Nimeingia Wikipedia Nimejaribu kusearch TISS nilichokiona ni cha kusikisitisha kama sio kustaajibisha, Hakuna sufficient News kuhusu idara yangu hii ya Usalama Yani kuanzia formation, Incumbent Leaders na mengineyo Ni kashangaa sana hii imekaaje wakuu? Ukitazama idara ya ndani ya Usalama ya marekani FBI inamaelezo ya kina mtandao yale yanayofaa kufahamiwa na watu , Je ni kweli yote yafanywayo na idara yetu hatupaswi kuyajua?? Hakuna website wala Headquarters yake inajulikana na Wachache Sana, Kuna kitu kinaitwa Cold wars Tunaifahamu kweli? Tunawatishaje maadui zetu?