lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Dojo ni ''martial art school'',ni shule ya sanaa ya mapambano kwa ajili ya ''self defence'',kujilinda. Ni neno la kijapani. Sanaa za mapambano zinazomaanishwa ktk dojo ni kama Kung fu,karate,judo,tae kwondo,samurai,ninjitsu (ninja), nk.hivi vyote hufundishwa ndani ya dojo lakini sio kutumia bunduki, bastola, mzinga, rocket propelled gruned (rpg)nk au shughuli zozote za kijeshijeshi au kimgambomgambo kwa ajili ya kuteka, kuvamia, kupiga au kuua.
Mfano mafunzo yanayofanywa na Al qaida,Al shabab,Boko Haram nk.Dojo hufundisha kujilinda na kujibu mapigo kama mtu akivamiwa.Ingawa ndani ya vyombo vya usalama askari hujifunza martial arts katika madojo yaliyomo makambini mwao.Hata hivyo lengo ni lilelile kujihami na maadui wakorofi sugu.Mfano makomado wote na askari maalumu ktk vikosi vya wanausalama ni lazima wajue martial arts.Tanzania kuna dojo karibu kila mkoa,kila wilaya.vijiji hadi mitaa.DOJO zimesajiliwa au zinatakiwa kusajiliwa chini ya Wizara inayohusika na michezo au utamaduni,kwa hapa Tanzania.
Ninayafahamu madojo mengi hapa Dar na vyama vyao kwa mfano (TAKADOA) Tanzani karate do association.Je CHADEMA wakianzisha madojo nchi nzima kwa ajili ya kuwaandaa vijana wao ili kuwalinda viongozi na mali zao ni makosa pasipo kutumia silaha za moto?. MAKAMBI YA MAFUNZO. haya yanaweza yakawa na DOJO ndani yake pamoja na kujifunza kutumia silaha za moto,mimi hili slikubali, na ni sawa na kujifunza ugaidi.Hivyo madojo yaliyopo yawe yanachunguzwa ili kubaini kama yameenda kinyume na malengo yake.
Nayaandika haya nikioanisha na kauli ya Lipumba na majibu ya Sophia Simba juu ya mafunzo ya mazoezi ya viungo kwa vijana wao nikirejea kusudio la CHADEMA kutaka kuanzisha makambi ya mafunzo ya kujilinda ya BLUE GUARD.Natambua kwa dhati CDM hawana nia ya kuanzisha mafunzo ya utumiaji wa silaha za moto,lakini DOJO sioni tatizo. ni mtazamo tu.