Kitengo nomaNaona wazee wa TISS mmekuwa wakali sana baada ya kuona mnauliziwa. Haya basi tunawatakia kazi njema.
Kitngo hoyeeeeeeWonders shall never cease hata mimi nashangazwa na hawa wazee wakaunda suti kuwa wakali ivi
Kwanin unataka kujua nin hasa kinakusukuma kutaka kujua kuhusu ofisi za vyombo vyetu vya usalama. Ukiondoa hao USA na mataifa mengine ya ulaya nipe details zozote za usalama hasa mataifa ya Africa.Nimeingia Wikipedia Nimejaribu kusearch TISS nilichokiona ni cha kusikisitisha kama sio kustaajibisha. Hakuna sufficient News kuhusu idara yangu hii ya Usalama Yani kuanzia formation, Incumbent Leaders na mengineyo
Nikashangaa sana hii imekaaje wakuu? Ukitazama idara ya ndani ya Usalama ya marekani FBI ina maelezo ya kina mtandao yale yanayofaa kufahamiwa na watu ,
Je ni kweli yote yafanywayo na idara yetu hatupaswi kuyajua?? Hakuna website wala Headquarters yake inajulikana na Wachache Sana, Kuna kitu kinaitwa Cold wars Tunaifahamu kweli? Tunawatishaje maadui zetu?
Nimeingia Wikipedia Nimejaribu kusearch TISS nilichokiona ni cha kusikisitisha kama sio kustaajibisha. Hakuna sufficient News kuhusu idara yangu hii ya Usalama Yani kuanzia formation, Incumbent Leaders na mengineyo
Nikashangaa sana hii imekaaje wakuu? Ukitazama idara ya ndani ya Usalama ya marekani FBI ina maelezo ya kina
mtandao yale yanayofaa kufahamiwa na watu ,
Je ni kweli yote yafanywayo na idara yetu hatupaswi kuyajua?? Hakuna website wala
Headquarters yake inajulikana na Wachache Sana, Kuna kitu kinaitwa Cold wars Tunaifahamu kweli? Tunawatishaje maadui zetu?
Kwanin unataka kujua nin hasa kinakusukuma kutaka kujua kuhusu ofisi za vyombo vyetu vya usalama. Ukiondoa hao USA na mataifa mengine ya ulaya nipe details zozote za usalama hasa mataifa ya Africa.
Hoji ubora wao na sio hizo porojo zako za kutaka wawe waz kila kitu
Sheria ya usalama Wa Taifa la Tanzania unaifahamu?Nimeingia Wikipedia Nimejaribu kusearch TISS nilichokiona ni cha kusikisitisha kama sio kustaajibisha. Hakuna sufficient News kuhusu idara yangu hii ya Usalama Yani kuanzia formation, Incumbent Leaders na mengineyo
Nikashangaa sana hii imekaaje wakuu? Ukitazama idara ya ndani ya Usalama ya marekani FBI ina maelezo ya kina mtandao yale yanayofaa kufahamiwa na watu ,
Je ni kweli yote yafanywayo na idara yetu hatupaswi kuyajua?? Hakuna website wala Headquarters yake inajulikana na Wachache Sana, Kuna kitu kinaitwa Cold wars Tunaifahamu kweli? Tunawatishaje maadui zetu?
Sasa mkuu unataka kujua ili iweje wakati maadili ya kazi haitakiwi ujulikane ile ufanye kazi vizuri!!Nimeingia Wikipedia Nimejaribu kusearch TISS nilichokiona ni cha kusikisitisha kama sio kustaajibisha. Hakuna sufficient News kuhusu idara yangu hii ya Usalama Yani kuanzia formation, Incumbent Leaders na mengineyo
Nikashangaa sana hii imekaaje wakuu? Ukitazama idara ya ndani ya Usalama ya marekani FBI ina maelezo ya kina mtandao yale yanayofaa kufahamiwa na watu ,
Je ni kweli yote yafanywayo na idara yetu hatupaswi kuyajua?? Hakuna website wala Headquarters yake inajulikana na Wachache Sana, Kuna kitu kinaitwa Cold wars Tunaifahamu kweli? Tunawatishaje maadui zetu?
Umekiuka matumizi sahihi ya kichwaUmeshindwa kumuuliza na kumpressurelize mwenyekiti wako awaambie alipo Ben saa 8 unakalia yasiyokuhusu. Si umesikia ile ni Marekani na hii ni Tanzania. Bogus
Du!! topic imefungwa ABC tayari mengine majunguBwana mdogo FBI sio chombo cha state security ile ni federal police. Unajua USA kila state Ina police wake. FBI ni wa nchi nzima ili ukihama jimbo unahama nao. Unataka TISS wajiweke wazi ili ujue nini ? Kwanza nahisi wewe ni mrundi au mmalawi. Shenzi type
Kuwa mzalendo bwanaWonders shall never cease hata mimi nashangazwa na hawa wazee wakaunda suti kuwa wakali ivi