Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 991
Nimeingia Wikipedia Nimejaribu kusearch TISS nilichokiona ni cha kusikisitisha kama sio kustaajibisha. Hakuna sufficient News kuhusu idara yangu hii ya Usalama Yani kuanzia formation, Incumbent Leaders na mengineyo
Nikashangaa sana hii imekaaje wakuu? Ukitazama idara ya ndani ya Usalama ya marekani FBI ina maelezo ya kina mtandao yale yanayofaa kufahamiwa na watu ,
Je ni kweli yote yafanywayo na idara yetu hatupaswi yote kuyajua??