Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,217
- 866,504
Hahahaha nilishaondoka huko ndugu yangu.. Mimi kwa sasa nimempokea kristoMshana Jr njoo huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nilishaondoka huko ndugu yangu.. Mimi kwa sasa nimempokea kristoMshana Jr njoo huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha nilishaondoka huko ndugu yangu.. Mimi kwa sasa nimempokea kristo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anataka kudukuliwa taarifa zake au kurogwa? Uchawi ni maarifa na yana taratibu zake njia rahisi ni yeye kutoa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hilo zoezi kama ambavyo hufanyika kwa wengine, kwa kutoa ushirikiano ni rahisi hata kwa asiyejua uchawi anaweza kuchukua taarifa hizo na kuzipeleka kwa mwenye ujuzi huo ili kufanikisha hilo zoezi.unataka ushirikiano wa nini kwani huwezi kudukua taarifa zake kichawi
Usijieleze sana we mrogeYeye anataka kudukuliwa taarifa zake au kurogwa? Uchawi ni maarifa na yana taratibu zake njia rahisi ni yeye kutoa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hilo zoezi kama ambavyo hufanyika kwa wengine, kwa kutoa ushirikiano ni rahisi hata kwa asiyejua uchawi anaweza kuchukua taarifa hizo na kuzipeleka kwa mwenye ujuzi huo ili kufanikisha hilo zoezi.
Sasa kupata taarifa zake kwa njia ya kichawi katika mazingira hayo hilo ni zoezi lengine ambalo pengine mpaka apatikane
So now wewe ni free manson?Humu wapo wengi niuwe serious niliwahi sema nataka kuwa free manson nikawapata utawapata
Ni kweli aisee japo sio woteWaganga wengi ni wachawi Siku hizi na ndo maaana ukienda kutibiwa matatizo hayaishi anakutibu nusu au anakuekea kitu unapata nafuu unarudi Tena kwake
Afu Kuna waganga ukienda kutibiwa kama una maradhi wachawi wanawafata usiku wanapanda dau hauponi ng'oo yaani wanamuambia tuachie huyu Mtu wetu huyuu
Na mimi nahitaji huo msaadaKama kichwa Cha habari kinavyo jieleza natafuta kikundi Cha watu/ mtu wanao jihusisha na uchawi wa kuwanga usiku ili niweze kujiunga na Mimi kuweza kufundishwa utalaam huo.
Lengo langu sio baya Ila nimeona ni tamaduni nzuri ya kiafrika itakayonifanya niweze ku experience maisha mengine ya kiroho na tamaduni.
Kwa yeyote alie tayari kwa kunikutanisha na mchawi au mtalaam wa Mambo hayo naomba anisaidie hakika nimevutiwa na kuwa mchawi.
Uko serious?Fanya hivi chukua mshumaa halafu usiku saa 8 vua nguo zote inama kidogo jeshini kuna mwendo unaitwa kisengele nyuma KISHA INAMA NA ZUNGUKA NYUMBA YAKO MARA SABA UKU UMESHIKA MSHUMAA UTAKAPOFIKISHA MARA YA SABA HUO MSHUMAA UTAWAKA USIPOWAKA UJUE WW KUWA MCHAW NI NGUMU MPAKA UZIKE KONDOO SABA WAKIWA HAI
Naweza kukusaidia, sharti vitu viwili:Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza natafuta kikundi Cha watu/ mtu wanao jihusisha na uchawi wa kuwanga usiku ili niweze kujiunga na Mimi kuweza kufundishwa utalaam huo.
Lengo langu sio baya Ila nimeona ni tamaduni nzuri ya kiafrika itakayonifanya niweze ku experience maisha mengine ya kiroho na tamaduni.
Kwa yeyote alie tayari kwa kunikutanisha na mchawi au mtalaam wa Mambo hayo naomba anisaidie hakika nimevutiwa na kuwa mchawi.
Kwann unasema hakuna uchawi wakati maandiko yanasema uchawi upo?Hakunaga uchawi bado muda kidogo utaujua huu ukweli subiri ufe
DahFanya hivi chukua mshumaa halafu usiku saa 8 vua nguo zote inama kidogo jeshini kuna mwendo unaitwa kisengele nyuma KISHA INAMA NA ZUNGUKA NYUMBA YAKO MARA SABA UKU UMESHIKA MSHUMAA UTAKAPOFIKISHA MARA YA SABA HUO MSHUMAA UTAWAKA USIPOWAKA UJUE WW KUWA MCHAW NI NGUMU MPAKA UZIKE KONDOO SABA WAKIWA HAI
Umenikumbusha miaka ya elfu 2 mwanzoni kuna.jamaa alienda kwa mtabiri mmoja maarufu;
Jamaa:.Ndugu mganga nataka.kujifunza utabiri.
Mganga :
1. Step ya kwanza: Haya vua shati
( jamaa akavua)
2. Step number 2: Vua suruali ( jamaa akavua)
3. Step number 3 vua boxer; jamaa akavua ( akabaki uchi wa mnyama/ kumbuka hapo wapo chumbani kilingeni kwa mganga usiku)
4. Step number 4 geuka( jamaa akageuka)
5. Step number 5 inama..
Jamaa akagoma akamwambia mganga " aaah aah aah! Unachotaka kunifanyia bwana mganga sio poa kabisa na sipo tayari kwa hilo bora huo utabiri niukose
Mganga akajibu: kijana wewe sasa hivi tayari umeshafuzu somo la utabiri. Wewe tayari ni mtabiri. Kuwa mtabiri maana yake ni kuwa na uwezo wa kutabiri kitu kitakacho fuatia..uwezo huo tayari unao. Inuka nenda kapige kazi kijana wangu baraka zangu zote unazo
Sitaki hiyo yenu ya Tanzania inayokuwa mazezeta.Tafuta misukule TU wakusaidie KAZI
mhhYeah wapo waganga wa aina hiyo.
Upo tayari mtoto wako mmoja kuwa Zombie?Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza natafuta kikundi Cha watu/ mtu wanao jihusisha na uchawi wa kuwanga usiku ili niweze kujiunga na Mimi kuweza kufundishwa utalaam huo.
Lengo langu sio baya Ila nimeona ni tamaduni nzuri ya kiafrika itakayonifanya niweze ku experience maisha mengine ya kiroho na tamaduni.
Kwa yeyote alie tayari kwa kunikutanisha na mchawi au mtalaam wa Mambo hayo naomba anisaidie hakika nimevutiwa na kuwa mchawi.