grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Mleta uzi nina wasiwasi kama uko tayari kwa kuingia maisha ya ndoa. Hujui kama mke ni zaidi ya hips, unaweza kupata mwenye hips na hizo hipsi ukaziona ni mauzimbe fulani hivi na unaweza kumpata asiye nahips lakini kwa furaha ya ndoa akapata hipsi mpaka makalio ya kufa mtu ukabaki unadondosha mate ya uchu kila akikatiza mbele yako.