Muwache shangazi yangu (fatuma makongoro) hana mambo hayo.Mtafute bi nwenda bila shaka utapata jibu la shida yako
Mimi najua tamaduni ya kiafrika ni ukarimu na ukulima. Haya mambo ya uchawi tamaduni ya ScandinavianLengo langu sio baya Ila nimeona ni tamaduni nzuri ya kiafrika itakayonifanya niweze ku experience maisha mengine ya kiroho na tamaduni.
Mpaka hapo tangu unapata wazo hilo tayari wewe ni mwanga sema huna vifaa vya kutosha kubobea kwenye faniKama kichwa Cha habari kinavyo jieleza natafuta kikundi Cha watu/ mtu wanao jihusisha na uchawi wa kuwanga usiku ili niweze kujiunga na Mimi kuweza kufundishwa utalaam huo.
Lengo langu sio baya Ila nimeona ni tamaduni nzuri ya kiafrika itakayonifanya niweze ku experience maisha mengine ya kiroho na tamaduni.
Kwa yeyote alie tayari kwa kunikutanisha na mchawi au mtalaam wa Mambo hayo naomba anisaidie hakika nimevutiwa na kuwa mchawi.
Ndio Mana ni vizuri kuwa na waganga wa mbali..halafu sio mmojaWaganga wengi ni wachawi Siku hizi na ndo maaana ukienda kutibiwa matatizo hayaishi anakutibu nusu au anakuekea kitu unapata nafuu unarudi Tena kwake
Afu Kuna waganga ukienda kutibiwa kama una maradhi wachawi wanawafata usiku wanapanda dau hauponi ng'oo yaani wanamuambia tuachie huyu Mtu wetu huyuu
Vizuri ni wewe mwenyewe kuujua ugangaNdio Mana ni vizuri kuwa na waganga wa mbali..halafu sio mmoja
Mshana Jr mteja wako huyu hapaKama kichwa Cha habari kinavyo jieleza natafuta kikundi Cha watu/ mtu wanao jihusisha na uchawi wa kuwanga usiku ili niweze kujiunga na Mimi kuweza kufundishwa utalaam huo.
Lengo langu sio baya Ila nimeona ni tamaduni nzuri ya kiafrika itakayonifanya niweze ku experience maisha mengine ya kiroho na tamaduni.
Kwa yeyote alie tayari kwa kunikutanisha na mchawi au mtalaam wa Mambo hayo naomba anisaidie hakika nimevutiwa na kuwa mchawi.
mbona mie siwafanyii hivyo wateja wanguWaganga wengi ni wachawi Siku hizi na ndo maaana ukienda kutibiwa matatizo hayaishi anakutibu nusu au anakuekea kitu unapata nafuu unarudi Tena kwake
Afu Kuna waganga ukienda kutibiwa kama una maradhi wachawi wanawafata usiku wanapanda dau hauponi ng'oo yaani wanamuambia tuachie huyu Mtu wetu huyuu
[emoji23][emoji23]Kulivyo na baridi hivi route za usiku utatoboa kweli
Ongeza maarifa mkuuKama ni black magic unataka kijifunza mbona knowledge ipo widely available Ila lazma Usiwe na woga ,kiumbe wa kwanza kumuita nlijua ni story tu ,kiumbe kaja kweli bila Mimi kutarajia, ana kwa ana na jini Mephistopheles ,sema lazima ujue Kinga na usali Sana tena sana ,kwa kuwa bila Imani kwa mungu wale viumbe watakushinda nguvu.
Ila nyota yako ikikukubali ufanikiwe kuita mmoja tu ,watakufunza mengi Sana katika hyo elimu.
Ila kwanza inua Kundalini energy mpaka kwa magoti atleast ,in short usipoweza kiunua kikombe bila kukishika na mikono au Kama ww na mungu hampo sawa kaa mbali na black magic kabisaaaaaaa