Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijarishi ametokea chama gani. wafuatao ndio wanaofaa kuwa raisi mwaka 2015
1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

Hapo kwenye red huyu mtu ni hatari kwa visasi hafai kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya mustakabali wa nchi kwa kuwa atakayetofautiana naye kwa mtizamao anaweza kuishia jela kama Dk Slaa hatakuwepo ni bora hata ya Lowasa na ufisadi wake kuliko Magufuli
 
Tunaomba vigezo, na umeamua kama nani?
1. Wote hawa ni wachapa kazi
2. Wote hawa wanamsimamo.
3. Wote hawa wana vision na nchi
4. Wote hawa wanamaamuzi magumu kwa maendeleo ya nchi.
5. Wote hawa wakotayari kusimamia sheria kwa watendaji

na vigezo vingine vingi tu.
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijarishi ametokea chama gani. wafuatao ndio wanaofaa kuwa raisi mwaka 2015
1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

Wengine ni Dr. Abdalah Kigoda, Hamisi Kagesheki na Hawa Ghasia
 
John Pombe Magufuri hafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuwa raisi, ana jazba sana, anakurupukaaaaaa sana, ana kisasi sana hata na yeye ni mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ila anakula na kupuliza, angalau tunaiona kazi yake..

Halafu hata na yeye ameanza kuumwa umwa, nchi hii ni masikini na tuko nyuma, tunahitaji raisi mwenye akili sanaaaaaaaaaaa, mwenye afya bombaaaaaaaaaa, mchapa kazi sanaaaaaaaaaaaaa, atutoe from point A to point B kwa umakini sana, tunahitaji uchumi ukuwe, employment zipatikane kwa wingi, hospital, maji safi, barabara etc, etc, siyo lele mama na mchezooo...
 
Nakubaliana na wewe hawa jamaa wanafaa sana kuwa viongozi wa nchi. vigezo vikubwa walivyonavyo ni
  1. Ni wazalendo sana kwa nchi yao
  2. Wanauwezo mkubwa wa kusimamia utekelezaji wa sheria pasipo kuangalia "who is who"
  3. Wameonyesha uwezo wa kuchukua maamuzi magumu katika maeneo mbalimbali. Nadhani tunahitaji kumwomba Mungu ili atupatie kiongozi anayefaa zaidi kwa ajili yetu. Eeh Mungu naomba Ibariki Tanganyika, Eeh Mungu naomba Ibariki Afrika. Ameni.
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijarishi ametokea chama gani. wafuatao ndio wanaofaa kuwa raisi mwaka 2015
1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.
Slaa and Lowasa are ok, but Magufuli can fit best to the position of PM but not a president.
 
Padri akishika hii nchi basi yesu karudi hao wengine napita
 
Lowasa hafai ila sijui vigezo ulivyotumia
ukisoma hotuba za Nyerere jamaa huyu hafai kabisaaa
kwasababu sijasikia akiongea juu ya rushwa za kimtandao
ndani ya CCM, na yeye zote zinahusishwa na yeye.
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

Ondoa namba 3, weka ZITTO ZUBERI KABWE. Babu amebakiza siasa za kukashfu tu hana tena sera huyo.
 
katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward lowassa
2. John magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

huyoo wa kwanza hatufai kabisa watz ila kwakuwa tumeshawajua enyi mafisadi endeleeni kumtaja kila kukicha kwenye jf kwani pesa yake ya kutuingiza mikataba ya hovyo ndo inayowafanya muone anafaa kuwa raisi. Ni maamuzi gani magumu aliwahi kuyafanya katika kipindi cha uongozi wake ktk nchi yetu? Kama si kutuingiza kwenye hasara na umasikini kwa mikataba yake ya kifisadi. Naomba myataje maamuzi magumu na vision aliyonayo kama si kupewa hela mmpigie debe jf???
 
Kwa vigezo gani kwa kila mmoja? Kwa nini wasiwe wengine km Mwakyembe, Mbowe, Kamuhanda, n.k.
 
Lowassa hata kwa sabuni hasafishiki

Lowassa has two attributes which are mutually exclusive

He is a stand up guy as in he can deliver. Well, we all want such a leader BUT he is undemocratic

Now, those two coupled with the fact that he is corrupt as in one of those leaders that have amassed a lot of wealth expect no mercy when he is at the helm
 
Kwa hali ilivyo sasa ndani ya nchi yetu EL anaweza kuchaguliwa na chama chake kwa sababu wengi wao wamekosa uzalendo na wamekuwa ni wanaotumikia matumbo yao kila kukicha. Hatushangai kwa wanaojitokeza kumshabikia kwani hata ndani ya chama chao wapo wengi tu wanaoamini kuwa ndio chaguo la maana. Ila nawasihi watanzania kuwa tutakuja juta na kusaga meno kama chama chake kitamfanya kuwa mgombea wake na kwa kutumia mamlaka ya vyombo vya kiserikali akawa raisi wetu.

Sijui watanzania tunahitaji nini kuona kuwa mtu huyu ni hatari kwa mustakabali wa maisha na maslahi ya walio wengi. Kwani kama amekuwa akituhumiwa kuwa si msafi, ni fisadi ndani na nje ya chama, ni kipi kinachowafanya mshindwe kuelewa mpaks kila siku mnatupigia kelele na huyu mtu? Hivi katika watz wote zaidi milioni 40 hakuna mwengine zaidi ya EL? :A S angry:
 
Lowasa hafai ila sijui vigezo ulivyotumia
ukisoma hotuba za Nyerere jamaa huyu hafai kabisaaa
kwasababu sijasikia akiongea juu ya rushwa za kimtandao
ndani ya CCM, na yeye zote zinahusishwa na yeye.

Ukifuata hotuba za NYERERE , SLAA hafai kabisa, ukija na dhambi ya ubaguzi, dhambi hiyo haitakuacha, Rais anayepata ushauri kwa mke wake hatufai kabisa.
 
Back
Top Bottom