Ni waume/wanawake wangapi umewahi kutembea nao?

Ni waume/wanawake wangapi umewahi kutembea nao?

Hapa nahisi nimepewa kitu wahaya wanaita N'KULATA/SHUNTAMA(nifuate/tulia) ukilishwa hii kitu kwisha habari utakuwa ni kufuata na kumsikiliza mkeo huwezi ata chepuka..!

Please nisije nikaonja ndiyo nikasa moja kwa mbili
e65d69581186b863a23da58054d8e3f9.jpg
Hayo magoti yameisha hvyo punguza nyeto mkuu
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu,

Hebu tufunguke leo, na Mungu akusaidie hapo ulipo

Tangu umebalehe/kunja ungo, umewahi kuwa na mahusiano na watu wangapi,

+
na zile shortcut yaan mmekutana tu mkatamaniana mkapeana mzigo, na kila MTU akaendelea na mishe zake

Na vipi, umetosheka? Au bado wategemea kuongeza idadi?

Msema kweli mpenzi wa Mungu

Kuwa mkweli hapa, utazidi kuwa kipenzi cha Mungu.

Ni wangapi umewahi kuwa kalia uchi mpaka hapo ulipo

Karibuni
Mleta mada unategemea nn, yaani ww unataka ujue idadi ya wenzako wakati ww hujataja idadi yako, taja yako kwanza ili ña wengine wataje, au ndo tuseme ww bado bikira wa kiume?
 
Mleta mada unategemea nn, yaani ww unataka ujue idadi ya wenzako wakati ww hujataja idadi yako, taja yako kwanza ili ña wengine wataje, au ndo tuseme ww bado bikira wa kiume?
300 mpaka sasa kwa niniwqkumbuka

Haya

Taja na wewe
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu,

Hebu tufunguke leo, na Mungu akusaidie hapo ulipo

Tangu umebalehe/kunja ungo, umewahi kuwa na mahusiano na watu wangapi,

+
na zile shortcut yaan mmekutana tu mkatamaniana mkapeana mzigo, na kila MTU akaendelea na mishe zake

Na vipi, umetosheka? Au bado wategemea kuongeza idadi?

Msema kweli mpenzi wa Mungu

Kuwa mkweli hapa, utazidi kuwa kipenzi cha Mungu.

Ni wangapi umewahi kuwa kalia uchi mpaka hapo ulipo

Karibuni
Huwa natembea nao kila mara, hata asubuhi nikienda na jioni nikirudi kazini natembea nao. Kwa kweli idadi ni kubwa mno hata 5000 na kuzidi
 
12 hv na hapo ndo kwanza nna miaka 20 sasa nkfka 25... Duh ila bahat mbaya papuch cyo sabun kwamba inaisha au m2 ukiwa nae anaweka signature
 
Sikumbuki idadi yao...achana na wale wa kununua (roadside sellers)
 
Aliesema usizini ni muumba wetu use mpagan muislam mkristo lkn kutokans na kibur cha uzima Leo tunajisifu na kupongeza kwa kulala na watu zaid ya mmoja ,tambuen sio sifa utasifiwa na wasio na hofu ya mungu mweny hofu atahuzunika,mpango WA mungu sio huu kuonja kila mwanaume au mke mpango WA mungu in MTU awe na msaidiz wake na sio wasaidiz ndo mana hata heshima ya ndoa imekufa sababu ya maasi yetu tukizan in sifa kumbe ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom