Ni wapi wanatoa mafunzo ya Martial Arts?

changamoto kubwa inayowakumba wengi ni pale kwa wanaoanza kujifunza hasa hutokea anapokuwa kajua kurusha ngumi, teke na blocks, basi hujiona kama hakuna MBABE tena zaidi yake!! kingine changamoto za UVUMILIVU, unaweza kwenda wiki nzima unafundishwa teke moja, wakati anajua atafundishwa kama Jackie Chan, Wiki Tu Ameiva!! Wengi huacha kwa kuona kama anapoteza muda, Kumbe wanakosa uvumilivu!!

Kwa hali hii...changamoto pekee ni kujiandaa kisaikolojia kwamba unaenda kujifunza kitu kwa kipindi kinachotakiwa na mazingira ya huku kwetu kwa maana ya muda na nafasi!!!
 
Hivi nani kwa Dar anatoa mafunzo haya in house.

Maana wapo watu wanauwezi wa kulipia watu kwenda kuwafundihsa watu nyumbani kama ilivyo Tuitions.

My point ni kwamba,target kwa watoto wa Age of 7 - 12,ambao mtu anataka wafundishwe nyumbani.
Kwa anaejua charges zake au mfumo upoje atujuze,maana wap watu majumbani mwao wana space ya kutosha na kisasa na mpaka gyms.Ila watu wa kwuafundisha mchezo huo ndio sheeda for inhouse training
 
changamoto kubwa inayowakumba wengi ni pale kwa wanaoanza kujifunza hasa hutokea anapokuwa kajua kurusha ngumi, teke na blocks, basi hujiona kama hakuna MBABE tena zaidi yake!! kingine changamoto za UVUMILIVU, unaweza kwenda wiki nzima unafundishwa teke moja, wakati anajua atafundishwa kama Jackie Chan, Wiki Tu Ameiva!! Wengi huacha kwa kuona kama anapoteza muda, Kumbe wanakosa uvumilivu!!

Mkuu hakuna ukomo wa umri unaoshauriwa kuanza mafunzo ya hii kitu? (Kwamba labda baada ya umri fulani haishauriwi kuanza kujifunza)
 
Hivi nani kwa Dar anatoa mafunzo haya in house.

Maana wapo watu wanauwezi wa kulipia watu kwenda kuwafundihsa watu nyumbani kama ilivyo Tuitions.

My point ni kwamba,target kwa watoto wa Age of 7 - 12,ambao mtu anataka wafundishwe nyumbani.
Kwa anaejua charges zake au mfumo upoje atujuze,maana wap watu majumbani mwao wana space ya kutosha na kisasa na mpaka gyms.Ila watu wa kwuafundisha mchezo huo ndio sheeda for inhouse training

rahisi sana mkuu, kama upo dar ni PM
 
Mtafute huyu jamaa Sempai Gola, 0713386628 anaijua michezo yote hyo

Huyu jamaa ni noma nimesoma shule ya msingi na alianza michezo hiyo toka shuleni miaka ya 95.Huyu mpaka ubalozi wa China wanamjua na anaenda China kama anaenda kinondoni.Na serikali ya China wamempa cheti cha kumtambua.
 
Tanzania Haitoi vyeti vya advanced karateka, mfano kwa shotokan karate, vyeti vyote hutokea Japan Na hutolewa na SHOTOKAN KARATE INTERNATIONAL FEDERATION (SKIF) au (JKA)

Hiyo ID yako mkuu Imenistua kidogo, maana kuna sensei flani yupo morogoro anaitwa Sensei Shaks..
 
wakati nipo markaz Tanga nilikuwa najifunza ..... itabidi nianze upya
 
nenda manzese tiptop, muulizie sensei jango!

nenda tanganyika pakers kawe, muulizie sensei chikoko!

nenda ubungo islamic high school, muulizie sense yahaya mgeni!

njoo jamii forum, ni PM

yes jangoo ni karateka mzuri sana na ni shotokan anacheza yule
 
kama upo DAR, Nenda kawe-TANGANYIKA PAKERS Mtafute Sensei CHIKOKO.... anavyo hadi vya 1980s

aisee chuku mi ni karateka na nnashida sana nondo/vitabu niko mbali na dar nipo shy
hapa cjui nifanyeje mkuu
 
hazitokusaidia wanaojua ni masikini sana wanaishia kukaa magetini na kutengeneza nakozzz tafuta pesa ,pesa ndo nzuri kwa self defence
 
Simba Hamfundishi mtoto kula, humfundisha kuwinda!!
hata karate pia ni ajira/ni chanzo cha ajira.
 
Back
Top Bottom