Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,329
Sijawahi.....
AigooooNenda hata mafia
Naona umeona unitafutie msala kwa fulani etii...?Na mimi hujanisahau kwenye list yako? Si unakumbuka ile mechi siku ileeee!
Mkuu tena acha tuTena wahubiri injili wanagongea hata kwenye nyumba za ibada. Laana hii!!! injili hadi kwa wake za watu!
Bashite tunafahamiana.we ni Bashi...te.
Nimekusoma mkuu.....askuambie mtu hizo style za namna hiyo ambazo dizaini zimekaa ki 'wiziwizi huwa enjoyable mno sanaKua uchi si mpaka uvue nguo zote? Wengine sijavua!!! Chupi tu ilisogezwa au kuvuliwa![]()
![]()
![]()

nmetabasamu kwa saut. kwel mkuu, hadh ya Nyumba za ibada zimeshuka sana. hata wife akisema anaenda kwa kikao inatia shaka.na hayo maombi ndo kabisa!Mkuu tena acha tu
Siku hizi nimepumzikaa kidogo Hata kwenda huko
Ni shida, km wamechanjiwa
Si viongozi wala wanakondooo
Nasalia nyumbani tu
Hahaha!!! Niongeze kwenye listi bana... Weekend hii nakuzukia ghettoNaona umeona unitafutie msala kwa fulani etii...?
Basi ukuje huku mpakani mwa watumia viroba na wakataza viroba ilejeAigoooo
Usafiri wa shida
Watoto wakule hawataki shule
Mkuu nipe mji mwingine
Unataka kunitegulia kamtego kangu etiiHahaha!!! Niongeze kwenye listi bana... Weekend hii nakuzukia ghetto

Hahahahah nakuunga mkonoNimetembea nao wengi tu tena hadharani huku tumeshikana mikono au tunapiga stori kiroho safi kabisa.
Anayesema hajawahi kutembea na msichana ni mwongo mkubwa.
Huyo wa half ndio yupi? Mbilikimo au...!!One hundred and a half