Ni Wasaa wa Idara yetu ya Usalama kufahamika

Chombo gani kingine cha Tanzania chenye kufanya Kazi undercover wadau maana tz kila kitu siri hata kwa mambo ya msingi ili wananchi wawe aware inabidi wapate taarifa fulan kidogoo
 
Mkuu Taarifa za idara hii ziko secured naweza kuwa mimi nazifahamu na nimezifatilia kwa Shida je wanaotaka kuzijua pia wahangaike? Kwanini zisiewekwe baadhi ambazo hata zikijulikana hazina athiri lolote bali raia watakuwa informed na watakuwa na uhakika wa ulinzi wao na mali zao
Wananchi wanajua vituo vya polisi inatosha. sana sana sema TAKUKURU ijitangaze zaidi
 
Umeshindwa kumuuliza na kumpressurelize mwenyekiti wako awaambie alipo Ben saa 8 unakalia yasiyokuhusu. Si umesikia ile ni Marekani na hii ni Tanzania. Bogus
was it really necessary??? Anyways to each their own......
 
Chombo gani kingine cha Tanzania chenye kufanya Kazi undercover wadau maana tz kila kitu siri hata kwa mambo ya msingi ili wananchi wawe aware inabidi wapate taarifa fulan kidogoo
Ni kweli kabisa kitendo cha kumjuza tu mwananchi kuwa kuna idara ambayo hailali kwa ajili yake kunampa assure kuwa analindwa na kuishi poa sana
 
Mkuu sijasema kuwa hicho kilichowekwa ni kikubwa sana Hapana, Ila kuna ambayo ni wazi yanapaswa yajulikane mfano idara imeundwa lini, Kiongozi, Headquarters,Motto Structure yao kiasi Sasa ebu Google ata Idara yetu uone kama hizo details zipo
Lol, ili iweje na yakusaidie nini?
 
Inawezekana usiri wao ndio siri ya amani yetu Tanzania.
Kama ndivyo basi tuwachie usiri!
 
Nimeingia Wikipedia Nimejaribu kusearch TISS nilichokiona ni cha kusikisitisha kama sio kustaajibisha. Hakuna sufficient News kuhusu idara yangu hii ya Usalama Yani kuanzia formation, Incumbent Leaders na mengineyo

Nikashangaa sana hii imekaaje wakuu? Ukitazama idara ya ndani ya Usalama ya marekani FBI ina maelezo ya kina mtandao yale yanayofaa kufahamiwa na watu ,

Je ni kweli yote yafanywayo na idara yetu hatupaswi kuyajua?? Hakuna website wala Headquarters yake inajulikana na Wachache Sana, Kuna kitu kinaitwa Cold wars Tunaifahamu kweli? Tunawatishaje maadui zetu?

Kwa nini umeangalia ya USA tu na siyo Nchi zote za Dunia hii? USA pia Wasenge wanaruhusiwa kuoana Je na sisi pia turuhusu?
 
Sio kila kitu tufanya kama marekani. Kwanza nikwambie FBI kwa Tz sio TISS ni kama TZ police investigation CIA ndio kama TISS
 
Nimeingia Wikipedia Nimejaribu kusearch TISS nilichokiona ni cha kusikisitisha kama sio kustaajibisha. Hakuna sufficient News kuhusu idara yangu hii ya Usalama Yani kuanzia formation, Incumbent Leaders na mengineyo

Nikashangaa sana hii imekaaje wakuu? Ukitazama idara ya ndani ya Usalama ya marekani FBI ina maelezo ya kina mtandao yale yanayofaa kufahamiwa na watu ,

Je ni kweli yote yafanywayo na idara yetu hatupaswi kuyajua?? Hakuna website wala Headquarters yake inajulikana na Wachache Sana, Kuna kitu kinaitwa Cold wars Tunaifahamu kweli? Tunawatishaje maadui zetu?
Bange zingine Bana kama Za makondee utalinganishaje FBI na tiss ni vitu Viwili tofauti
 
Nimeingia Wikipedia Nimejaribu kusearch TISS nilichokiona ni cha kusikisitisha kama sio kustaajibisha. Hakuna sufficient News kuhusu idara yangu hii ya Usalama Yani kuanzia formation, Incumbent Leaders na mengineyo

Nikashangaa sana hii imekaaje wakuu? Ukitazama idara ya ndani ya Usalama ya marekani FBI ina maelezo ya kina mtandao yale yanayofaa kufahamiwa na watu ,

Je ni kweli yote yafanywayo na idara yetu hatupaswi kuyajua?? Hakuna website wala Headquarters yake inajulikana na Wachache Sana, Kuna kitu kinaitwa Cold wars Tunaifahamu kweli? Tunawatishaje maadui zetu?
Pole mkuu mada imekataliwa jarbu tena bdae
 
Sio kila kitu tufanya kama marekani. Kwanza nikwambie FBI kwa Tz sio TISS ni kama TZ police investigation CIA ndio kama TISS
Sio kweli, TISS ni idara inayo deal na mambo ya ndani na nje ya nchi, FBI wao ni ndani tu na CIA nje ya marekani
 
Back
Top Bottom