Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,707
- 272,610
Noma sana!
Kiongozi hutakiwa kuwa kiroporopoPamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru vipawa vya uongozi na vipaji vya siasa bila kuingiliwa, kuwekewa mipaka na kupangiwa
Ndio maana cream bora kabisa ya vijana walio na wanaotikisa uwanja wa siasa kwa maono hoja mipangalio na upembuzi yakinifu wametoka CHADEMA
Nje ya CHADEMA kuna mipaka mingi sana iwe CCM ama chama kingine chochote cha siasa.. Ndio maana ndani ya CDM watu hujiachia na wana furaha sana.. Na hata wale wanaokengeuka hurekebishwa kwa hekima, heshima na kwa kufuata taratibu halali za chama na si maelekezo ya mkubwa mmoja
Wengi wameingizwa kingi na kuikimbia CDM lakini waliyo na wanayokutana nayo huko ni msiba mkubwa sana. Walikubali kutema bazoka tamu kwa karanga za kuonjeshwa
Huko walikokimbilia hawana amani
Huko walikokimbilia hawana furaha
Huko walikokimbilia ni wahamiaji kwenye miji ya watu.. Wana taratibu zao.. Huwezi kuwaingilia wala kuwapangia.. Unaishi kinyonge
Huko walikokimbilia ni mateka wanaoishi kwa maelekezo tena sometimes ya simu na msg wasizojua wametumiwa na nani
Huwezi kuongea bila ruhusa
Huwezi kukutana na watu fulani bila kibali
Huwezi kufanya lolote bila kwanza kuuliza na jibu utakalopewq ndio final.. Hakuna kuhoji
Unaishi kama mateka kimwili na hoja zako zinakuwa zimezuiliwa kwenye gereza la fikra! Huna uhuru wa kuamua hata mambo binafsi
Unaishi kwa mashaka kwa hofu ya kufuatiliwa.. Maana unakuwa ushapewa warning.. Hata mawasiliano yako unakosa uhuru nayo
Hapa mapesa uliyoingiziwa kwenye account huna uhuru wa kuyatumia utakavyo na mwisho yanayeyuka na kupotea😀 .. Huwezi kwenda hata police kulalamika .. Na ukiwa na uthubutu wa kufuatilia unaweza kupewa majibu ya kifedhuli mpaka ukajiona takataka
Wanaotamani kurudi nyumba ya upendo na uhuru wa fikra ni wengi.. Lakini
Wengine wanaona haya
Wengine walishaharibu sana
Wengine wameshakula vya watu na kuvilipa hawana uwezo.
Sababu ni nyingi sana!
Tuwaombea sana maana wako mateka utumwani
chadema ina mvuto wa asili haitafutika au kusahalika. imekwisha jenga uaminifu mkubwa kwa wananchi. kwa hili Mbowe alijitahidi.Niliwahi Kusema apa, Platform ya Chadema bado ni Nzuri sana kwa Vijana ambao bado wana Political Mileage Kubwa, Kwasababu CCM ni jabari ndio imeshika Dolla we muangalie mtu kama Msigwa Hana Influence yoyote kwa CCM leo kina Mrema na Kigaila ndio wawe na Influence hio hapana hao wamekuwa paid Ili Kuleta Political turbulence ila there after watakuwa Dumped uko, Hakuna mtu anawataka CCM
CHAUMMA 2 CHADEMA 0.
Tangu itangaze sera za uasi nimeichukia kabisa Chademachadema ina mvuto wa asili haitafutika au kusahalika. imekwisha jenga uaminifu mkubwa kwa wananchi. kwa hili Mbowe alijitahidi.
Matendo yanaongea kuliko maneno. Mtu kama kanunuliwa huhitaji kuoneshwa risiti!Kushika mguu wakat maumiv yapo kichwani ni upuuzi vilevile ...
CHADEMA ikae vizur na watu wake, Chadema ihakikishe inatunza mtaji wa watu ilonao wakati ikiendelea na mapambano.
Lawama haitawahi weza kuifikisha Chadema popote pale.
Ikiwa mnalalamika kuwa mbowe nae kanunuliwa bas kesho mtalalamika juu ya TAL au Heche. ...
Bila kuziba panapovuja hamfiki popote mtazama tu.
Kwa maelezo yako,Wewe ndio mwenye shida ya kulazimisha USHAURI wako kwamba lazima ukubaliwe. Unaelewa maana ya ushauri?Udhaif wa CCM nuona vizuri tu kiongozi wangu Mshana Jr , umuhim wa kuwepo mabadiriko pia ni mkubwa.
Ila pia jua kua hakuna chama ambacho ni perfect, Sasa basi kwakuzingatia Hilo basi kasoro ya CHADEMA ni kuwa huwa hawaruhusu kushauriwa hata robo .. hiyo ndo kasoro yao namba moja.
Kasoro hii ndo imewatoa wanachadema Wang pendwa ndani ya chama na kuzorotesha Sana ukuaji wake, kwakuwataja wachache ni Zitto kabwe na kitila mkumbo .
Kama ufanyavyo wewe hapa, watu wa Chadema ukiwashauri chochote wanaona wewe ni pandikizi.
Kwa mwenendo na tabia hii Mimi naona hawajawa ready kupewa taifa as wao wenyewe wamekosa umoja. Na tabia ya kuto kuruhusu mfumo huru wa maoni kunaendelea kunakigawa chama Kila wakati as wanaotoa maoni huonekana walaliti Kila wakati.
Na uzuri ni kwamba Ngano na magugu vinazidi kujitenga🤸🤸🤸🤸chadema ina mvuto wa asili haitafutika au kusahalika. imekwisha jenga uaminifu mkubwa kwa wananchi. kwa hili Mbowe alijitahidi.
CCM ndio ilishateketea kitambo.Bila wizi wa kura,nguvu ya dola ;tiss &polisiCCM ,hakuna kitu hapo kwenye hicho chama kizeebaada ya kulemewa na athari za uropokaji wa viongozi wapya, ati sasa ndio mnajua kua chadema kuna kasoro na changamoto za hapa na pale 🤣
kukosa maono ni kitu mbaya sana kwa uongozi wa taasisi.
ndio maana kwa biblia kuna mahali panasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Chadema inateketea kwa kukosa maarifa na kuupa uropokaji kipaumbele 🐒
Basi tuseme kijani mmekamilika na hamhitaji kukosolewa ndio maana kinatafitwa kichwa cha gwaji pindi kikitoka nje ya gamba lake?baada ya kulemewa na athari za uropokaji wa viongozi wapya, ati sasa ndio mnajua kua chadema kuna kasoro na changamoto za hapa na pale 🤣
kukosa maono ni kitu mbaya sana kwa uongozi wa taasisi.
ndio maana kwa biblia kuna mahali panasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Chadema inateketea kwa kukosa maarifa na kuupa uropokaji kipaumbele 🐒
Sasa ndugu yangu Mshana Jr wale g55 ni wa kuwaita wengi kweli? Au ni wengi katika 55 🤣🤣🤣🤣🤣
Pamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru vipawa vya uongozi na vipaji vya siasa bila kuingiliwa, kuwekewa mipaka na kupangiwa