Mkuu KIOO, naomba nyimbo kadhaa kama unazo itapendeza sana
1: MZESE CREW ft JUMA NATURE -siku nzuri inavyokwenda
2: HARDMAN ft H-BABA ( wimbo nimeusahau kidogo, una mahadhi ya rumbha ,

Mkuu huo wimbo wa Manzese Crew unamaanisha ni huu...?
 

Attachments

  • Danny_Msimamo_Siku_Nzuri.mp3
    5 MB · Views: 177

Huo wa mwanadamu u mavumbi nitakutumia baadae.
 
Hakuna mkuu, nina zaidi ya miaka 10 nimeasi dini, ila naona kabisa bado napendelewa.
dah miaka mingi sana umeasi, fanya urudi nyumbani kwenu kabla wenye nyumba hawajakukataa.
Mungu hakatai mja wake lakini cha kushangaza wanaojifanya washikiliaji wakuu wa kwenda kwa mungu wanawakataa wafuasi wao waliopotea kwa muda usiojulikana
 
Ulikosea Sana
Padri nae Ni binadamu ambaye Si mkamilifu
Hakuna mkamilifu duniani,,mkamilifu Ni Mungu mwenyewe

Ingekuwa watu wanaacha kusali kwa sababu ya mchungaji ama Padre ama askofu,,ingekuwa watu wanaacha kuimba kwaya ama praise kwa sababu ya watu wachache wenye tabia mbovu Basi kanisani kungekuwa hakuna watu kabisa
Padri Hana mbingu ya kukupeleka
 
Ebu niambie song hii inaimbwa kipindi gn may be pentekoste, utatu mtakatifu
 
Kwa Mamu atakua nazo
 
Wakuu na kuna wimbo mwingine, natafta wimbo au sebene, nisijue alieimba ni nan au kundi ngan" lkn kama ckosei wimbo unaitwa mgogo mgogo ( shika mgogo mgogo , na ndo wanavyoimba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…