Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,288
Elon musk na Job wanafanana kwa kila kitu
Wanafanana kwa mambo kadhaa ila sio kila kitu, Job was genius
Elon musk na Job wanafanana kwa kila kitu
Hadi sasa hivi wanasayansi wanaumiza kichwa kufanya hiyo theory ya kwenda kesho au kurudi jana iwe kweli ila bado hawajafanikiwa.Ila kitu walichofanikiwa katika hiyo theory ni kuamini kuwa ni jambo linawezekana,kwa hiyo ni suala la muda tu.
Einstein alikuwa ni kitu kingine mkuu.Imagine alidai kuwa kuna kitu kinaitwa black holes huko kwenye galaxy za mbali na kuelezea jinsi zilivyo.Miaka karibia mia mbele zikapelekwa telescope huko juu na ikajulikana kuwa ni kweli na kila kitu alichosema kuhusu black holes kipo vilevile.
Imagine Einstein aligundua kuwa ulimwengu unatanuka sijui kwa speed ya mwanga bila kutumia kifaa chochote kile wala technolojia yoyote ile
Watu wa zamani walikuwa ni hatari sana.Imagine hawakuwa na technolojia yoyote ile lakini waligundua kila kitu kuhusu anga za mbali kama vile jinsi sayari zinavyozunguka,jinsi zinavyovutana zenyewe kwa zenyewe pamoja na jua na mambo mengine mengi.
Vile ambavyo walikuwa wanaviona kuwa ni "the obvious", ISAAC NEWTON yeye alividhihirisha kuwa haviko rahisi kama walivyokuwa wanaviona, vilikuwa very complicated than they ever had a thought of.Unaweza kusema Newton alipelekea mapinduzi katika " modern means of transport" hasa kwenye usafiri wa anga hapo Newton ndio kupiga mwingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
AC Motor ni Kiswahili cha wapi, Kenya?Sijui kingereza mkuu ndio maana JF ikawekwa ili nyie mgogo mtutafsirie JF.
Alie kwambia ni kiswahili nani? Kama huelewi ac motor kaa pembeni waache wanayoyajua.AC Motor ni Kiswahili cha wapi, Kenya?
Motor ni neno la Kiswahili?Alie kwambia ni kiswahili nani? Kama huelewi ac motor kaa pembeni waache wanayoyajua.
Wapi TZ physics inafundishwa kwa kiswahili.
Aliebkwambia kiswahili nani, kwanza kiswahili hakina neno motor bali wanalitamka kwa kiswahili. Kama wewe ilunajali kiswhili andika wewe kwa kiswahili mimi niko huru kuandika navyotaka kama hutaelewa sio muhimu wapo watakao elewa kwa hio usinilazimishe kufuata unavotaka physics haikuandikwa kwa kiswhili au wewe ulisoma kwa kiswhili uniambie motor kwa kiswhili ni nini?Motor ni neno la Kiswahili?
sio Tesla kunawengine wameanzisha Nikola nao wanatengeze truck za umemeThe richest man in the world; Elon Musk named his company TESLA. That alone should shed you some light on what a genius Nikola was.