Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua.
Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu ya ajira kwa vijana. Kufuta tozo za OSHA siyo ufumbuzi. Viwanja vya michezo siyo ufumbuzi. Ni kama utatanishi tu na kutaja facts ambazo kila mtu anazijua.
Vijana hawana ajira, serikali itueleze wanategenezaje ajira. Hatutaki kuuza Bar kama tulivyoambiwa enzi za awamu ya 4.
umeandika point sana kujiajiri ni suala la mtu binafsi,vijana wengi wanaamini ukimaliza shule ukapata cheti ni lazima uajiriwe.Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua.
Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu ya ajira kwa vijana. Kufuta tozo za OSHA siyo ufumbuzi. Viwanja vya michezo siyo ufumbuzi. Ni kama utatanishi tu na kutaja facts ambazo kila mtu anazijua.
Vijana hawana ajira, serikali itueleze wanategenezaje ajira. Hatutaki kuuza Bar kama tulivyoambiwa enzi za awamu ya 4.
serikali iweke mikakati dhabiti kuhakikisha ajira ziko za kumwaga na sio kulazimisha kijana ajiajiri wakati hata mtaji hana.