isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
- Thread starter
- #21
AiseeeeHiv tusingekuwa na hizo chuchu vifua vingefananaje?
Na kama kuwa na ndevu Kwani zinakazi yoyote zaidi ya urembo
AiseeeeHiv tusingekuwa na hizo chuchu vifua vingefananaje?
Na kama kuwa na ndevu Kwani zinakazi yoyote zaidi ya urembo
😁😁😁😁ndevu zako ni kwa ajili ya urembo?? hagahahaaaaa
kwahiyo osama angekua mrembo zaidi duniani kuliko wanaume wote
asa wanaonyoa hawataki urembo?
Great Thinker!Mzee zikate kama unaona hazina kazi
Hakuna kiungo ambacho ni uselessKwahiyo ni mahsusi kwa kunyonywa?
Labda ni kushindwa kutumiwa kiufasaha.Hakuna kiungo ambacho ni useless
Ngoja mkuu wa mkoa bwana Bashite aje kulizungumzia!Wait! 😮 Inawezekana kuna suala nyuma ya pazia juu ya hili?
Kuna hutu tudole twa kupimia oil..yes oil...mkuu ina maana kamishna mkuu wa uumbaji aliki create kwa ajili ya kupima oil ama ni invention ya ya wanadamu? Asante!Hakuna kiungo ambacho ni useless
Kikitoa masaada wa jambo lolote ujue ndio matumizi hayoKuna hutu tudole twa kupimia oil..yes oil...mkuu ina maana kamishna mkuu wa uumbaji aliki create kwa ajili ya kupima oil ama ni invention ya ya wanadamu? Asante!
Katika kila hatua ya elimu niliyopita hamna hata mkufunzi mmoja aliyenifunza matumizi ya nyonyo hizi ilhali nakumbuka nilifunzwa kazi na matumizi ya pua.Unadhani waliyofunzwa wenzako wote na wewe ulifunzwa? Na kama ni hapana u (you) studied poorly?
vifua vingekuwa kama vubakuriHiv tusingekuwa na hizo chuchu vifua vingefananaje?
Na kama kuwa na ndevu Kwani zinakazi yoyote zaidi ya urembo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vifua vingekuwa kama vubakuri
HahahaHizo kazi yake ni kuchezewa na wadada wakati wanaomba pesa.
mmhkwani kazi ya matako ni nini?kukalia?
Unasema kuwa Mchele Mchele ni mpango wa Muumba?Nafikiri ziliwekwa tu reserve kama ilivyo spear tairi kwenye gari ila kwa wenzetu ambao ni chakla ama mchele mchele hizi matumizi yake ni sawa na matumizi ya nyonyo za jinsia pendwa. Asante!
Aiseee 😆😆😆😆Hizo kazi yake ni kuchezewa na wadada wakati wanaomba pesa.
Ni yapi matumizi sahihi ya nyonyo (Maziwa/Matiti) ya kiume?
Nimekuwa nikijiuliza, jiangalia na kushangaa hizi nyoyo matumizi yake ni yapi?
Maana nafahamu fika matumizi ya vidole, macho, maskio, pua na mengineyo mengi ilhali nimeshindwa kutanabaisha na kuelewa matumizi na yaliyo sahihi ya nyonyo hizi za kiume.
Katika kila hatua ya elimu niliyopita hamna hata mkufunzi mmoja aliyenifunza matumizi ya nyonyo hizi ilhali nakumbuka nilifunzwa kazi na matumizi ya pua.
Mwenye kufahamu naomba anipe elimu katika hili.