Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,567
- 1,605
Ndo mwanzo wa wanaume wa dar kujiweka tayari kwa mapambano au na wewe unataka kuwa Scorpion?
Nnampata vp, mm Niko maeeneo ya kinondoni makaburininenda manzese tiptop, muulizie sensei jango!
nenda tanganyika pakers kawe, muulizie sensei chikoko!
nenda ubungo islamic high school, muulizie sense yahaya mgeni!
njoo jamii forum, ni PM