliza sana
Sijui kama watakuelewa, tumuombe mwenyezi Mungu waelewe inshallah
Mchawi alikuwa Nyerere alipofariki mchawi wa pili akawa CCM, alipooana na CUF na kutengeneza GNU mchawi mkubwa kuliko wote waliowahi kutokea ni muungano.
Lakini kuna mchawi mtoto anaanza kutambaa, huyu atarithiri mikoba ya mchawi muungano akifariki, anaitwa mapinduzi. Wapo wanaosema mchawi mapinduzi ni mtoto wa Nyerere, wengine wanasema si kweli baba yake anaitwa 'nywele za kipilipili'.
Hata mtu aliyekosa samaki baharini kwasababu nyingine atakwambia muungano umeleta dhiki.
Dhana inayotokana na hadithi za kusikika au majungu. Waulize humu ndani, Shamhuna amesema znz wanalipa umeme zaidi, toeni ushahidi hakuna jibu, si Shamhuna kasema!! Hakuna anayejua mabilioni yamememezwa na JMT kama matumizi ya umeme znz, Salimin na Karume wanajua vizuri sana, achilia mbali mishahara
Hili la kuchangia hawalijui, wanadai haki lakini hawakubali wajibu. Nimewahi kuuliza wanachangia kiasi gani JMT sijapewa jibu. Ninachosoma ni hekaya eti TRA inakusanya mabilioni kila siku, hadithi ndani ya meli.
Karne zilizopita ubora ulikuwa biashara ya utumwa, na kwa vile sultan alikuwa na makao znz ilikuwa ni sehemu salama kugawana bidhaa za watumwa kwenda uarabuni. Ni uhusiano huu ndio unaosababisha wenzetu znz waamini kuwa muungano ukivunjwa watafutiwa visa ya Oman!!!!!!!!
Kinachowashinda sasa hivi ninini? wana BLW, mamlaka ya kodi, Rais n.k kwanini wasianze mkakati bila kuishirikisha JMT. Watakuwa wamevunja sheria gani.
Tena wanataka mkuu wa majeshi na IGP wachaguliwe kwa zamu, sijui hawa watasaidiaje uwekezaji na ushindani wa biashara duniani.
Haswaa, bahati mbaya ndani ya bunge la JMT pamoja na idadi ya upendeleo, ukimsikia mbunge wa znz anaongea ujue anauliza znz ni nchi au si nchi, sijawahi kumsikia anayeongelea mambo ya uwekezaji n.k.
Hili la viongozi kuhamia bara nadhani wapo sahihi kwasababu familia zao zinapata haki zote bila kuathiri uzanzibar wao.
hakuna nchi inayoitwa zanzibar, ninajua kuna pemba na unguja, labda wanataka kitu kama hicho.
wanaitaka nchi "yao" ya zanzibar; wanataka kurudia "utukufu wa zanzibar" kwa kuwa hapa walipo sasa hawaoni manufaa "yoyote" kwa zanzibar. Wanasema wanaitaka nchi yao waliyonyang'anywa na wadanganyika (ati watanganyika). Wanataka warudishiwe nchi yao waliyonyang'anywa na nyerere na watu wa bara.
Ni zanzibar ipi hiyo wanayoitaka?
- zanzibar ya historia ya kale (zenj - nchi ya weusi?) ambayo ni zaidi ya visiwa vya unguja na pemba bali na mwambao wa afrika ya mashariki
- zanzibar ya sultani(ambaye naye utawala wake ulizidi mipaka ya unguja na pemba)
- zanzibar ya sultani chini ya mwingereza
- zanzibar ya baada ya uhuru na sultani akiwa bado ni mkuu wa nchi na serikali ya mseto
- zanzibar ya mapinduzi kabla ya muungano
- zanzibar "mpya" ambayo haijawahi kuwepo yaani ya baada ya muungano
ni ipi hasa wanayoitaka? Ni ipi hasa zanzibar "proper". Isije kuwa ni kama nchi ya ahadi ambayo iko katika fikra za watu tu lakini haijawahi kuwepo; yaani ile nchi imiminikayo maziwa na asali na kwamba watu wa bara na dunia nzima wanataka kuwanyang'anya wazanzibari. Na labda hapa itabidi tulijibu swali pia kuwa mzanzibari ni nani hasa?
Tunataka zanzabr huru,ambayo kama nchi nyengine zilivyokuwa huru,tena kimataifa. sio kitaifa kama hivi sasa.
tazama wanavyodeka kama watoto, na sisi mikio mingine makubwa kuliko zanzibar kama mbeya na mwanza tunataka kujitenga, unasemaje?
Hamuondoki hata pesa mbili, tushawagharamia sana, kama vipi fanyeni fujo ili jwtz lifanye kazi yake, na ateuliwe mkuu wa wilaya tu na jeshi aisimamie zanzibar, na ndio mpango mzima.
Kwanza wakamateni mafisadi wenu hasa hao wanasukuma mbele chuki ambao ndiyo mafisadi kuliko kina rostam, namaanisha kina karume, hamid mahmoud hamid, mansour humuod, juma shamuhuna. Kwa safisheni serikali yenu ilojaa mafisadi...
Mkuu labda nikujibu wewe kwa sababu umekuja kiungwana zaidi ya hao waliotangulia. Na nina hakika hawajui kitu isipokuwa tu wamekamata mabango ya Uzanzibar pasipo kujua haswa huu Muungano umetokana na nini..Labda niwajuze tu kwamba matatizo ya kiusalama yako ndani ya Zanzibar yenyewe kama historia inavyojieleza.
Yawezekana kuwa Bara ndio wameshika kila kitu kwa kufikiria au mtazamo wako, lakini nadhani hatuwezi kuwa sawa ikiwa asilimia zaidi ya 90 ya raia wa nchi hii Tanzania wanatoka bara. Hatuwezi kuwa sawa hata tukipiga mayowe wabara watasiskika zaidi ingawa Wazanzibar wamo na wanapiga makelele vile vile..na kibaya zaidi nusu ya Wazanzibar leo hii wanaishi bara.
Kilicho muhimu zaidi ni kutazama Wazanzibar kama nchi wanafaidika nini na Muungano huu ama kuna mapungufu yapi. Na toka niwasikie Wazanzibar wakilalamikia Muungano mara zote wameshindwa kujua kwanza utawala wenyewe ndani ya Zanzibar. Na wala sii zamani sana Wazanzibar wote walikuwa wakiwaulumu zaidi Baraza la Mapinduzi kuwa ni CCM na wanafanya yale alowaagiza Nyerere. Leo hii baada ya Muafaka bado mambo ni yaleyale sasa sielewi kama pia kuna mkono wa Nyerere.
Kila Mzanzibar mwenye chuki na maisha alikuwa against CCM iwe ya Bara au Zanzibar. mapinduzi yalilaaniwa na kadhalika maadam tu chama ndicho kimeshika hatamu, basi haijalishi kama kiongozi ni Mzanzibar au Mbara..Lo baada ya kuunganisha nguvu za vyama bado tunaona madudu yale yale hata baada ta viongozi watatu wakubwa nchini kutoka ni Zanzibar. Tunaye Makamu wa rais, Rais wa Zanzibar na makamu wake wote hawa wanapewa heshima kubwa bara na ndani ya Jamhuri yetu kuliko hata waziri mkuu ambaye hatambuliki visiwani.
Na sii kweli kabisa kwamba maendeleo ya Zanzibar yanapangwa bara au na wabara. Aliyekwambia hivi mwongo ila tuseme tu kwamba madai makubwa ya Zanzibar ni nafasi yao viongozi ktk Muungano wakitaka uwakilishi sawa wenye tafsiri ya mchumia tumbo..Wee nambie Bara kuna nini hasa kilichotengenezwa na serikali ambacho wewe unaweza kuweka madai haya maana Dar inajengwa na wawekezaji wakati umeme shida, maji shida tena sijawahi kusikia kama Masaki ina maji toka tupate Uhuru..
Na kuwekeza bara haiwezi kuwa kero kubwa ikiwa serikali ya Muungano inategemea kodi, hivyo sii busara sana kwa serikali kuwekeza sehemu ambayo haiwezi kuzalisha kodi ya kutosha. na kwa kukupa uhakika wa hili mfuko mzima wa Jamhuri ya Muungano pato lake linatoka bara kwa asilimia 99, hivyo kupata asilimia nne ni zaidi ya mchango wa Zanzibar kwa asilimia kubwa sana. Tukisema utapewa kile ulichoweka sidhani kama Zanzibar itaweza hata kujiendesha kama serikali ktk matumizi walokuwa nayo leo hii..
Mimmi nachoweza kusema ni kwamba kinachopjitajika kufanyika ni kuiwezesha Zanzibar.. yale mahitaji makubwa ya kuboresha uwekezaji zanzibar ndio yanatakiwa kupewa kipaumbele.
Nimewahi kuandika hapa JF kuhusiana na uwekezaji bora wa miundombinu kwa Zanzibar hasa kukifanya kisiwa hicho kiwe Dutyfree kutokana na historia pamoja na location ya visiwa hivi kwani tunapoteza nafasi kubwa ya Ubora wa visiwa hivi kibiashara kama ilivyokuwa toka karne ya kwanza. Na tumeshindwa kujifunza kwa nini Zanzibar ilikuwa soko kuu la biashara Afrika kabla hata ya Dubai, NewYock, London na kadhalika.
Tukiweza kuiwezesha Zanzibar kusimama kibiashara na ikajulikana Afrika kama ndio Mecca ya mali zote zinazotoka Asia na Ulaya, nina hakika wafanyabiashara wengi wa Kiafrika watakuja Unguja au Pemba kuliko kwenda Dubai au China na hakika kulingana na usemi wa Kiswahili kinachotakiwa Wazanzibar kuomba toka ktk Muungano huu ni - KUWEZESHWA nanyi mnaweza! lakini sii maswala ya kulilia madaraka hali hakuna hisrotia yeyote inayoonyesha rais akiwa Mzanzibar basi ataweza kuihamisha BoT Zanzibar, lakini yawezekana kabisa ktk dunia hii ya Utandawazi, Zanzibar ikaingia ktk orodha ya masoko makuu ya dunia (stock exchange) kama tutaiwezesha kwani sii muda China itakuwa superpower kiuchumi nasi tutakuwa tumejiandaa kuchukua fursa tulopewa kutokana na mazingira yetu.
haya mengine ya kuuchambua Muungano kwa sababu viongozi sio Wazanzibar ni kutotukumia akili zaidi ya kutazama rangi kwani kama chuki ipo baina ya bara na visiwani basi chuki hiyo haitokani na Muungano bali inatokana na viongozi wanaotaka zaidi madaraka kwani sauti ya mtu mmoja tu ndani ya bunge inaweza kudai haya yote mnayoyasema bila kuwa na hesabu sawa ya viongozi na kisha basi kila kiongozi wa Zanzibar anapochaguliwa ktk serikali ya Muungano huhama kabisa Unguja na kuhamishia makazi yake bara..Hili nalo neno mnatakiwa kujiuliza sana