rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,553
- 6,638
Hiii naona ka ishashindikana hivi,nimeiomba Mara nyingi sijaipata
Daaa nitumie nafasi hii kuuomba tena wasamalia wema wautupie tena.ilishatupiwa sema post za nyuma sana...niliipata humu
Tunaomba GK Mama ile ya kwanza kaimba na fina sio hiiNafikiri unautafuta huu hapa! ili aliyeupiga simjui maana kwenye Library yangu uko hivyohivyo
Dakika Moja ya Marehem Ngweah,, mwenye nao auweke hapa mana nimejaribu kuutafuta online bila mafanikio
Mimi natafuta Kazi ngumu wa Daudi kabaka ile yenyewe achana na ile ya youtube(ulizaliwa wewe ni kijana)
Tunaomba GK Mama ile ya kwanza kaimba na fina sio hii
Upo kwenye albumGK MAMA
Na Ukongwe wangu huu kwenye muziki ila huu wimbo sikuwahi kuusikia kabisa.Nilikuwa mfuasi wa ECT ila huu sikuwahi usikia kabisa.Kwanini? Au ni nyimbo za kwenye album ?
Nimeupenda sana hasa aliposema mwaka 93 aliugua kipindi yupo boarding Mbeya na mama yake alilala chini kumuuguza.
SawaUpo kwenye album
Unaitwa TODIMkuu kuna wimbo flani wa Shaggy wa zaman hv ni dancehall anaimba Ayeyeye Ayeyeye kiitikio flan hicho sorry kama unao
Unaitwa TODI