Ni wengi wanatamani kurudi CHADEMA.. lakini....!!!!

Walio toka chadema mwaka huu kwa njaa zao sio wa kuwakaribisha tena,ni wasaliti, ni waasi, sio wa kuwaamini tena

Hata wakirudi wataendelea kuwa vibaraka wa ccm, waogopwe na wasikaribishwe tena

Ikiwezekana nafasi za uongozi walizoachia wapewe vijana wenye msimamo, elimu na wanaharakati wa ukweli wasio na uoga
 
Pamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru vipawa vya uongozi na vipaji vya siasa bila kuingiliwa, kuwekewa mipaka na kupangiwa

Ndio maana cream bora kabisa ya vijana walio na wanaotikisa uwanja wa siasa kwa maono hoja mipangalio na upembuzi yakinifu wametoka CHADEMA

Nje ya CHADEMA kuna mipaka mingi sana iwe CCM ama chama kingine chochote cha siasa.. Ndio maana ndani ya CDM watu hujiachia na wana furaha sana.. Na hata wale wanaokengeuka hurekebishwa kwa hekima, heshima na kwa kufuata taratibu halali za chama na si maelekezo ya mkubwa mmoja

Wengi wameingizwa kingi na kuikimbia CDM lakini waliyo na wanayokutana nayo huko ni msiba mkubwa sana. Walikubali kutema bazoka tamu kwa karanga za kuonjeshwa

Huko walikokimbilia hawana amani
Huko walikokimbilia hawana furaha
Huko walikokimbilia ni wahamiaji kwenye miji ya watu.. Wana taratibu zao.. Huwezi kuwaingilia wala kuwapangia.. Unaishi kinyonge
Huko walikokimbilia ni mateka wanaoishi kwa maelekezo tena sometimes ya simu na msg wasizojua wametumiwa na nani

Huwezi kuongea bila ruhusa
Huwezi kukutana na watu fulani bila kibali
Huwezi kufanya lolote bila kwanza kuuliza na jibu utakalopewq ndio final.. Hakuna kuhoji
Unaishi kama mateka kimwili na hoja zako zinakuwa zimezuiliwa kwenye gereza la fikra! Huna uhuru wa kuamua hata mambo binafsi
Unaishi kwa mashaka kwa hofu ya kufuatiliwa.. Maana unakuwa ushapewa warning.. Hata mawasiliano yako unakosa uhuru nayo
Hapa mapesa uliyoingiziwa kwenye account huna uhuru wa kuyatumia utakavyo na mwisho yanayeyuka na kupotea😀 .. Huwezi kwenda hata police kulalamika .. Na ukiwa na uthubutu wa kufuatilia unaweza kupewa majibu ya kifedhuli mpaka ukajiona takataka

Wanaotamani kurudi nyumba ya upendo na uhuru wa fikra ni wengi.. Lakini
Wengine wanaona haya
Wengine walishaharibu sana
Wengine wameshakula vya watu na kuvilipa hawana uwezo.
Sababu ni nyingi sana!
Tuwaombea sana maana wako mateka utumwani
Na bado!
 
Nani? Ka Petro Msigwa? Karudi tu hakuna namna! Nawaangalia hawa waliokimbilia chaumma!
 
Nyie sasa ndiyo mnawatamani ndiyo maana mnawajadili. Ukiachika, ACHIKA endelea na hao ulionao.

Eti wanatamani kurudi, wewe ni nani ujuwe kiluchopo mioyoni mwao??

Watamani kurudi kwenye chama ambacho hakitasimamisha wagombea uchaguzi wa Oktoba 2025?
Tanzania kwa sasa inahitaji reforms na si utitiri wa elections za kimagumashi!
 
Chadema imejichuja sasa wamesalia wapinzani wa kweli wale wanafiki wote wanakula pesa haramu toka ccm huko Chaumaccm
 
na hayo mashaka ndio yanafanya chama chako kuteketea na kupukutika kwanza ndio hatimae baada ya kuathirika sana kwa kushupaza shingo kwa ubishi eti ndio unagundua kuna kasoro na changamoto ndogo ndogo🤣

uongozi haihitaji uropokaji gentleman. Uongozi ni maono, uongozi ni kipawa sio kufokafoka bila mpangilio na kuomba omba kuchangiwa pesa 🤣
Ah, msamehe tu mkuu. Sidhani kama hata yeye anajua alichoandika. Kiufupi wanatetemeka, Wana wasiwasi sana.
 
baada ya kulemewa na athari za uropokaji wa viongozi wapya, ati sasa ndio mnajua kua chadema kuna kasoro na changamoto za hapa na pale 🤣

kukosa maono ni kitu mbaya sana kwa uongozi wa taasisi.
ndio maana kwa biblia kuna mahali panasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Chadema inateketea kwa kukosa maarifa na kuupa uropokaji kipaumbele 🐒
Wewe nae tokea uanze kuvuta Bangi umekariri neno uropokaji utazani huna ubongo kichwani, kudai tume huru ya uchaguzi ni uropokaji? Kukataa utekaji kuonea kutesa watu ni uropokaji? Umekula 10% ununuzi wa G55 kwenda Chauma umevimbiwa na kujitoa fahamu zote
 
tume huru ya mapenzi yako kadai kwenye familia yako na mihemko yako gentleman 🐒
 
Chadema imejichuja sasa wamesalia wapinzani wa kweli wale wanafiki wote wanakula pesa haramu toka ccm huko Chaumaccm
Kwani walioondoka wamefanya kosa kisheria? Mbona mnaifanya CHADEMA kama imetoka mbinguni? Waacheni wakafanye siasa wanapopaona ni salama kwao na nyinyi mliobaki endeleeni

Mbona wao wanaendelea na mambo yao? Fanyeni yenu
 
Pamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru vipawa vya uongozi na vipaji vya siasa bila kuingiliwa, kuwekewa mipaka na kupangiwa

Ndio maana cream bora kabisa ya vijana walio na wanaotikisa uwanja wa siasa kwa maono hoja mipangalio na upembuzi yakinifu wametoka CHADEMA

Nje ya CHADEMA kuna mipaka mingi sana iwe CCM ama chama kingine chochote cha siasa.. Ndio maana ndani ya CDM watu hujiachia na wana furaha sana.. Na hata wale wanaokengeuka hurekebishwa kwa hekima, heshima na kwa kufuata taratibu halali za chama na si maelekezo ya mkubwa mmoja

Wengi wameingizwa kingi na kuikimbia CDM lakini waliyo na wanayokutana nayo huko ni msiba mkubwa sana. Walikubali kutema bazoka tamu kwa karanga za kuonjeshwa

Huko walikokimbilia hawana amani
Huko walikokimbilia hawana furaha
Huko walikokimbilia ni wahamiaji kwenye miji ya watu.. Wana taratibu zao.. Huwezi kuwaingilia wala kuwapangia.. Unaishi kinyonge
Huko walikokimbilia ni mateka wanaoishi kwa maelekezo tena sometimes ya simu na msg wasizojua wametumiwa na nani

Huwezi kuongea bila ruhusa
Huwezi kukutana na watu fulani bila kibali
Huwezi kufanya lolote bila kwanza kuuliza na jibu utakalopewq ndio final.. Hakuna kuhoji
Unaishi kama mateka kimwili na hoja zako zinakuwa zimezuiliwa kwenye gereza la fikra! Huna uhuru wa kuamua hata mambo binafsi
Unaishi kwa mashaka kwa hofu ya kufuatiliwa.. Maana unakuwa ushapewa warning.. Hata mawasiliano yako unakosa uhuru nayo
Hapa mapesa uliyoingiziwa kwenye account huna uhuru wa kuyatumia utakavyo na mwisho yanayeyuka na kupotea😀 .. Huwezi kwenda hata police kulalamika .. Na ukiwa na uthubutu wa kufuatilia unaweza kupewa majibu ya kifedhuli mpaka ukajiona takataka

Wanaotamani kurudi nyumba ya upendo na uhuru wa fikra ni wengi.. Lakini
Wengine wanaona haya
Wengine walishaharibu sana
Wengine wameshakula vya watu na kuvilipa hawana uwezo.
Sababu ni nyingi sana!
Tuwaombea sana maana wako mateka utumwani
Wenye kuwaza kuongoza hawana mpango kwa kuwa CDM wamekataa kusaini kanuni hivyo hawamo ktk kura za Mwaka huu.
 
CCM haiwez kuwalipa wale vilaka. CCM vazi lake haihitaji vilaka weak Kama hivyo vinavyobanduka Chadema, Yan mtu hata kujitambulisha anajiuma uma Sasa ataweza kubishana jukwaani ipasavyo huyo ?

Kushindwa kwa Chadema kutunza wanachama wake kunaonyesha ni kias gan Chadema ni dhaif.

Kaeni Chini mjitafakari na kuziba mule mnamovuja upumbavu na utoto wa kuinyoshea CCM vidole kindezi Ndezi haukutibu kwa CUF Wala kwa TLP.

simameni imara, ziba panapovuja songeni mbele na agenda zenu mkiwa Kama watu mnaojielewa kwa umoja.

Lawama za Mambo ya chumbani huwezi kuwapelekea jirani shekh. Kaa sawa na mkeo.
Kama nyie ndio tegemeo la wajenga hoja ndani ya ccm katika zama hizi nawaonea huruma sana maana Kama macho yenu hayawezi kuona basi hata masikio hayasikii?? Huu ni ulemavu promax sasa
 
Udhaif wa CCM nuona vizuri tu kiongozi wangu Mshana Jr , umuhim wa kuwepo mabadiriko pia ni mkubwa.

Ila pia jua kua hakuna chama ambacho ni perfect, Sasa basi kwakuzingatia Hilo basi kasoro ya CHADEMA ni kuwa huwa hawaruhusu kushauriwa hata robo .. hiyo ndo kasoro yao namba moja.

Kasoro hii ndo imewatoa wanachadema Wang pendwa ndani ya chama na kuzorotesha Sana ukuaji wake, kwakuwataja wachache ni Zitto kabwe na kitila mkumbo .

Kama ufanyavyo wewe hapa, watu wa Chadema ukiwashauri chochote wanaona wewe ni pandikizi.
Kwa mwenendo na tabia hii Mimi naona hawajawa ready kupewa taifa as wao wenyewe wamekosa umoja. Na tabia ya kuto kuruhusu mfumo huru wa maoni kunaendelea kunakigawa chama Kila wakati as wanaotoa maoni huonekana walaliti Kila wakati.
 
CHADEMA, tusiingie kwenye mtego KUIPAISHA CHAUMA. TAARIFA za Kiintelijensia zinaonesha kwakushirikiana na MACCM na Intelligence zao, CHAUMA wamepandikiza watu watakao Fanya kazi ya kuhakikisha platforms zetu zinaongelea wao.

ADMINS, wachomoe wote wanaojadili hawa MACCM.

TUJIKITE kwenye maandalizi ya KWENDA Kwenye kesi ya Mwenyekiti wetu mh. Tundu A. M. Lissu 02/06/2025, MIKUTANO ya #NoReformsNoElection KANDA YA KASKAZINI na #ToneTone.
IMG_20250523_055629_982.jpg
 
Back
Top Bottom