Ni ya kweli haya kuhusu wizara ya fedha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni ya kweli haya kuhusu wizara ya fedha?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Perry, Sep 14, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Eti huku mtaani kuna tetesi kwamba wizara ya fedha ina kawaida ya kupendelea graduates walio hitimu kwenye vyuo vyake vya IFM,IAA na TIA katika kuwapatia ajira kwenye mashirika yalyo chini yake,je hzo tetes ni za kwel au ni maneno ya wakosaji 2?
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,000
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  fanyia kazi tetesi zako mkuu, ninao wafaham mimi walimaliza UDSM na wapo huko wizarani, inawezekana tetesi hizo zikawa za kweli au za uongo, fuatilia tu utajua.
   
Loading...