Ni wapi nianzie? Naombeni mawazo yenu MMU

Kama huyo Mwanamke unayetaka kumuoa sasa hivi alikukataa mwanzo na sasa anakukubali .

Je kwanini mwanzo alikukataa na sasa anataka umuoe .?

Yaani MTU kazalishwa kachoka ndo anakuja kwako umuoe!?

Mwambie apambane aolewe na aliyenzalisha angekuwa amekufa hapo sawa Ila kama yupo hai mwambie amuoe aliyemzalisha.

Kwa umri wako huo 34 yrs unaoa single mother na unatoa na mahari hii inamifanya nizidi kushangaa.
 
Unaogopa single mother? Mbona hawana shida hao sio wote wanatabia za hovyo ni wachache mno huyo tena muoe ukichelewa utaendelea kufika hadi miaka 45 hauna mke mkuu
Singo maza alipopata nafasi ya kuongea, kamsilibia sana bwana aliezaa nae kwa mshkaji.

Mshkaji anajiona winner pasi na kujua hata yeye atasilibiwa sana 40 zake zikifika.

Ukiona familia wanaleta vikwazo, kuna shida sehemu ila wanaogopa kukwambia live sababu huenda wewe ndio bread winner wa familia, wasije kukugusa ukakata umeme.

Unaposema unachelewa kuoa ni kwa mujibu wa nani? Au kitabu gani? Au kwenye katiba kumeainishwa umri wa kuoa?

Achana na mawazo ya kijamii, piga kazi injoy maisha, hata ukija kuoa ukiwa 45 haina shida, ukisikiliza sana jamii utajitengenezea depression.

Kuzalisha zalisha kadri unavyotaka, hata huyo singo maza usimcheleweshe, piga pumbu azae ila usioe, mzingatie kwa kila kitu ila usioe maana BWANA ALIEZAA NAE YUPOOOOOOO(SIKINDE- NEEMA)

Usidanganyike alivyokwambia eti bwana aliezaa nae alimfanyia mambo mabaya.

Ukioa huyo shem ndio utajuta sasa
 
na historia mbaya sana aliokuwa akinipa kuhusu baba wa mwanae.
Hio historia mbaya ndio aliyoipenda na kumpanulia amtie mimba hakuna mtu mwanamke anamheshimu sana km baba wa mtoto wake hata km alimkataa mtoto ila heshima yake itabakia palepale na wanaweza kuja kuendeleza walipoishia ni suala la muda tu
 
Huyo mwanamke ni either mna undugu au ameshatembea na mtu kwenye familia yenu na wanajua. Mapenzi sijui kumpenda kusikufanye upofu. Jua ukweli, chunguza background vizuri kabla hujakurupuka. Pili usifuate saaana (mara zote) ushauri maana mwisho wa siku huyo mtu utaishi naye wewe sio familia. Mwisho kabisa ikitokea umefanya maamuzi ya kuwa naye hama hapo mkae mbali na familia. Familia zetu hizi zina nong'wa. Wanaamini wewe ni mtoto (wao siku zote) wakati ni mda sahihi kabisa kuwa na mji wako.
Asante
 
Achana na single mothers hakikisha unakaa mbali na such kind of women

Sifa kuu ya single mothers ni kuwa pretenders

Atamuongelea vibaya EX wake na kumpaka matope Ila akimuhitaji atamshughulikia .

So be smart Nigga

Achana na huyo Mwanamke Ila msapoti kiuchumi akae sawa
Yaan nimsupport, na kumwacha!! Kama kumwacha si Bora niachane nae support ya nn Tena boss
 
Kama huyo Mwanamke unayetaka kumuoa sasa hivi alikukataa mwanzo na sasa anakukubali .

Je kwanini mwanzo alikukataa na sasa anataka umuoe .?

Yaani MTU kazalishwa kachoka ndo anakuja kwako umuoe!?

Mwambie apambane aolewe na aliyenzalisha angekuwa amekufa hapo sawa Ila kama yupo hai mwambie amuoe aliyemzalisha.

Kwa umri wako huo 34 yrs unaoa single mother na unatoa na mahari hii inamifanya nizidi kushangaa.
Mahari sipaswi kabisa kutoa 😅😅
 
Singo maza alipopata nafasi ya kuongea, kamsilibia sana bwana aliezaa nae kwa mshkaji.

Mshkaji anajiona winner pasi na kujua hata yeye atasilibiwa sana 40 zake zikifika.

Ukiona familia wanaleta vikwazo, kuna shida sehemu ila wanaogopa kukwambia live sababu huenda wewe ndio bread winner wa familia, wasije kukugusa ukakata umeme.

Unaposema unachelewa kuoa ni kwa mujibu wa nani? Au kitabu gani? Au kwenye katiba kumeainishwa umri wa kuoa?

Achana na mawazo ya kijamii, piga kazi injoy maisha, hata ukija kuoa ukiwa 45 haina shida, ukisikiliza sana jamii utajitengenezea depression.

Kuzalisha zalisha kadri unavyotaka, hata huyo singo maza usimcheleweshe, piga pumbu azae ila usioe, mzingatie kwa kila kitu ila usioe maana BWANA ALIEZAA NAE YUPOOOOOOO(SIKINDE- NEEMA)

Usidanganyike alivyokwambia eti bwana aliezaa nae alimfanyia mambo mabaya.

Ukioa huyo shem ndio utajuta sasa
Hakika wanawake hasa single maza wana akili za kufanya mind manipulation .
 
Yaan nimsupport, na kumwacha!! Kama kumwacha si Bora niachane nae support ya nn Tena boss
Sikia mkuu km umekatazwa sikiliza makatazo mkuu kuepuka balaa, kuna watu wanapitia changamoto kubwa mno sababu ya kutofuata Makatazo, unapokatazwa kwamba huu ni moto usichezee moto usiwe mbishi moto utakuunguza kijana kuna watu wanaona mbali sana, watoto wa kike kila siku wanazaliwa na wapo wengi wengine kwani lazima huyo? Huyo sio lazima tafuta mwingine au waambie wakutafutie maana wewe unataka kujitafutia balaa huwezi kutafuta
 
Singo maza alipopata nafasi ya kuongea, kamsilibia sana bwana aliezaa nae kwa mshkaji.

Mshkaji anajiona winner pasi na kujua hata yeye atasilibiwa sana 40 zake zikifika.

Ukiona familia wanaleta vikwazo, kuna shida sehemu ila wanaogopa kukwambia live sababu huenda wewe ndio bread winner wa familia, wasije kukugusa ukakata umeme.

Unaposema unachelewa kuoa ni kwa mujibu wa nani? Au kitabu gani? Au kwenye katiba kumeainishwa umri wa kuoa?

Achana na mawazo ya kijamii, piga kazi injoy maisha, hata ukija kuoa ukiwa 45 haina shida, ukisikiliza sana jamii utajitengenezea depression.

Kuzalisha zalisha kadri unavyotaka, hata huyo singo maza usimcheleweshe, piga pumbu azae ila usioe, mzingatie kwa kila kitu ila usioe maana BWANA ALIEZAA NAE YUPOOOOOOO(SIKINDE- NEEMA)

Usidanganyike alivyokwambia eti bwana aliezaa nae alimfanyia mambo mabaya.

Ukioa huyo shem ndio utajuta sasa
Mzee inaonekana una experience kubwa sana.. shukran
 
Hio historia mbaya ndio aliyoipenda na kumpanulia amtie mimba hakuna mtu mwanamke anamheshimu sana km baba wa mtoto wake hata km alimkataa mtoto ila heshima yake itabakia palepale na wanaweza kuja kuendeleza walipoishia ni suala la muda tu
Alimla ndugu yake, ndg yake akawa anatunzwa kama mke, na sio mtz alikua Mcomoro.. hajawahi kumtambulisha mtu yeyote wa kwao... Na kwa Sasa ametoka nje ya tz
 
Mahari sipaswi kabisa kutoa 😅😅
34 bado kijana mdogo sana huna hata haja ya kua naa haraka wewe bado mdogo mno ila sababu ya kujifananisha na wengine ndio unajiona umechelewa hujachelewa popote, mfano ukiwa na mtoto ukiwa na miaka 40 ukifika miaka 70 mwanao atakua na miaka 30 nini mbaya hapo?
 
Sikia mkuu km umekatazwa sikiliza makatazo mkuu kuepuka balaa, kuna watu wanapitia changamoto kubwa mno sababu ya kutofuata Makatazo, unapokatazwa kwamba huu ni moto usichezee moto usiwe mbishi moto utakuunguza kijana kuna watu wanaona mbali sana, watoto wa kike kila siku wanazaliwa na wapo wengi wengine kwani lazima huyo? Huyo sio lazima tafuta mwingine au waambie wakutafutie maana wewe unataka kujitafutia balaa huwezi kutafuta
Sawa mkuu,, nimekuelewa!!
 
34 bado kijana mdogo sana huna hata haja ya kua naa haraka wewe bado mdogo mno ila sababu ya kujifananisha na wengine ndio unajiona umechelewa hujachelewa popote, mfano ukiwa na mtoto ukiwa na miaka 40 ukifika miaka 70 mwanao atakua na miaka 30 nini mbaya hapo?
Watu wana haraka ya kwenda sehemu ambayo haijulikani.

Haraka haraka inamfanya adondokee katika penzi la single mother .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom