Ni wife material ila hana hips

Ni wife material ila hana hips

Ni mzuri kwa sura na ana tabia nzuri anapenda kuvaa magauni na nguo zisizombana ili umbo lake lisionekane. Jana jumapil alinikubalia mechi ndo nikaona alivo.

Mwenzenu nilishaamini hapa nimepata mke sa kumbe binti hana hips hata kidogo ambacho ndo kitu kinachonipagawisha zaidi kwa mwanamke. Nashindwa kufanya maamuzi nimuoe tu au nimuache nitafute mwingine.

Kwel dunia inambo kwa kuona hips ilikuwa mpk umvue chup umeshemgegeda ndio unatoavicngizio ila muosha uoshwaa
 
Chaaa! Wee vip kwan papuch ipo kwenye hips pita hiv.
 
kama unaoa hips muache, angekuwa hana kitundu sawa, muache halafu mlete kwangu nimtengeneze mahipsi halafu ntakurudishia.

Mkuu mwambie huyo hips zinatengenezwa ukiwa nae ndani!
 
Ni mzuri kwa sura na ana tabia nzuri anapenda
kuvaa magauni na nguo zisizombana ili umbo lake lisionekane. Jana
jumapil alinikubalia mechi ndo nikaona alivo. Mwenzenu nilishaamini
hapa nimepata mke sa kumbe binti hana hips hata kidogo ambacho ndo kitu
kinachonipagawisha zaidi kwa mwanamke. Nashindwa kufanya maamuzi
nimuoe tu au nimuache nitafute mwingine.
god 4bid! eti
hana hips??? mwezi huu umempa sh. ngap mwisho wa mwezi ati??? anza kumcare uone
zitakavyochomoza.
 
muumbe wa kwako! awe ametimia plus vyoote unavyovitaka usiache hata kimoja
 
hivi hata wanawake nao wanatuchambua namna hii jaman?? mara hips mara tako mara figure cjui shepu, rangi, unene wembamba sura macho tumbo urefu nywele miguu lips kope nyusi maji, mnato imetumika kiasi gan nk.. tutafika kweli kama mtu akiwa na nyusi fupi tu anapigwa chini!

Wanawake wanatuchambua kwa pesa mkuu...so me naona jamaa kama pesa anazo na yeye awachambue bhana...maana kama sisi wanatuchambua kama hauna pesa ndio ivo kupata nadra bhas na wanaume wenye pesa tafuteni sampuli zinazowatoshelezeni....
 
Wenzio wanaangalia upstairs-(akili), na tabia...hips na rangi vitakucost
 
usimuoe make hata kwenu utaulizwa...
Screenshot_2015-01-04-16-53-52.png
 
Mkuu mwanamke ni kama ua ,take a good care of her and you will never regret. Atapendeza na atakuwa mzuri sana kila kitu utakacho utapata,,,,ila acha woga
 
''binti hana hips hata kidogo ambacho ndo kitu kinachonipagawisha zaidi kwa mwanamke.''
Kwahiyo katika mechi ya Jumapili hukupagawa......?

Hiyo ndio tiba ya ugonjwa wako wa ''kupagawa''
 
wenye hips huwawezi wewe oa huyo huyo wenye hips tuahie sisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom