Ni yupi MwanaJF bora kwa mwaka 2022

Ni yupi MwanaJF bora kwa mwaka 2022

Mwaka unakaribia kuisha ni wazi kwamba wapo wana JF wengi walijitokeza na kufanya vizuri au kuchangamsha kutokana na mada au michango yao mbalimbali.

Baadhi ya wa JF wameonekana kufanya vizuri zaidi kwa mwaka huu, unadhani ni nani anastahili Tuzo ya mwana JF bora kwa mwaka 2022, kwa upande wangu ningechagua miongoni mwa wafuatao;

1. Mshana Jr - Hujitokeza katika majukwaa mbalimbali kwa kuchangia au kutoa mada, ni mzuri sana kwenye mada za Dini na za Sayansi ya asili.

2. Paschal Mayalla - Pamoja na kujipambanua itikadi yake kisiasa lakini haiondoi ukweli kuwa mada na michango yake ili elimisha wengi.

3. Gentamycin - Hushambuliwa na baadhi ya wana JF kila anapotoa uzi, lakini haiondoi ukweli kuwa alikuwa bora kwa mwaka huu, anastahili Tuzo.

4. Erythcrote- Mwana CHADEMA kindakindaki, hujitokeza pia kwenye majukwaa mengine hasa michezo, amekuwa mwana JF mzuri kuharisha members wengine kwa mwaka huu, naona pia anastahili Tuzo.

5. MK254 - Kwenye vita ya Urusi na Ukraine amekuwa akitoa breaking news kila inapotokea ingawa ameegemea sana upande wa Ukraine.

6. Okwi Boban Sunzu - Hupatikana sana kwenye michezo akiisapoti timu yake ya Simba na pia Siasa akikisapoti chama chake cha Chadema, alikuwa member mzuri mwaka huu.

7. Sky Eclat - Ni mwanamama mwenye madini mengi kichwani na amekuwa akiyatoa bila shida kwa wana JF.

8. Umughaka - Story zake za kusisimua zimewaburudisha na kuwafundisha wengi kungekuwa na Tuzo angekuwa miongoni mwa wanaowania.

9. Victoire - Yeye pia ni miongoni mwa wana JF alitamba kwenye majukwaa mbalimbali mwaka huu.

10. Mpwayugu village - Mtaalam wa story ingawa zingine zilikuwa hazifiki mwisho.

11. Shaadeya - Mwana Yanga lia lia, yeye na Yanga yake.

12. Bujibuji - Amechangia sana kwenye majukwaa mbalimbali bila kumdhihaki mtu.

13. Rickboy - Sijui kama nimepatia spelling, huyu yeye kwenye Jukwaa la kugegedana amepakamata.

14. Mzee Mohamed- Jukwaa la Historia ni kama lake, amekuwa akishusha nondo za uhakika, ingawa anashutumiwa kwa kupendelea Dini yake.

Kwa upande wako unadhani nani anastahili Tuzo hii kama ingekuwa inatolewa?
Uwape tuzo hao washindi sio unabandika majina ya watu kizembezembe. Otherwise utakuwa ni bangusilo
 
Kabisa naunga mkono hoja ,na kitendo cha kumuweka MK254 huu uzi ni takataka moja kwa moja bila kupingwa..View attachment 2441953

Safi sana kwa kunipa morale... fulu mzuukaaa nawapenda sana mashabiki zangu, endeleeni kunifuatilia....
Sitawaangusha, nitaendelea kuleta habari moto moto...mpaka sasa nina

Reaction score 36,924
Trophy points 2,000

Matakbir wote nawapenda Bwana Utam
 
Mwaka unakaribia kuisha ni wazi kwamba wapo wana JF wengi walijitokeza na kufanya vizuri au kuchangamsha kutokana na mada au michango yao mbalimbali.

Baadhi ya wa JF wameonekana kufanya vizuri zaidi kwa mwaka huu, unadhani ni nani anastahili Tuzo ya mwana JF bora kwa mwaka 2022, kwa upande wangu ningechagua miongoni mwa wafuatao;

1. Mshana Jr - Hujitokeza katika majukwaa mbalimbali kwa kuchangia au kutoa mada, ni mzuri sana kwenye mada za Dini na za Sayansi ya asili.

2. Paschal Mayalla - Pamoja na kujipambanua itikadi yake kisiasa lakini haiondoi ukweli kuwa mada na michango yake ili elimisha wengi.

3. Gentamycin - Hushambuliwa na baadhi ya wana JF kila anapotoa uzi, lakini haiondoi ukweli kuwa alikuwa bora kwa mwaka huu, anastahili Tuzo.

4. Erythcrote- Mwana CHADEMA kindakindaki, hujitokeza pia kwenye majukwaa mengine hasa michezo, amekuwa mwana JF mzuri kuharisha members wengine kwa mwaka huu, naona pia anastahili Tuzo.

5. MK254 - Kwenye vita ya Urusi na Ukraine amekuwa akitoa breaking news kila inapotokea ingawa ameegemea sana upande wa Ukraine.

6. Okwi Boban Sunzu - Hupatikana sana kwenye michezo akiisapoti timu yake ya Simba na pia Siasa akikisapoti chama chake cha Chadema, alikuwa member mzuri mwaka huu.

7. Sky Eclat - Ni mwanamama mwenye madini mengi kichwani na amekuwa akiyatoa bila shida kwa wana JF.

8. Umughaka - Story zake za kusisimua zimewaburudisha na kuwafundisha wengi kungekuwa na Tuzo angekuwa miongoni mwa wanaowania.

9. Victoire - Yeye pia ni miongoni mwa wana JF alitamba kwenye majukwaa mbalimbali mwaka huu.

10. Mpwayugu village - Mtaalam wa story ingawa zingine zilikuwa hazifiki mwisho.

11. Shaadeya - Mwana Yanga lia lia, yeye na Yanga yake.

12. Bujibuji - Amechangia sana kwenye majukwaa mbalimbali bila kumdhihaki mtu.

13. Rickboy - Sijui kama nimepatia spelling, huyu yeye kwenye Jukwaa la kugegedana amepakamata.

14. Mzee Mohamed- Jukwaa la Historia ni kama lake, amekuwa akishusha nondo za uhakika, ingawa anashutumiwa kwa kupendelea Dini yake.

Kwa upande wako unadhani nani anastahili Tuzo hii kama ingekuwa inatolewa?

Aisei ungetag kabisa, kumbe nimetajwa humu sikujua, safi sana fulu mzuka nitazileta sana habari moto moto za namna Urusi anachakazwa baada ya kujaribu kuparamia nchi ya watu.
 
Safi sana kwa kunipa morale... fulu mzuukaaa nawapenda sana mashabiki zangu, endeleeni kunifuatilia....
Sitawaangusha, nitaendelea kuleta habari moto moto...mpaka sasa nina

Reaction score 36,924
Trophy points 2,000

Matakbir wote nawapenda Bwana Utam
Hii comment imedhihirisha kiasi gani ulivyo mjinga , hata sasa video za porn na upuuzi mwingine zina views na likes nyingi kushinda vitu vingi vya msingi..
 
Safi sana, ila wacha nikuache nilitaka nilete zile nondo zangu ambazo husababisha unifuatilie, ila sitaki kuhamisha kusudi la huu, tukutane kule kwingine...
 
1. Umughaka ( Story telling)

2. BMx (Story telling)

3. Mtabiri wa ajali ya ndege ( utabiri)

4 Mshana Jr ( mchanganyiko)

5 Dead pond ( Ngonoige)

6. Toyeye (koment ngumungumu)

7. Bujibuji ( mchanganyiko)

8 Shimba ya Buyenze, Rycklee

9 Mzee wa kupambania, Mzabzab ( mahusiano)

10. T Armata, Qbils, Hammaz, Mk55, Vilgr (vita na mapigano)

Nb
Majina mengine nimekosea herufi.
Edit inaendelea.
 
Back
Top Bottom