Ni wapi nitapata mtu wa kuniingiza katika uchawi?

Ni wapi nitapata mtu wa kuniingiza katika uchawi?

Mkuu nakutafuta upo wapi leo
Naelekea hapo kati mala moja... foleni hapaaa 😵‍💫😵‍💫😵‍💫😵‍💫😵‍💫
Screenshot_20230829-175731.png
 
Ulafi tu wa kupenda nyama za watu...unaenda sana nyama ?
 
Waganga wengi ni wachawi Siku hizi na ndo maaana ukienda kutibiwa matatizo hayaishi anakutibu nusu au anakuekea kitu unapata nafuu unarudi Tena kwake
Afu Kuna waganga ukienda kutibiwa kama una maradhi wachawi wanawafata usiku wanapanda dau hauponi ng'oo yaani wanamuambia tuachie huyu Mtu wetu huyuu
Ni kweli, uganga na Uchawi ni mapacha kabisa.
 
Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza natafuta kikundi Cha watu/ mtu wanao jihusisha na uchawi wa kuwanga usiku ili niweze kujiunga na Mimi kuweza kufundishwa utalaam huo.

Lengo langu sio baya Ila nimeona ni tamaduni nzuri ya kiafrika itakayonifanya niweze ku experience maisha mengine ya kiroho na tamaduni.

Kwa yeyote alie tayari kwa kunikutanisha na mchawi au mtalaam wa Mambo hayo naomba anisaidie hakika nimevutiwa na kuwa mchawi.
Tafuta mchungaji wa haya makanisa ya kishikaji au sheikh yeyote watakusaidia tu.
 
Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza natafuta kikundi Cha watu/ mtu wanao jihusisha na uchawi wa kuwanga usiku ili niweze kujiunga na Mimi kuweza kufundishwa utalaam huo.

Lengo langu sio baya Ila nimeona ni tamaduni nzuri ya kiafrika itakayonifanya niweze ku experience maisha mengine ya kiroho na tamaduni.

Kwa yeyote alie tayari kwa kunikutanisha na mchawi au mtalaam wa Mambo hayo naomba anisaidie hakika nimevutiwa na kuwa mchawi.
Anza na masheikh na wachungaji wa haya makanisa ya kisasa kama vile kina MC Pilipili na Masanja
 
Back
Top Bottom