Ni wapi wanatoa mafunzo ya Martial Arts?

Ni wapi wanatoa mafunzo ya Martial Arts?

Kwa hali hii...changamoto pekee ni kujiandaa kisaikolojia kwamba unaenda kujifunza kitu kwa kipindi kinachotakiwa na mazingira ya huku kwetu kwa maana ya muda na nafasi!!!


madojo mengi huwa yanazingatia muda wa kazi, mfano-: kwa siku za kazi, mazoezi huanza sakumi jioni hadi saa mbili usiku, na siku za weekend ratiba hugeuka na kuwa saa mbili asubuhi hadi saa tano!!!
hapo unagundua kuwa karate ni upande wa maisha.
 
Mkuu kimsingi hakuna staili inayoitwa "combat karate"...ile wanayofundishwa jeshini ni baadhi tu ya mafunzo ya staili fulani. Yaweza kuwa shotokan au goju ryu pamoja na vitu vichache vya aikido au jiujitsu.

Pili hakuna sanaa ya mapigano ambayo ni bora zaidi ya nyingine. Msanii ndio huwa bora. Ni kama sanaa ya muziki. Haijalishi unaimba muziki gani, wewe kama msanii ndio waweza kusababisha muziki wako kupendwa au kuchukiwa.
Nitatoa mfano wa wasanii wa sanaa ya mapigano walio shawishi watu kujifunza baadhi ya sanaa zao:

Jackie Chan-Kungfu(Drunken & Snake)
Bruce Lee-Jeet Kune Do
Jet Lee-Wushu
Van Damme-Shotokan Karate
Tony Jaa-Muai Thai & Tae Kwon do
Scott Adkin(Boyka)-Kick Boxing&Tae kwon do
Shoku Sugi-Ninjitsu
Steven Seagal-Aikido
Donie Yen-Judo,Wushu & Wing chun

Hao ni baadhi tu. Leo hii kuna maelfu ya watu wanaojifunza hizo sanaa kwa ushawishi wa hao watu.
Kwa hiyo haijalishi utajifunza sanaa gani ila wakati wote kumbuka kuwa,'Sanaa haimfanyi mtu bali mtu ndiye huifanya Sanaa'.
Kila lakheri.
ok mkuu maelezo yako ni inaonyesha wewe mwenyewe hii michezo huwa unaicheza vizuri umenikumbusha majamaa zangu ambao tunafanyaga nao zoezi kwa mupitia zoezi wale jamaa akili zao zipo trong sana kama wewe huwa nawakubali sana watu ambao wanacheza hiyo nichezo
 
Nipo kawe naomba namba ya mtu wa huku
 
General physical exercise na krav maga ndio mpango mzima kwa ajili ya kujilinda mwenyewe hayo mengine nawaachia nyie mnao taka kuwa maprofeshno
Hiyo krav maga ndio ikoje mkuu?
 
I did shotokan for 3 good years kwa sempai Gilbert manzese, mpaka leo siwezi acha ku practise. Inafundisha discipline ya hali ya juu sana. All in all style zote nzuri. Chagua ambayo itakuwa karibu na wewe.

yule wa manzese ni sensei GILBERT MWALUKO na sio senpai kama usemavyo wewe!
 
yes jangoo ni karateka mzuri sana na ni shotokan anacheza yule
Huyo yahya mgeni hatari

Kwa yeyote anayetaka kujifundisha karate namshauri aende kwa yahya mgeni hakika ataiva,huyu mzee anafuata principles zote na atahakikisha unatoka vzr,hupandi rank mpk uwe vzr

Dah master wangu kitambo ,najuta niliacha kwenda kwake ,

Ubungo Islamic,kiwalani anafundisha
 
Usi dhihaki dini za watu na wala usishabikie udhalilishaji wa imani za watu utaleta mgawanyiko.
 
Back
Top Bottom