Ni wapi naweza kupata uniform kama za Qatar Airways?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Wakuu,

Ni wapi naweza kupata uniform kama hizo, au ni wapi naweza kushona uniform kama hizo za air hostess wa Qatar Airways ikiwa na kofia yake? nimezipenda nahitaji ya kike moja kwa kazi fulani.

Nimejaribu kuangalia Alibaba wanaonesha kwamba wanazo na wanauza kuanzia sh. 100,000 kwenda juu. Kuna mtu ana uzoefu na kununua uniform kwenye hii mitandao na ikaja kama alivyotaka?

Na kama ni kushona inaweza kugharimu kiasi gani pamoja na kofia yake?

Ahsante.

images%20(5).jpg
images%20(6).jpg
26d5d503574394fad73483446033a974.jpg
images%20(4).jpg
images%20(3).jpg
3a1cb6978a05b8543b4e1de2c5a1c3d6.jpg
54fd4f94b9ee3397f3ebfe4009a3a9e6.jpg
b78e00d725fbbeb8ed5d1d4b0284bd47.jpg
 
Nimeona pia kwenye wimbo wa Rayvanny-Te quiero yule Video vixen alivaa uniform fulani kama za flight attendant View attachment 2388211View attachment 2388212
Kuna uzi niliona kuwa kuna jamaa anakula hela za watanzania wenzetu kwa KUJIITA yeye ni wakala wa QATAR AIR hivo ukitaka kazi kule ni sekunde tu coz yeye ni wakala.

Afadhali isiwe wewe mkuu maana mkimaliza maongezi unampa kabisa na UNIFORM na kumwambia asubir cm tu ya kwenda kazini, itakuwa mbaya zaidi coz utaumiza kijiji.

GOOD LAUCK kupata Uniform yako.
 
Hahaa ,du! huo utapeli wa viwango vyake,mi sipo huko mkuu,nina kazi nayo tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom