- Thread starter
- #21
muone atanenepa tu hakunaga mwembamba duniani
Akinebepa hips zitachomoza miss neddy?
muone atanenepa tu hakunaga mwembamba duniani
Shida si kwamba mwembamba tatizo shape...! Umbo kama mfuko wa simenti ni sheeeeedah!muone atanenepa tu hakunaga mwembamba duniani
Sa angekua nazo unadhan angekubali umtongoze!?
Unadhan angekua single?
there are invisible important things that man should take over those which are visible!!!
hujampenda huyo yngempenda hata kama hana hipsi ungeona kama anazo
Kwa namna hii Vijana wa siku hizi hawatkaaa waoe na wakioa ndoa hazitadumu, we are so selective
then unaweza kuta huyo jamaa nae pesa hana ,sura kama yangu anataka demu kama malaika utamtoa wapiHalafu sasa imekuwa too much kupita maelezo.
Ni mzuri kwa sura na ana tabia nzuri anapenda kuvaa magauni na nguo zisizombana ili umbo lake lisionekane. Jana jumapil alinikubalia mechi ndo nikaona alivo.
Mwenzenu nilishaamini hapa nimepata mke sa kumbe binti hana hips hata kidogo ambacho ndo kitu kinachonipagawisha zaidi kwa mwanamke. Nashindwa kufanya maamuzi nimuoe tu au nimuache nitafute mwingine.
then unaweza kuta huyo jamaa nae pesa hana ,sura kama yangu anataka demu kama malaika utamtoa wapi
Daah..Unaoa hips...
Usimpotezee muda wake. Endelea kutafuta mwenye hips. Kwa kuwa unapenda hips ukimuoa utakuwa una chepuka kila mara.
Ingawa ukikua utagundua kua mke ni zaidi ya umbo la nje.
uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia aaa....naimba tu...
sasa kwanini hua mnajiremba?