Mmmh wakati imeota suguDaah sijui nami ntaanza lini ili njibu swali walau ata mmoja tu ila ngoja nmtunzie mke wangu
Hapo sasa hilo swali ungekua umeulizwa kwenye kipindi chochote kinachorushwa na redio au televisheni,ukajibu hivyo,hakyanani watu wangekudharau sana,ila hatujui umri wako yawezekana wewe ni mtoto unachezea simu ya baba au mama.Sijui hata IQ yako ni ngapi mkuu,umeshindwa kuelewa maana ya kutembea kulingana na context.Nimetembea nao wengi tu tena hadharani huku tumeshikana mikono au tunapiga stori kiroho safi kabisa.
Anayesema hajawahi kutembea na msichana ni mwongo mkubwa.
Hahahaaaaaaaa loooh wote haoTayari ya nn mi nko fiti
Asante mkuu, ila hapa sipo kwenye mazingira uliyoyataja.Hapo sasa hilo swali ungekua umeulizwa kwenye kipindi chochote kinachorushwa na redio au televisheni,ukajibu hivyo,hakyanani watu wangekudharau sana,ila hatujui umri wako yawezekana wewe ni mtoto unachezea simu ya baba au mama.Sijui hata IQ yako ni ngapi mkuu,umeshindwa kuelewa maana ya kutembea kulingana na context.
Asante kwakulitambua hjlo.Asante mkuu, ila hapa sipo kwenye mazingira uliyoyataja.
Nachezea simu ya bibi yangu hapa, toleo la hivi karibuni.
IQ yangu ni ile ya chini kabisa unayoifahamu wewe.
Nashukuru kwa mawazo yako.
Umeamua kuniua kwa wivu??yutong mbili zinajaa bila shida