Ni yupi Mwanapinduzi wa Teknolojia kati ya TESLA na EINSTEIN.

Kwa ambao hawajaenda Shule ni rahisi kumpa Ushindi haraka TESLA maana ambavyo alivifanya vinajulikana kiurahisi. Lakini kwa wote waliopiga shule ikawaingia kunako ubongo, watampa credit EISTEIN. Akili ya Eistein ni balaa na iliweza kutatua maswali matakatifu katika Matter, Energy, Time, Space, Motion, Gravity, Photons, etc. Kwa Dhima hii Ulimwengu mpya wa Engineering katika kizazi hiki na kijacho Utategemea Concept za EISTEIN tu. So mimi Nampa Credit Eistein Ingawa nakiri Tesla nae hakuwa mtu kama mtanzania, We mtu gani anatengeneza hadi maradi akiwa ghetto, Tesla ni jini.
View attachment 2070883
 
Kwa ambao hawajaenda Shule ni rahisi kumpa Ushindi haraka TESLA maana ambavyo alivifanya vinajulikana kiurahisi. Lakini kwa wote waliopiga shule ikawaingia kunako ubongo, watampa credit EISTEIN. Akili ya Eistein ni balaa na iliweza kutatua maswali matakatifu katika Matter, Energy, Time, Space, Motion, Gravity, Photons, etc. Kwa Dhima hii Ulimwengu mpya wa Engineering katika kizazi hiki na kijacho Utategemea Concept za EISTEIN tu. So mimi Nampa Credit Eistein Ingawa nakiri Tesla nae hakuwa mtu kama mtanzania
Kwa mantiki hii, kuna mambo kibao ya Eistein ambayo bado hayajafanyiwa kazi hadi leo.
 
Watu mnashindwa kuelewa tofauti ya Tesla na Eistein. kifupi hawa ni watu wenye karama tofauti. Karama hizo ni Mtendaji na Mfikiriaji. Tesla alikuwa ni mtendaji, Kifupi tunaweza kumuita ndiye mtendaji bora zaidi wa kazi za Physics Katika historia. Na Eistein Alikuwa Ni Mfikiriaji Mgunduzi wa mambo mazito mazito. Hivyo hawa jamaa kwa jicho la tatu walikuwa ni watu wanaotegemeana, Mmoja afikirie Mwingine Alichukue wazo lililokwisha fikiria aligeuze kiwe kitu kinachotumika kiuhalisia. Ila hali haikuwa hivyo maana hawakuwa pamoja
Hivyo Tesla Alilazimika kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja yaani Kufikiria na kugeuza mawazo yake kuwa kitu. Na Eistein Alibaki kama great thinker akifanikiwa kufumbua mafumbo magumu katika ulimwengu wa sayansi itakayotumika hadi milele. Mfano kwenda kesho na kurudi jana.
 
Hakuna mwanasayansi bora kuwahi kutokea kumzidi eistein...

Eisten atabaki kywa mwanasayansi na mvumbuzi bora wa tecnolojia inayo kuja na ya sasa..
Wakuu hii Ishu ya nani ni bora zaidi kati Tesla na Eistein katika Ulimwengu wa Technology, Imekuwa ni tata Sasa, kila Mtu ana mawazo yake kuhuwa wababe hawa wawili. Naomba Wataalam mtumalizie mgogoro huu, nani ni genious Kumzidi mwenzie.
 
... unalinganishaje maembe na machungwa mzee? Tesla ni kampuni while Einstein (Albert) ni kichwa fulani cha hatari ambacho kilipewa hadhi ya Mwanasayansi wa Karne. Tesla hawa-develop theories bali ni mafundi mchundo fulani wa hatari wanao-apply theories walizo-develop ma-genius kama akina Einstein into reality (physical things - magari, etc.). Baada ya maelezo hayo, conclude mwenyewe.
 
Msome vizuri Tesla umpe heshima yake.
Modern physics Enstein.
 
Nikola Tesla, (born July 9/10, 1856, Smiljan, Austrian Empire [now in Croatia]—died January 7, 1943, New York, New York, U.S.), Serbian American inventor and engineer who discovered and patented the rotating magnetic field, the basis of most alternating-current machinery. He also developed the three-phase system of electric power transmission......https://www.britannica.com/biography/Nikola-Tesla
 
Bro Tesla ni jina la mtu aliyewasha dunia kwa umeme, Hii Kampuni Ya Elon Musk Wanatumia tu jina la huyo mbabe
 
... unalinganishaje maembe na machungwa mzee? Tesla ni kampuni while Einstein (Albert) ni kichwa fulani cha hatari ambacho kilipewa hadhi ya Mwanasayansi wa Karne. Tesla hawa-develop theories bali ni mafundi mchundo fulani wa hatari wanao-apply theories walizo-develop ma-genius kama akina Einstein into reality (physical things - magari, etc.). Baada ya maelezo hayo, conclude mwenyewe.
Huwezi ongelea wireless technology(simu kolokolo zote) bila kumtaj Tesla.
 
Kwa ambao hawajaenda Shule ni rahisi kumpa Ushindi haraka TESLA maana ambavyo alivifanya vinajulikana kiurahisi. Lakini kwa wote waliopiga shule ikawaingia kunako ubongo, watampa credit EISTEIN. Akili ya Eistein ni balaa na iliweza kutatua maswali matakatifu katika Matter, Energy, Time, Space, Motion, Gravity, Photons, etc. Kwa Dhima hii Ulimwengu mpya wa Engineering katika kizazi hiki na kijacho Utategemea Concept za EISTEIN tu. So mimi Nampa Credit Eistein Ingawa nakiri Tesla nae hakuwa mtu kama mtanzania
Watanzania tumekukosea nn sasa 😔😔😔
 
Nikola Tesla, (born July 9/10, 1856, Smiljan, Austrian Empire [now in Croatia]—died January 7, 1943, New York, New York, U.S.), Serbian American inventor and engineer who discovered and patented the rotating magnetic field, the basis of most alternating-current machinery. He also developed the three-phase system of electric power transmission......https://www.britannica.com/biography/Nikola-Tesla
Msome vizuri Tesla umpe heshima yake.
Modern physics Enstein.
... duh! Nikajua n ile Tesla (kampuni) ya Elon Musk!
 
... unalinganishaje maembe na machungwa mzee? Tesla ni kampuni while Einstein (Albert) ni kichwa fulani cha hatari ambacho kilipewa hadhi ya Mwanasayansi wa Karne. Tesla hawa-develop theories bali ni mafundi mchundo fulani wa hatari wanao-apply theories walizo-develop ma-genius kama akina Einstein into reality (physical things - magari, etc.). Baada ya maelezo hayo, conclude mwenyewe.
Bila ya shaka umesoma HKL.
 
Tesla a.k.a Baba Swalehe NI noma. Alitaka kuunganisha dunia na umeme wireless

Back
Top Bottom