Wanakera hawa watu. Nisamehe kama nimekukwazaMbona uko na negativity kiasi hiko jamaniiii
Watoto wa Mungu hao, roho zao nyeupe sana. Ningeweza ningeoa wote wawili
Mtoto unanipa sana furaha kila nikisoma comments zako moyo wangu hufurahi sana. Una busara, hekima na akili sana, wewe ni dream ya kila mwanaume mwenye akili timamuAsante dada yangu, gazeti langu la jioni, jemedari, kamanda kipensi[emoji16][emoji16]
Ngoja niachie hapo Kadadaa
Nakupenda na tuingie wote 2023
Inshallah
Gentamycin na Robert heriel🙏🙏🙏Mwaka unakaribia kuisha ni wazi kwamba wapo wana JF wengi walijitokeza na kufanya vizuri au kuchangamsha kutokana na mada au michango yao mbalimbali.
Baadhi ya wa JF wameonekana kufanya vizuri zaidi kwa mwaka huu, unadhani ni nani anastahili Tuzo ya mwana JF bora kwa mwaka 2022, kwa upande wangu ningechagua miongoni mwa wafuatao;
1. Mshana Jr - Hujitokeza katika majukwaa mbalimbali kwa kuchangia au kutoa mada, ni mzuri sana kwenye mada za Dini na za Sayansi ya asili.
2. Paschal Mayalla - Pamoja na kujipambanua itikadi yake kisiasa lakini haiondoi ukweli kuwa mada na michango yake ili elimisha wengi.
3. Gentamycin - Hushambuliwa na baadhi ya wana JF kila anapotoa uzi, lakini haiondoi ukweli kuwa alikuwa bora kwa mwaka huu, anastahili Tuzo.
4. Erythcrote- Mwana CHADEMA kindakindaki, hujitokeza pia kwenye majukwaa mengine hasa michezo, amekuwa mwana JF mzuri kuharisha members wengine kwa mwaka huu, naona pia anastahili Tuzo.
5. MK254 - Kwenye vita ya Urusi na Ukraine amekuwa akitoa breaking news kila inapotokea ingawa ameegemea sana upande wa Ukraine.
6. Okwi Boban Sunzu - Hupatikana sana kwenye michezo akiisapoti timu yake ya Simba na pia Siasa akikisapoti chama chake cha Chadema, alikuwa member mzuri mwaka huu.
7. Sky Eclat - Ni mwanamama mwenye madini mengi kichwani na amekuwa akiyatoa bila shida kwa wana JF.
8. Umughaka - Story zake za kusisimua zimewaburudisha na kuwafundisha wengi kungekuwa na Tuzo angekuwa miongoni mwa wanaowania.
9. Victoire - Yeye pia ni miongoni mwa wana JF alitamba kwenye majukwaa mbalimbali mwaka huu.
10. Mpwayugu village - Mtaalam wa story ingawa zingine zilikuwa hazifiki mwisho.
11. Shaadeya - Mwana Yanga lia lia, yeye na Yanga yake.
12. Bujibuji - Amechangia sana kwenye majukwaa mbalimbali bila kumdhihaki mtu.
13. Rickboy - Sijui kama nimepatia spelling, huyu yeye kwenye Jukwaa la kugegedana amepakamata.
14. Mzee Mohamed- Jukwaa la Historia ni kama lake, amekuwa akishusha nondo za uhakika, ingawa anashutumiwa kwa kupendelea Dini yake.
Kwa upande wako unadhani nani anastahili Tuzo hii kama ingekuwa inatolewa?
Naachaje kukusifia kwa kile nachoamini ni kweli?Yamekua hayo tena jamaniiiiiiii
Carleen embu kuja huku uone
Jamaa kila siku na mchepuko wake [emoji23]Umemsahauje Mzee wa story za Mama J DeepPond anatisha sana ujue
[emoji1752][emoji1545]Binafsi Mshana jr...wa pili Gentamycin...watatu...mpwayungu ni akil kubwa sana...wa nne robert mzee wa fasihi...na watano ni analyse....aisee aisee hawa ubongo zao sio za kawaida...ili uwaelewe weka wivu pemben...kupitia hawa unaweza jifunza kitu
Huyu jamaa mpwayungu village anaingiaje hapo...hakika amechangia Sana ktk kuwatia simanzi walimu WETU ...mtoe kwenye listMwaka unakaribia kuisha ni wazi kwamba wapo wana JF wengi walijitokeza na kufanya vizuri au kuchangamsha kutokana na mada au michango yao mbalimbali.
Baadhi ya wa JF wameonekana kufanya vizuri zaidi kwa mwaka huu, unadhani ni nani anastahili Tuzo ya mwana JF bora kwa mwaka 2022, kwa upande wangu ningechagua miongoni mwa wafuatao;
1. Mshana Jr - Hujitokeza katika majukwaa mbalimbali kwa kuchangia au kutoa mada, ni mzuri sana kwenye mada za Dini na za Sayansi ya asili.
2. Paschal Mayalla - Pamoja na kujipambanua itikadi yake kisiasa lakini haiondoi ukweli kuwa mada na michango yake ili elimisha wengi.
3. Gentamycin - Hushambuliwa na baadhi ya wana JF kila anapotoa uzi, lakini haiondoi ukweli kuwa alikuwa bora kwa mwaka huu, anastahili Tuzo.
4. Erythcrote- Mwana CHADEMA kindakindaki, hujitokeza pia kwenye majukwaa mengine hasa michezo, amekuwa mwana JF mzuri kuharisha members wengine kwa mwaka huu, naona pia anastahili Tuzo.
5. MK254 - Kwenye vita ya Urusi na Ukraine amekuwa akitoa breaking news kila inapotokea ingawa ameegemea sana upande wa Ukraine.
6. Okwi Boban Sunzu - Hupatikana sana kwenye michezo akiisapoti timu yake ya Simba na pia Siasa akikisapoti chama chake cha Chadema, alikuwa member mzuri mwaka huu.
7. Sky Eclat - Ni mwanamama mwenye madini mengi kichwani na amekuwa akiyatoa bila shida kwa wana JF.
8. Umughaka - Story zake za kusisimua zimewaburudisha na kuwafundisha wengi kungekuwa na Tuzo angekuwa miongoni mwa wanaowania.
9. Victoire - Yeye pia ni miongoni mwa wana JF alitamba kwenye majukwaa mbalimbali mwaka huu.
10. Mpwayugu village - Mtaalam wa story ingawa zingine zilikuwa hazifiki mwisho.
11. Shaadeya - Mwana Yanga lia lia, yeye na Yanga yake.
12. Bujibuji - Amechangia sana kwenye majukwaa mbalimbali bila kumdhihaki mtu.
13. Rickboy - Sijui kama nimepatia spelling, huyu yeye kwenye Jukwaa la kugegedana amepakamata.
14. Mzee Mohamed- Jukwaa la Historia ni kama lake, amekuwa akishusha nondo za uhakika, ingawa anashutumiwa kwa kupendelea Dini yake.
Kwa upande wako unadhani nani anastahili Tuzo hii kama ingekuwa inatolewa?
Mshana bado sikatai ila Genta ana ubabe mwingi mno nakumbuka niliwahi kaa na Ret Gen David Musuguri ndo wale wale yani kwa habari za kutandikana wao hawarudi nyuma ila kama ulivyosema huwa ni watu ambao nawakubali sana.Binafsi Mshana jr...wa pili Gentamycin...watatu...mpwayungu ni akil kubwa sana...wa nne robert mzee wa fasihi...na watano ni analyse....aisee aisee hawa ubongo zao sio za kawaida...ili uwaelewe weka wivu pemben...kupitia hawa unaweza jifunza kitu
Genta huwa anawasilisha hoja zake vizuri tu, shida watu wameshamjua wakimchokoza anahama kwenye reliMshana bado sikatai ila Genta ana ubabe mwingi mno nakumbuka niliwahi kaa na Ret Gen David Musuguri ndo wale wale yani kwa habari za kutandikana wao hawarudi nyuma ila kama ulivyosema huwa ni watu ambao nawakubali sana.
Kama sijamuonaMwaka unakaribia kuisha ni wazi kwamba wapo wana JF wengi walijitokeza na kufanya vizuri au kuchangamsha kutokana na mada au michango yao mbalimbali.
Baadhi ya wa JF wameonekana kufanya vizuri zaidi kwa mwaka huu, unadhani ni nani anastahili Tuzo ya mwana JF bora kwa mwaka 2022, kwa upande wangu ningechagua miongoni mwa wafuatao;
1. Mshana Jr - Hujitokeza katika majukwaa mbalimbali kwa kuchangia au kutoa mada, ni mzuri sana kwenye mada za Dini na za Sayansi ya asili.
2. Paschal Mayalla - Pamoja na kujipambanua itikadi yake kisiasa lakini haiondoi ukweli kuwa mada na michango yake ili elimisha wengi.
3. Gentamycin - Hushambuliwa na baadhi ya wana JF kila anapotoa uzi, lakini haiondoi ukweli kuwa alikuwa bora kwa mwaka huu, anastahili Tuzo.
4. Erythcrote- Mwana CHADEMA kindakindaki, hujitokeza pia kwenye majukwaa mengine hasa michezo, amekuwa mwana JF mzuri kuharisha members wengine kwa mwaka huu, naona pia anastahili Tuzo.
5. MK254 - Kwenye vita ya Urusi na Ukraine amekuwa akitoa breaking news kila inapotokea ingawa ameegemea sana upande wa Ukraine.
6. Okwi Boban Sunzu - Hupatikana sana kwenye michezo akiisapoti timu yake ya Simba na pia Siasa akikisapoti chama chake cha Chadema, alikuwa member mzuri mwaka huu.
7. Sky Eclat - Ni mwanamama mwenye madini mengi kichwani na amekuwa akiyatoa bila shida kwa wana JF.
8. Umughaka - Story zake za kusisimua zimewaburudisha na kuwafundisha wengi kungekuwa na Tuzo angekuwa miongoni mwa wanaowania.
9. Victoire - Yeye pia ni miongoni mwa wana JF alitamba kwenye majukwaa mbalimbali mwaka huu.
10. Mpwayugu village - Mtaalam wa story ingawa zingine zilikuwa hazifiki mwisho.
11. Shaadeya - Mwana Yanga lia lia, yeye na Yanga yake.
12. Bujibuji - Amechangia sana kwenye majukwaa mbalimbali bila kumdhihaki mtu.
13. Rickboy - Sijui kama nimepatia spelling, huyu yeye kwenye Jukwaa la kugegedana amepakamata.
14. Mzee Mohamed- Jukwaa la Historia ni kama lake, amekuwa akishusha nondo za uhakika, ingawa anashutumiwa kwa kupendelea Dini yake.
Kwa upande wako unadhani nani anastahili Tuzo hii kama ingekuwa inatolewa?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Binafsi Mshana jr...wa pili Gentamycin...watatu...mpwayungu ni akil kubwa sana...wa nne robert mzee wa fasihi...na watano ni analyse....aisee aisee hawa ubongo zao sio za kawaida...ili uwaelewe weka wivu pemben...kupitia hawa unaweza jifunza kitu
Hata yangu hujakariri au sioWapo wengi ni vile IDs sijazikariri