Ni waume/wanawake wangapi umewahi kutembea nao?

Ni waume/wanawake wangapi umewahi kutembea nao?

Aliesema usizini ni muumba wetu use mpagan muislam mkristo lkn kutokans na kibur cha uzima Leo tunajisifu na kupongeza kwa kulala na watu zaid ya mmoja ,tambuen sio sifa utasifiwa na wasio na hofu ya mungu mweny hofu atahuzunika,mpango WA mungu sio huu kuonja kila mwanaume au mke mpango WA mungu in MTU awe na msaidiz wake na sio wasaidiz ndo mana hata heshima ya ndoa imekufa sababu ya maasi yetu tukizan in sifa kumbe ujinga
Sawa mlokole
 
Mm watatu ña nusu mpaka sasa,
Nusu IPI sasa kuwa muwazi
Sisi tunapenda udaku kama buu hujue kwa mfano mm nikiingia Jf ni kusoma comments za watu haswa kwenye mambo kama haya
 
Binafsi nimewakumbuka 24 na nina uhakika wengine nimewasahau hasa wale wa papo kwa papo. Nasubiri tu hukumu
We kwan jinsi ulivyoandika inaonesha mkuu ww ni mkweli kabisa
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu,

Hebu tufunguke leo, na Mungu akusaidie hapo ulipo

Tangu umebalehe/kunja ungo, umewahi kuwa na mahusiano na watu wangapi,

+
na zile shortcut yaan mmekutana tu mkatamaniana mkapeana mzigo, na kila MTU akaendelea na mishe zake

Na vipi, umetosheka? Au bado wategemea kuongeza idadi?

Msema kweli mpenzi wa Mungu

Kuwa mkweli hapa, utazidi kuwa kipenzi cha Mungu.

Ni wangapi umewahi kuwa kalia uchi mpaka hapo ulipo

Karibuni
Mpenz wa MUNGU!!
 
Siyo lazima kuanzisha topiki. Ni bora kujinyamazia
 
2017 Jana ucku nimepga wa 18 na leo anakuja mwingine so kwa mwaka Jana sikumbuki maana pesa ipo wanakuja wenyewe kazi yangu. Mimi ni kujiweka fiti kwa kusugua vizizi ,na katika records zangu Mara ya mwisho kutumia mpira ni 2008
 
Mh boss kwa heri,,,,wewe tayari
 
Hahahhh ungeanza ww mtoa mada ingekua vizuri ngoja nihesabu nikipata idadi nitarudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom