Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,972
- 23,283
Kama kukalia kwanini kuwe na misambwanda na vitenesi? Siyo kukalia tu kuna kazi nyingine zaidi ya hiyo.kwani kazi ya matako ni nini?kukalia?
Kama kukalia kwanini kuwe na misambwanda na vitenesi? Siyo kukalia tu kuna kazi nyingine zaidi ya hiyo.kwani kazi ya matako ni nini?kukalia?
Mfundisha maumbo kindergartensHuyo ni Mwalimu wa kitu gani !??🤣🤣
Ahaaaa 😁kwenye uumbaji mara ya kwanza embrinyo wote huwa wa jinsia ya kike.
ila baada ya muda jinsia huanza kujitokeza na utofauti huanzia hapo kati ya jinsia ya kike na kiume.
mfano mwanaume ana mstari kama wa mwanamke kwenye sehemu zake za siri (kama zimeshonwa na cherehani hivi[emoji2])ambazo zinakaribiana kabisa na wenzetu wa jinsia ya ke.
manyonyo pia ni katika mfano huo sema ya mwanaume haya hayana ishu yyote .
😁😁Hilo jibu limejitosheleza.
Chuchu zimezungukwa na nywele kamandaKwani unampa mtoto nywele au nyonyo??!!
Chuchu zimezungukwa na nywele kamanda
Unajuwa, kama kila mtu akisema asijibu kinachoulizwa na watu humu kisa ''WE STUDIED POORLY" maisha yangekuwa magumu sana....Unadhani waliyofunzwa wenzako wote na wewe ulifunzwa? Na kama ni hapana u (you) studied poorly?
Kama mtu hajui acha aulize.... Maana halisi ya GT ni kuweka majibu sahihi juu ya kilichoulizwa... Wengine wamedharau, jambo ambalo linaondoa maana ya GTMwanaume hana nyonyo, bali ni vichuchu...
Kati ya zile sehemu sensitive hiyo ni moja wapo... ni sawa na kuuliza nini matumzi sahihi ya (mikis/Clitoris) ya mwanamke...
Cc: mahondaw
Walimwengu wa ajabu sana, anadai kufahamu jambo lakini anashindwa kulieleza.Unajuwa, kama kila mtu akisema asijibu kinachoulizwa na watu humu kisa ''WE STUDIED POORLY" maisha yangekuwa magumu sana....
HALAFU SIJAONA ALIYEJIBU VYA KUELEWEKA... na kwenye ndevu ndo balaa.....
Ukinyoa nywele zinakua sindano, mtoto si atachubuka ?Unanyoa hizo nywele kuzunguka chuchu ili ionekane kuweza kunyonyesha, kamanda. Mbona ndevu tunanyoa!![emoji1787][emoji1787].
Ila sikuhizi jambo hilo ni gumu sana kwani ni mwanaume (pamoja na mimi) gani umwambie jambo hilo akuelewe na akubali??![emoji12]. Na ndiyo maana badala yake watu/wanaume wakabuni "dummy nipples", (pacifiers) kwa ajili hiyo.
Ni sawa na kumwambia mwanaume apike, aoshe vyombo na afue wakati mke yupo, utasikia wapambe wakisema; " kalishwa limbwata na mkewe". [emoji1787][emoji1787]
Ukinyoa nywele zinakua sindano, mtoto si atachubuka ?
tafuta demu mwambie anyonye utagundua hizo nyonyo zako kama zina maziwa...
😂😂😂😂Kalia kichwa mkuu...ndio utajua umuhimu wa matako...
Hizo kazi yake ni kuchezewa na wadada wakati wanaomba pesa.
siuitaje mkuu tuijue? ipi hiyo?Kama kukalia kwanini kuwe na misambwanda na vitenesi? Siyo kukalia tu kuna kazi nyingine zaidi ya hiyo.
Yana maana kubwa sana kwa 'Ke' ni kama hump kwa mnyama, yanabeba extra fat pia ni mapambo yanayovutia kuangalia bila sababu.siuitaje mkuu tuijue? ipi hiyo?
Kwa hiyo vikishikwa unashituka unaruka? Teh teh tehMwanamke akitaka apigwe makofi ya bahati mbaya ajaribu kunishika hivi vidude yaani huwa najikuta tayari nishamzaba kiba,ila sasa kuna mmoja huyu ht sijui ana shida gani ni king'ang'anizi sijawahi ona yy anadai anataka avichezee tu aone ibakuwaje siku yake hiyo alikula kibao kimoja matata halafu ht kumbembeleza sikumbembeleza nikatoka zangu na kwenda kucheza draft.
Sent using Jamii Forums mobile app