Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,327
- 6,850
"Just as there's a gap between observing something and knowing how it works, there's a gap between knowing how something works and being able to do anything useful with it."Photo elevtric effect ilimpatua eistein Nobel prize na ndio uvumbuzi ulio revolutionize solar technology na dunia inafaidi mpaka leo.
Shida ta TESLA alikuwa hajali sana science culture hivyo teknolojua zake nyingi zilikuwa kichwani kwake hajapublish gunduxi zake zaidi patent hivyo baada ya kufa mbo mengi ya Teska hayana record.
Mfani teska ni mtu wa kwanza kugundua radio waves,x-ray, wireless technology. Wire less electric energy(Tesla tower), Mobile tower,fesla free energy device(Tesla coil)
Maabara ya tesla iliungua na kupoteza teknolojia nyingi ambazo alikuwa hajazi andika kwenye vitabu.
Wamarekani wanasemaga Tesla was a crazy geneus japo einstein nae wanadai alikuwa crazy( physics sio nzuri kuizama sana).
Kwangu mimi Tesla alikuwa mwamba wa electromagnetism wakati Einstein ni Futher of quantum/ modern physics (atomic na nuclear physics)
Umeme wa Solar kwa mara ya kwanza unasemekana ulianza kutumika kwenye miaka ya 1950
It Wasn't Relativity That Won Einstein His Nobel Prize
At 26, the famous physicist explained the science behind today's solar energy revolution.
www.theatlantic.com